Naomba kuwajulisha haya machache yatawasanua!
Ile harassment ya wafuasi wa CHADEMA, jana (Septemba 15, 2025) ilikuwa kimkakati na ilipangwa kabisa ili kutaftia njia ya kuwashambulia kama ujumbe wa kutisha wanaopanga kuandamana!
Ile haikutokea bahati mbaya, Ilipangwa kabisa ili wajae kwenye mfumo, na media zote hadi Millard Ayo, Mwananchi waliachwa warushe ili ujumbe ufike!
Tukio kama la bahati mbaya jamaa huwa wanazuia media wasikave, Vyombo vya Habari huwa hawarushi;
Ukiona limepostiwa na waandishi au wasanii kulipost kwenye page zao huwa lina maelekezo ili kutisha au kufanikisha ajenda flani kimkakati!
NAWASHAURI MAANDAMANO YASISUBIRI SIKU YA UCHAGUZI HUO NI UONGO!
Maandamano yanatakiwa yaanze kabla ya uchaguzi na yalipuke inaweza ikawa kwa wiki mara moja au kila siku hadi kilele chenyewe siku ya uchaguzi!
Narudia tena maandamano yatayofanikiwa zaidi awamu hii lazima yawe tofauti yanatakiwa yalipuke kama volcano papu!
Na katika maandamano nawapa trufu kubwa sana ya kufanikisha maandamano makundi haya!
WANAWAKE, WATOTO WA SHULE hawa nawapa nafasi kubwa sana!
Wanaume siku zote wakiona wanawake wametangulia mbele huwa hawana kitu cha kupoteza huwa wanafuata nyuma!
Maandamono yasingoje siku ya uchaguzi yatabuma yanatakiwa yaanze mapema hata kama kwa kususua sua lakini yanatakiwa yaanze!
Mbinu wanazotumia polisi ni zilezile;
1. Kutisha kama jana kushambulia na kusambaza ujumbe ufike (kimkakati)
2. Maandamano yakianza Hutishia na brankoo hewani puuup puuuh
3. Maandamano yakizidi Hupiga risasi mguu wa mmoja mbele!
4. Maandamano yakiendelea Hupiga mmoja au waili risasi
5. Wananchi wakizidi kusonga mbele Polisi HUSHUSHA SILAHA CHINI na kuvua gwanda zao na kujigeuza WASAMARIA au WALINDA AMANI
NOTE; Hata wao wanayatamani sana yafanyike zile mbwembwe za vitisho ni maelekezo ya kazi tu hata ungekuwa wewe ni polisi lazima utii ili upate ugali!
Wanaounga maandamano wapo pote!
Na mbinu ya kufanikisha ni yaanze mapema kuliko kusubiri siku ya tukio.
Maanadamano yanaweza kuanzia uwanja wa mpira kwenye michezo, hospital, shule, chuo, kwenye viwanja vya kampeni, mahakaman, au kwenye tukio lolote ..
MNAPOANDAMANA MKIWA WACHACHE MSIPOTEZE MUDA KUBISHANA NAO KWA MANENO! MATUSI AU MABISHANO HAYANA MAANA kwanza yanawaondelea utulivu na malengo!
Mbinu ya kijeshi ni pamoja na kumstress Muandamanaji ili atoke kwenye utulivu ainge kwenye mfumo wa vita wampige!
Polisi wanapowaharass ile ni mbinu ili mpate hasira mjae kwenye mfumo wa vita!
Kuwe makini sana mnapoharassiwa msijibubkwa jaziba ndo lengo lao!
SIMAMIENI MSIMAMO BILA KUTOA MAJIBU HUKU MKISONGA MBELE!
MNAPOAANDAMANA MSIINGIE KWENYE MIFUMO YAO BALI TIMIZENI KUSUDI LENU KWA UTULIVU