mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. Lutah25

    Jeshi la Polisi Tanzania litoe taarifa kuhusu askari waliopewa tuzo na Mahakama Kuu ya kurejeshwa kazini.

    Septemba 10,2024 Mahakama Kuu ilitoa uamuzi wa kuwarudisha kazini Askari watatu kama taarifa ilivyojieleza kwenye mtandao wa Mahakama ujulikanao kama TanzLii (Home - TanzLII) ambapo majina ya askari hao na sababu ya uamuzi uliotolewa vyote vimebainishwa katika taarifa hiyo. Baada ya uamuzi...
  2. Pdidy

    MH JAJI MKUU;PITIEN KAGUENI HIZI MAHAKAMA ZA MWANZO ZINA MATESO KULIKO YA BWANA YESU..HAYAELEZEKI..WANANCHI WANATESEKA SANA

    MH JAJI Mkuu Shikamoo Baba Yangu habari za uzima naamini Mungu ametuamsha salama kusaidia wananchi wako Baba yetu mzee wetu leoo nimeona nikujuze tu kwa yanayaoendelea mahakama za mwanzo MH JAJI MKUU Mahakimu WA mahakama za mwanzo wanatesa sana wananchi wanaumiza sana WANANCHI WASIO na uwezo...
  3. BigTall

    Barabara inayoelekea kwenye Mahakama Kinondoni,Ofisi za OSHA ina mashimo yanaleta kero, TARURA ipo wapi?

    Barabara inayotokea njia Kuu ya Kinondoni(Kawawa road )kuelekea Mahakama ya Kinondoni/Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki, Ofisi za OSHA imearibika na ina mashimo ambayo sio salama jambo ambalo linapeleka madhara ikiwemo kuleta usumbufu kwa wenye magari, ambapo baadhi tumekutana na changamoto ya...
  4. T

    Mwabukusi ataka mahakama iwe ni sehemu ya kutoa haki ambapo hata mkulima akienda kulalamikia kuhusu Rais mahakama itende haki

    Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 amesema kuwa mahakama inabidi ijitafakari iwe huru na ya kutenda haki ili hata kama mkulima ataenda mahakamani kulalamika kuhusu...
  5. The Watchman

    Binti aomba mahakama imruhusu kufa baada ya Baba yake kufungua shauri Mahakamani kupinga Mtoto wake kutaka kujiua kwa hiyari

    Binti mmoja wa Nchini Uhispania Noelia (23), amepanda kizimbani kutoa ushahidi Mahakamani ili kumshawishi Hakimu amruhusu kufariki kwa hiyari yake baada ya Baba yake Mzazi kufungua shauri Mahakamani la kupinga Mtoto wake kutaka kujiua kwa hiyari. Noelia atapanda kuzimbani kujitetea ambapo...
  6. B

    Kesi ya bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga, yatua mahakama ya Afrika ya mashariki EACJ

    Kigali, Rwanda RUFANI KESI YA BOMBA LA MAFUTA -EACOP ,YAFIKA MBELE YA KORTI YA AFRIKA YA MASHARIKI https://m.youtube.com/watch?v=er6WZpHyj1I Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Yasikiliza Rufaa ya Asasi za Kiraia Kupinga Kufutwa kwa Kesi Dhidi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...
  7. Roving Journalist

    Anayetuhumiwa kumlawiti mtoto katika Vyoo vya Kanisa - Sinza, asema “Sina lolote, naiachia Mahakama”

    Baada ya mshtakiwa katika kesi Namba Cc.5866 /2024, Baraka Benedicto anayedaiwa kumlawiti mtoto kushindwa kutoa utetezi wake siku ya Februari 26, 2025 akitoa sababu mbele ya Mahakama kuwa anaumwa, jana Machi 3, 2024 shauri hilo limetajwa, ambapo alipopewa nafasi ya utetezi amesema hana lolote la...
  8. JanguKamaJangu

    Mahakama yawaachia kwa dhamana Wachungaji wa Kanisa la TAG wanaotuhumiwa uhujumu uchumi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Ruvuma imewaachia kwa dhamana wachungaji wawili James Michael Komba na Beatus Aron Mwambuchi wa mchungaji kanisa la TAG lililipo Lizaboni Manispaa ya Songea wanaotuhumiwa kwa kosa la uhujumu uchumi. Akisoma hukumu ya maamuzi ya maombi ya dhamana ya watuhumiwa...
  9. The Watchman

