mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. BARD AI

    Kati ya Miili 1,294 iliyofukuliwa ni 52 pekee ilipata idhini ya Mahakama, mingine ilifukuliwa kinyume cha Sheria

    Katika uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dar es Salaam, unaonesha kuwa tangu mwaka 2015 hadi 2021, kulikuwa na matukio ya kufukua miili 1,294. Kati ya matukio hayo, yaliyoruhusiwa kufukuliwa kwa amri ya mahakama ni 52 pekee. Aidha, Mahakama ya...
  2. Kenyan

    Japhet Koome: Siogopi vitisho vya mahakama ya ICC

    Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome amesema kuwa hatishiki na barua iliyotumwa kwenda kwa Mahakama ya kimataifa ICC na upinzani. Upinzani kupitia Muungano wa Azimio unaoongozwa na Raila Odinga uliandikia ICC barua ukitaka Mahakama hiyo kufungua jalada la uchunguzi kutokana na nguvu nyingi...
  3. B

    Mahakama ya Rufaa yamuachia huru mtuhumiwa aliyedaiwa kukutwa na heroine gramu 200.34, Bangi gramu 2.88 na vigae 3

    6 April 2023 Mahakama ya Rufaa Tanzania Dar es Salaam, Tanzania Jopo la majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania chini ya jaji J.A Koroso baada ya kusikiliza rufani ya Mussa R. Magae, imetoa hukumu ya kumuachia huru Mussa Ramadhani Magae baada ya Mahakama ya Rufaa Tanzania kushindwa kushawishika...
  4. Zakaria Maseke

    Jinsi ya kuomba Mahakama itengue hukumu ya upande mmoja (how to challenge ex parte judgement)

    Issue: Whether ex parte judgment can be appealed against without first attempting to set it aside?. By zakariamaseke@gmail.com Advocate Candidate - LST. Umeshtakiwa alafu hujatokea Mahakamani, kesi imesikilizwa upande mmoja (exparte) na hukumu imetolewa dhidi yako (umeshindwa kesi)...
  5. O

    Majaji wastaafu wataka mahakama ichunguze vifo tata Polisi, Gerezani

    Wakati matukio ya watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi, gerezani yakiibua sintofahamu, Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), kimependekeza kurudishwa kwa utaratibu wa mahakama kuwa ndio chombo kitakachochunguza vifo vyote vyenye utata. Chama hicho kimesema huko nyuma mtu akifariki gerezani, kituo...
  6. BARD AI

    Sabaya afikishwa tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi leo

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amefikishwa kwa mara nyingine tena leo April 5, 2023 katika Mahakama ya Hakimu mkazi Moshi. Juni Mosi, 2022 Sabaya na wenzake wanne walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi wakikabiliwa na mashtaka 7 ikiwemo...
  7. M

    Aliyeshtakiwa kuua mke kwa kumchoma moto aomba mahakama imwachie huru

    Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa, ameiomba Mahakama Kuu imuachie huru kwa sababu hadi sasa hakuna ushahidi wa kutosha wa kumshtaki. Luwonga aliwasilisha ombi hilo jana mbele ya Jaji Obadia Bwegoge...
  8. K

    Mahakama na mifumo ya sheria inaturudisha nyuma kwenye maendeleo

    Mahakama zetu zinajaa ukiritimba ambao unachukuwa muda kuisha. Kuna ucheleweshaji mkubwa wa kesi za muhimu kitaifa kuanzia kesi za kisiasa, kesi za kodi, kesi za ufisadi ni mahakama ndiyo inachewesha maamuzi na kurudisha taifa nyuma. Kuna kesi nyingi sana zinapelekwa na takuturu za rushwa...
  9. BARD AI

    Mshtakiwa aliyeiomba Mahakama akutanishwe na mkewe, aruhusiwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemruhusu mshtakiwa Said Matwiko anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine zenye uzito wa kilo 34.89 kuonana na mke wake Sarah Joseph ili wajadiliane kuhusu malezi ya watoto wao. Sara na mume wake pamoja na watu wengine watatu...
  10. Q

