Mwanaume mmoja ajulikaye kwa jina la Marco Samweli mwenye umri wa miaka 32 mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kibitilo kata ya Ilula wilayani Kwimba mkoani Mwanza amejikata uume wake na kisha kuutupa kwa kutumia kisu kwa madai kuwa amechoka kuumwa ugonjwa uliokuwa unamsumbua.
Kamanda wa polisi mkoa...
Kongozi wa Umoja wa Azimio, Raila Odinga amesema anachukua uamuzi huo dhidi ya Rais wa Kenya, William Ruto ambaye ameunda Kamati ya kuchukunguza miili 110 iliyofukuliwa katika eneo la #Shakahola lilipo katika Kanisa la Good News International Church, ambapo takribani Watu 320 wameripotiwa...
Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko...
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili.
Nikienda kwenye mada moja Kwa...
Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG.
Chanzo: Jambo TV
Pole sana Wanawake mnaosubiri mtalakiane na Mme wako afu mdai talaka mwisho mgawane mali.
NIMEPENDA HII YA KIJANA (HAKIMI) kama ujaipata ifuatilie......
ume
Waziri wa Habari, Lai Mohammed anasema Rais mteule Bola Tinubu ataapishwa tarehe 29 Mei licha ya kesi Mahakamani kupinga ushindi wake
Wagombea Wanne wa Urais waliwasilisha mapingamizi ya kisheria tarehe 21 Machi dhidi ya ushindi wa Tinubu, kwa madai kuwa kulikuwa na wizi wa kura na udanganyifu...
Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.
Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (76) atasafiri kutoka Florida kwa ndege yake binafsi kuelekea New York kisha kujisalimisha kwa mamlaka za Usalama ambapo anatarajiwa kufikishwa Mahakamani Jumanne Aprili 4, 2023.
Licha ya kuwa mashtaka yake hayajawekwa wazi lakini inadaitwa atashtakiwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi na kuwachia huru watu watatu wakiwemo wanandoa waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi gramu 66.70, baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano mfululizo bila kuendelea na usikilizwa wa upande wa...
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo.
Hivi mama...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema ruzuku hutolewa kwa Chama kinachopata zaidi ya 5% ya kura zote za Wabunge wa majimbo
Lisu anasema kwa mujibu wa NEC CHADEMA walipata takribani 17% ya kura hizo na wakaqualify kupewa ruzuku
Sasa ikumbukwe hapa Baada ya Uchaguzi hakuna Mbunge...
Rais wa zamani wa mahakama ya kimataifa ya ICC amesema anao uhakika kabisa kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili.
Dr Chile Eboe-Osuji ameongeza kuwa katika miaka ambayo hati hizo za kukamatwa zimekuwa zikitolewa wote wamejikuta mwisho wa siku...
Watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania ambao Juni 28 2022, walitiwa hatiani kwa kosa la uhujumu uchumi na uchepushaji wa fedha za walimu kiasi cha shilingi 13,900,000 na matumizi mabaya ya madaraka. Kwa kosa hilo walifungwa miezi 6 gereza la Ukonga lakini walikaa...
Sakata la ndoa ya mtaalamu wa tiba mbadala, Juma Mwaka maarufu Dk Mwaka na mkewe Queen Masanja, limechukua sura mpya baada ya shauri hilo kutua kwa wanasheria ambao wamepanga kulipeleka mahakamani.
Shauri hilo tayari limepita kwenye Baraza la Usuluhishi chini ya Ustawi wa Jamii na wakati wowote...
Aliyekuwa Mgombea Urais kwa Chama cha Labour Party, Peter Obi ameahidi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Rais Mteule, Bola Tinubu wa Chama Tawala cha APC.
Obi alishika nafasi ya 3 amedai matokeo yalichakachuliwa.
Inadaiwa waliopiga kura ni 28% ya Wanigeria waliojiandikisha huku wengine...
Aliitwa/alienda mwenyewe nafikiri ilikuwa ni kesi ya Balozi aliyeitwa Mahalu aliyeshutumiwa kwa uuzaji wa nyumba ya Ubolozi huko Italia, baada ya Mkapa hakuna na wala hakujawahi kuwa na Rais wa Tanzania aliyeitwa Mahakamani.
Mzee Mkapa Mahakamani
Sakata la Mwanahabari Luqman Maloto ambaye amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam limeendelea leo Februari 9, 2023 ambapo imefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa.
Wakili Hekima Mwasipu anaelezea kilichotokea ikiwemo Mkurugenzi wa Makosa...
Mawakili wapinga azimio la TLS kulazimisha Mawakili wa Tanganyika Law Society kupitia azimio la mkutano wao wa mwaka AGM annual General Meeting kuwa wanachama wa EALS ambapo itakuwa lazima walipie $20 kuwa wanachama kwa lazima wa chama cha Mawakili Afrika ya Mashariki - East Africa Law Society...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.