    Mahakama yaamuru kupigwa mnada nyumba ya mjane ili kumfidia aliyeumia mguu kwa ajali ya bodaboda

    Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo Machi 10, mwaka huu, ili alipwe fidia abiria aliyekuwa amebebwa na bodaboda kugongwa na gari lililokuwa...
  10. Carlos The Jackal

    Ni upi Wajibu mpya wa Jamhuri katika kesi za Mauaji ambazo washukiwa wa mauaji huachiwa huru na Mahakama kwa Hoja za Ushahidi kua na mashaka n.k

    Tuchukulie Mfano, Kesi ya Mauaji ya Dada wa Bilionea Msuya. Huyu Dada aliuwawa ndio, Kwa kuchinja kiasi cha mwili wake na Kichwa kutenganishwa. Jamhuri kupitia Polisi ilikamata washukiwa, na masuala ya ushahidi, mwisho kesi ikaanza. Hatimaye, Washukiwa kuachiwa Huru !!. Ni kama Kesi...
  11. Mateso chakubanga

    Mahakama ya Kimataifa ICC: Uchunguzi dhidi ya Uhalifu wa kivita DRC unaendelea

    Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika...
  12. JanguKamaJangu

    Pre GE2025 Mjumbe wa INEC, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari: Wasimamizi wa maboresho ya Daftari la Kupiga Kura mfanye kazi kwa uadilifu

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, kusoma maelekezo ya Tume kupitia vitabu vya maelekezo walivyopewa ili...
  13. Mateso chakubanga

    Huenda wakati wowote Mahakama ya uhalifu wa kivita ikatoa kibali cha kukamatwa viongozi kadhaa wa M23 na Rwanda

    Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki zinategemea kukaa na kumshauri mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kuorodhesha ushahidi na wahusika katika...
  14. Waufukweni

    Padri Rwegoshora kesi ya mauaji ya Asimwe imebainika hana tatizo la Akili, Mahakama kuruhusu Kesi kuendelea

    Mtuhumiwa namba moja wa kesi ya mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novat aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu, Padri Elipidius Alfred Rwegoshora, ambaye ni miongoni mwa watuhumiwa tisa aliyepelekwa Isanga mkoani Dodoma, ili achunguzwe akili yake kufutia ombi la...
  15. Huihui2

    Trump aahidi kuheshimu maamuzi ya Mahakama dhidi ya Executive Orders ambazo amepingwa na Democrats

    Wabunge wa Republican wamsihi Trump kuzingatia maamuzi ya mahakama za shirikisho Na Alexander Bolton | 12 Februari 2025 | Wabunge wa Senati kutoka chama cha Republican (GOP) wanamhimiza Rais Donald Trump kuzingatia maamuzi ya majaji wa shirikisho ambayo yamezuia amri zake za utekelezaji wa...
  16. Harvey Specter

    Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
  17. B

    DR Congo Vs Rwanda Katika Mahakama ya Afrika-AfCHPR

    12 February 2025 Arusha, Tanzania DR CONGO YAFUNGUA KESI MAHAKAMA YA AFRIKA, RWANDA YAWEKA PINGAMIZI MAHAKAMA HAINA MAMLAKA DR Congo Vs Rwanda Katika Mahakama ya Afrika-AfCHPR https://m.youtube.com/watch?v=YAwhDzphA5A Februari 12, 2025: Usikilizaji wa Hadhara; Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  18. Harvey Specter

    Kesi baina ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kusikilizwa Leo 12 na 13 Februari katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Kesi baina ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kuanza kusikilizwa leo Februari 12 na 13, 2025 katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani hapo Agosti 21, 2023 dhidi ya Rwanda kwa madai ya ukiukwaji wa haki. Tuhuma za Congo dhidi ya Rwanda...
  19. Sagungu 1914

    Maoni ya mahakama kabla ya hukumu

    Naomba kuuliza wataalamu wa Sheria,maoni yanayo tolewa mahakamani kuelekea kutolewa hukumu yenyewe ndio yanatoa hukumu itakavyo kuwa?Asante
  20. Waufukweni

    Mahakama ya kijeshi yatoa hati kiongozi wa AFC/M23 Corneille Nangaa akamatwe

    Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa umoja wa makundi ya waasi nchini humo ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), Corneille Nangaa. Shirika la Habari la AP limeripoti leo Februari 7, 2025, kuwa mahakama ya kijeshi nchini humo...
Back
Top Bottom