Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Kwa sasa kipaumbele cha Mahakama duniani kote ni kujitahidi kumaliza kesi kwa njia ya Usuluhishi badala ya Kuhukumu.
Akiwa Mkurugenzi wa Mashtaka Mh. Biswalo alionyesha uwezo mkubwa katika eneo Hili la ushawishi na nadhani ndio sababu alipandishwa cheo na kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
Wakati Jaji...
31 Januari 2023
KONGAMANO KUJADILI NAFASI YA MAHAKAMA UBORESHAJI MAZINGIRA YA BIASHARA LAFANYIKA
Na Faustine Kapama-Mahakama, Dodoma
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akichukua kumbukumbu muhimu wakati wa Kongamano hilo
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma...
Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Hamis Juma ameyasema hayo leo hii trh 1/2/2023 katika maadhimisho ya wiki ya sheria.
amesema Serikali ilitoa fedha za kununua "software" ambayo imesha nunuliwa na sasa zitafungwa mahakamani ili kutafsiri kutoka kimombo kwenda kiswahili, hili ni jambo jema kwani...
Akizungumza leo Jumanne Januari 31, 2023 Ikulu Chamwino, Dodoma wakati akizindua tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, Rais Samia ameitaka tume hiyo kuichunguza ofisi hiyo juu ya utendaji kazi na uendeshaji ili kubaini kasoro zilizopo na kutoa mapendekezo...
Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu alimkamata mtu, akamuweka ndani kwa siku kadhaa.
Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imetoa amri kwamba serikali ilipe fidia ya milioni 90 na Mkuu wa Wilaya alipe fidia ya milioni kumi.
Maamuzi mabaya yanaligharimu taifa, piga hesabu TRA wanahangaika kukusanya...
Serikali imetaja taasisi za Polisi, Mahakama na Muhimbili kwamba zinaongoza kwa viashiria vya uvunjifu wa maadili nchini hivyo akaomba viongozi wakutane na kujadili kwa nini taasisi nyeti kama hizo zinatajwa.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
Mahakama ya Mwanzo Mkoani Mbeya imevunja ndoa ya Upendo Charles (40) na Nelson Sospeter (54) baada ya mke kudai kutopatiwa unyumba na mume wake kwa muda wa miaka saba.
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Asha Njovu, amesema baada ya kusikiliza kwa kipa pande zote mbili Mahakama iligundua kuwa...
Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake, tena kwa kuonesha ushahidi kuwa ni Mali yake halali.
Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3)...
Naomba majibu ya swali hilo katika ulimwengu huu wa kuchakachua kufoji kubambikiza kuonea kutoleana ushahidi wa uongo je kuna haja ya Kuwa na kipengele kama hiki?
Nimekutana na hili andiko kwenye mitandao yetu hii, naamini mamlaka zitatuambia ukweli wa hii kitu....
Anaandika Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mh. Siriel Mchembe👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
Niimepokea taarifa kutoka kwa DC Rungwe Dkt. Vincent Anney kwamba alfajiri ya leo, Hakimu Joakim Mwakyolo wa Mahakama ya...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya kukutwa na viungo vya binadamu inayomkabili Salum Nkonja (23) kuwa shauri hilo litakapokuja tarehe ijayo wahakikishe wanaleta mashahidi pamoja na vielelezo katika mahakama hiyo.
Inadaiwa kuwa mshtakiwa huyo alikutwa na...
Rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kupinga hukumu iliyomwachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake, imepangwa kuendelea kusikilizwa kwa siku tano mfululizo kuanzia Februari 27, 2023.
Rufaa hiyo namba 155/2022 mbali na Sabaya wajibu rufaa...
Mahakama ya Afrika Kusini imesitisha mashtaka binafsi dhidi ya Rais Cyril Ramaphosa yaliyoanzishwa na Rais wa zamani Jacob Zuma.
Ramaphosa alikata Rufaa Mahakamani kujaribu kusitisha juhudi hizo.
Zuma anamshutumu Rais kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya mwendesha mashtaka wa Serikali na...
Wafuasi hao wa Jair Bolsonaro ambaye hakukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa Urais, Jumapili Januari 8, 2023 walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu katika Mji Mkuu wa Brazil, wiki moja baada ya kuapishwa kwa, Rais Luiz Inacio Lula da Silva.
Mamia ya waandamanaji waliruka vizuizi vya usalama...
Habari ndugu wapambanaji..
Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli?
Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu, C hapo gumepigwa..
Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa...
Ikiwa unataka kuachana na mtu kwa amani, mfano umemchoma, hujisikii kuwa nae, ukamwambia ki roho safi kua achukue anachotaka aondoke au aseme anataka nini halafu akagoma, unamfanya nini mtu kama huyu? Au unamuachia mji unanda kuanzisha mji wako? Kwanini mtu usikubali kuachika kama hupendwi
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Vyombo vya Habari vya Ethiopia (EMA) ambayo iko chini ya Serikali imetoa onyo kwa mamlaka nyingine ambazo zimekuwa zikiingilia uhuru wa Waandishi wa Habari wakiwemo wanaofanya Habari za Uchunguzi.
Onyo hilo limetokana na malalamiko kutoka Kituo cha Televisheni...
Mahakama Kuu imesema kitendo cha maofisa wa magereza kuwalazimisha wafungwa kupima Virusi vya Ukimwi (VVU) bila ridhaa yao na kutangaza majibu ya vipimo vyao hadharani ni kinyume cha sheria.
Majaji, Elinaza Luvanda, Edwin Kakolaki na Sedekia Kisanya wamekubaliana na ombi la kikatiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.