Huenda kipigo cha mwanachadema mahakamani ilikuwa kimkakati ndiyo maana media zote zimerusha

Huenda kipigo cha mwanachadema mahakamani ilikuwa kimkakati ndiyo maana media zote zimerusha

Hakuna mandamano ya kujiandaa yaliyofanikiwa duniani
Na hakuna mandamano yaliyofanikiwa yalioitishwa na wanasiasa

Twende mdogo mdogo wananchi wenyew ipo siku akili zitatoka makalioni zitarudi kichwani watawawajibisha tu mafisadi na madhalimu
 
Back
Top Bottom