    Hawa ndio Wabunge waliopita bila kupingwa (2020) ambao Mahakama imesema ni batili

    Wabunge waliopita bila kupingwa (2020) na majimbo yao kwenye mabano. 1. Hamis Kigwangalla (Nzega Vijijini) 2. Kassim Majaliwa (Ruangwa) 3. Nape Nnauye (Mtama) 4. Vita Kawawa (Namtumbo) 5. Sagini Abdallah (Butiama) 6. Alexander Mnyeti (Misungwi) 7. January Makamba (Bumbuli) 8. Elias Kwandikwa...
  11. Q

    Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

    Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba. ---
  12. BARD AI

    Jalada kesi ya vigogo wa Bandari TPA mbioni kusajiliwa Mahakama Kuu

    Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho kuwasilisha taarifa muhimu Mahakama Kuu katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande (66) na wenzake watano. Kipande na wenzake hao wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo...
  13. chiembe

    Majengo Mapya ya mahakama ni sawa na jeneza lenye maiti ndani, masheikh wamekaa miaka karibu kumi bila kesi zao kuisha

    Jeneza nje hurembwa kwelikweli kwa nakshi na maua, ndivyo yalivyo majengo ya mahakama. Katikati ya majengo hayo mazuri, Kuna watu wamekaa rumande miaka karibu kumi, kesi zao haziishi, na mahakama ipo. Naifananisha na jeneza kwa sababu ukilifungua lazima ukutane na harufu, maiti. Kwa mahakama...
  14. N

    Mahakama yadai haijashindwa kusikiliza mashauri ya ugaidi

    Mahakama imesema haijashindwa kusikiliza mashauri ya watuhumiwa wa ugaidi kwa sababu ya kukosa bajeti ya kusafirisha mashahidi na kwamba gharama hizo ziko chini ya Ofisi ya Taifa ya Mwendasha Mashtaka (DPP). Katika taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano, Mahakama...
  15. MoseKing

    Wakati kelele za Katiba mpya zikikolea, Ni yapi makubaliano kwenye "Muundo wa muungano, Mahakama ya kadhi, Muundo wa Tume huru na Mamlaka ya Teuzi?

    Bila makubaliano na haya. Tutegemee kukwama tena
  16. JanguKamaJangu

    Mahakama Kuu yasitisha uamuzi wa Serikali kuzuia Vituo 6 vya TV vilivyorusha Maandamano ya Azimio

    Mahakama Kuu ya Kenya imechukua maamuzi hayo baada ya Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kutishia kuvifutia leseni na kutoza faini vituo hivyo ikidai vimekiuka kanuni kwa kurusha matangazo hayo mubashara. Amri ya Mahakama imezuia CA kuendelea kutoa vitisho kwa Citizen TV, NTV, K24, KBC, TV47...
  17. Richard

    Mahakama ya Rufani Nigeria yamruhusu Peter Obi kupinga matokeo ya Uchuguzi

    Mahakama ya Rufani nchini Nigeria imetoa ruhusa kwa mgombea wa chama kiloshindwa cha Labour bwana Peter Obi kupinga matokeo ya uchaguzi ambapo ulimpa ushindi mgombea wa chama cha APC bwana Bola Tinubu. Mapema mwezi huu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Nigeria bwana Mahmood Yakubu...
  18. Lady Whistledown

    Jumuiya ya Kikristo Nchini yatoa wito wa Serikali kutoingilia Mahakama

    Ikitoa maoni kwa Tume ya Haki Jinai katikakuboresha mfumo wa Haki nchini, Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), imeshauri maeneo manne yanayohusisha mfumo wa huduma za magereza, utendaji wa Jeshi la Polisi na mhimili wa mahakama chini ya msingi wa biblia, kitabu cha Isaya sura ya 32:17-18...
  19. BARD AI

    Mahakama yamwachia huru aliyedaiwa kumuua Trafiki, Serikali imeshindwa kuthibitisha

    Mfanyabiashara Aman Elikana (38) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya mauaji, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake. Elikana alikuwa akituhumiwa kumuua askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, mwenye namba...
  20. Messenger RNA

    Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin. ===== Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo...
Back
Top Bottom