CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES
Maelezo ya picha, Edgar Lungu alisema hataki mrithi wake kwenye mazishi yake au "popote karibu" na mwili wake
Mahakama ya Afrika Kusini imetoa amri ya kuurudisha mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, nchini humo, muda mfupi baada ya serikali ya Zambia...