Mwabukusi amesema watanzania tuna wajibu wa kikatiba wa kulinda rasilimali za nchi hii. Waziri Masauni na Nape waache kutisha watu, na kwamba yupo tayari kupambana nao kisheria, akisema kuwa mkataba ni wa kijambazi, hataruhusu aina hii ya mkataba kufanya kazi nchini.
Mwabukusi ameongeza kuwa...
Kesi Kesi hiyo leo inatarajiwa kuendelea tena baada ya kusimama kwa miezi miwili, tangu Mei 17, mwaka huu. Siku hiyo kesi hiyo haikuendelea Kwa kuwa Jaji Cyprian Mkeha anayeiskilizwa hakuwepo, kwani alikuwa kwenye semina ya majaji ndipo ikapangwa kuendelea leo.
Wabunge hao akiwemo Halima Mdee...
Citizens Coalition for Change (CCC) ambacho ni chama kikuu cha upinzani Nchini Zimbabwe kimefikia uamuzi huo kikipinga uamuzi wa Polisi wa kupiga marufuku mkutano wa kisiasa uliopangwa kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 2023.
Zuio hilo linahusu kufanya mkutano katika Mji wa...
Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine?
-Mke au mume wako ni mwema kabisa tabia njema wala hana tatizo, mara paap! Kapata kazi huko Marekani, likizo yake ya kurudi ni wiki 2 tu mwaka...
Ni Wafanyakazi 4 wa Kampuni ya JV Spek LTD inayojenga mradi mkubwa wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Igunga, Tabora.
Watuhumiwa hao ni pamoja na waongoza Mitambo Ally Said (36), Samwel Mtenga (35), Awadh Mrango (36) na...
Wakili Msomi Alphonce Lusako akishirikiana na Wakili msomi Chengula Emmanuel pamoja na wenzao wawili wameiburuza serikali mahakamani kwa kupitisha mkataba wa ubinafsishaji wa bandari zetu bila kuzingatia maslahi ya nchi.
Washtakiwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi, Waziri wa...
Waungwana salaam
Ni bayana kwa mujibu wa katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 ibara ya 118 Ikisomwa pamoja na ibara ya 120 zinaweka wazi kuwa Jaji Mkuu atastaafu punde atakapotimiza umri wa miaka 65.
Na kwa kuwa Jaji Mkuu wetu Profesa Ibrahim Juma ametimiza umri wa miaka 65 tarehe 15/06/2023 hivyo...
Dar es Salaam. Hivi mwanamke aliyebadili jina la baba yake na kutumia la mumewe baada ya kuolewa anajua kama anaweza kupoteza haki ya kumiliki mali walizochuma katika ndoa? Hiki ndicho kilichompata Salma Mohamed Ibrahim.
Kwa mujibu wa hukumu iliyotolewa juzi na Jaji John Nkwabi wa Mahakama Kuu...
Naona Serikali imeanza kupita mitaani kuwasikiliza wanaoisema vibaya, Jamal Mikome mkazi wa Chanika amefikishwa mahakama ya Kisutu kwa madai ya kuitukana Serikali wakati akitoa povu kuhusu Deni la Taifa na kuinyima kura Serikali mwaka 2025.
Kwani wasipite pia kukusanya maoni ya wananchi kuhusu...
Hii itasaidia sana kudhibiti vyombo vya habari na waandishi wa hovyo
Wafanye kama alivyofanyaga manji kuzuia vyombo vya habari ya mengi kuandika kuhusu yeye
Kwa kuanzia waanze na kuzuia Efm na TVE kuzungumza kuhusu yanga
Kisha waje na baadhi ya waandishi uchwara kama juma ayo
Hii italeta nidhamu...
Watu 11 wakiwemo wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kusafirisha nyara za serikali na kutakatisha kiasi cha shilingi bilioni 3.2.
Natumaini mu wazima na wavumilivu wa hali kwa jina la Mwenyezi.
Kabla ya yote nimpongeze kijana Bwana Wangwe kwa ushindi mkubwa alioupata kwa niaba ya watanzania wote. Ushindi wa zuio la wakurugenzi kusimamia uchaguzi mahakamani ni kuchonga barabara ya haki iliyokua iki kanyagwa mara kwa mara...
Hilo la bandari limemtia doa sana Rais Samia kwa Wananchi hadi wa chini kabisa!
Mwanasiasa ukiona umeanza kutetewa kwa nguvu zote na wapambe tambua utetewacho kwacho sicho sahihi kukifanya na ikiwezekana achana nacho.
La bandari na SINTOFAHAMU yake wamelipitisha kwa kulazimisha ila watambue...
Kama inawezekana, lipeleke mahakamani hata kama mahakama zinaweza kuwa na kigugumizi kutoa haki kwa uhuni uliofanywa na magufuli a below (Public interest litigation)
Tanzania’s parliament has fast-tracked a legal amendment that threatens to severely restrict the capacity of independent rights...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Miami akikabiliwa na makosa saba yakiwemo ya kumiliki nyaraka za siri za Serikali.
Wakili wa Trump ameweka wazi kuwa Mwanasiasa huyo atafika Mahakamani hapo Juni 13, 2023 lakini kwa sasa wanasubiri Hati ya...
Watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 11 likiwemo la utakatishaji wa fedha zaidi ya Sh658 milioni.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Grace Mwanga amewataja washtakiwa hao ni mfanyabiashara Ridhiwani Shaban na Moses Nassoro.
Akisoma hati ya...
Isack Robertson (45) mkazi wa Sombetini jijini Arusha amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha akikabiliwa na kosa moja la shambulio la kudhuru mwili.
Mshitakiwa huyo amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Mei 31, 2023 mbele ya Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo Jenipher Edward.
Katika...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian @batilda.burian amesema jalada la uchunguzi wa tukio tata la Watoto pacha waliozaliwa kabla ya muda katika Kituo cha Afya Kaliua na mmoja wao kunyofolewa jicho la kulia na ngozi ya paji la uso, limekamilika na Watumishi wanne wa Kituo hicho...
Wafanyabiashara watatu, Goodness Remy mkazi wa Salasala, Emmanuel Chigbo Mkazi wa Goba na Paulina Mwanga mkazi wa Kibaha wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na Mashtaka ya Uhujumu Uchumi.
Wakili wa Serikali, Frank Michael, ameiambia Mahakama kuwa, washtakiwa walitenda kosa...
Mei 8, 2023, katikati Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe, limefunguliwa Shauri la Jinai Na. 16/2023 Jamhuri dhidi ya Bw. Jackson W. Mahali ambaye ni Mfanyabiashara.
Mshtakiwa anashtakiwa kwa makosa ya kughushi na kuwasilisha nyaraka za uongo TRA ili kuhamisha umiliki wa magari kwenda kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.