GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X

TAARIFA KWA UMMA

Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya

1. Mhe. John Heche
2. ⁠Mhe. John Mnyika
3. ⁠Hilda Newton
4. ⁠Twaha Mwaipaya
5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema.

Maombi hayo wanaomba Wajibu Maombi tajwa hapo juu Wakamatwe na Kuwekwa gerezani kuwa wamekiuka Amri ya Mahakama ya tarehe 10 June 2025.

Wanadai kuwa wamekuwa wakihutubia vyombo vya habari, Kufanya Mikutano na Vikao mbalimbali Kinyume na Amri hiyo”

Pia soma
- Mahakama yaitaka CHADEMA kukabidhi nyaraka za Chama kwa Saidi na wenzake ndani ya siku 14
 
TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche2. ⁠Mhe. John Mnyika3. ⁠Hilda Newton4. ⁠Twaha Mwaipaya5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema.Maombi hayo wanaomba Wajibu Maombi tajwa hapo juu Wakamatwe na Kuwekwa gerezani kuwa wamekiuka Amri ya Mahakama ya tarehe 10 June 2025.Wanadai kuwa mmekuwa mkihutubia vyombo vya habari, Kufanya Mikutano na Vikao Mbali mbali Kinyume na Amri hiyo”

Sasa wao kinawauma nini....!!?

Hawa Wazanzibar wameamua kuwatesa Wabara haswa haswa.
 
TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche2. ⁠Mhe. John Mnyika3. ⁠Hilda Newton4. ⁠Twaha Mwaipaya5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema.Maombi hayo wanaomba Wajibu Maombi tajwa hapo juu Wakamatwe na Kuwekwa gerezani kuwa wamekiuka Amri ya Mahakama ya tarehe 10 June 2025.Wanadai kuwa mmekuwa mkihutubia vyombo vya habari, Kufanya Mikutano na Vikao Mbali mbali Kinyume na Amri hiyo”

..sasa wakikamatwa watatekeleza vipi amri ya mahakama kuwasilisha nyaraka za fedha na mali za chama ambazo Said Mohamed na wenzake wanazidai?

..halafu Hilda Newton ndiye anayetoa habari za muenendo wa kesi ya uhaini dhidi ya TL. Kesi hiyo itaanza kusikilizwa wiki ijayo. Huenda Said Mohamed ni sehemu ya mkakati wa dola kuficha kinachoendelea mahakamani.
 
Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X

TAARIFA KWA UMMA

Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya

1. Mhe. John Heche
2. ⁠Mhe. John Mnyika
3. ⁠Hilda Newton
4. ⁠Twaha Mwaipaya
5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema.

Maombi hayo wanaomba Wajibu Maombi tajwa hapo juu Wakamatwe na Kuwekwa gerezani kuwa wamekiuka Amri ya Mahakama ya tarehe 10 June 2025.

Wanadai kuwa wamekuwa wakihutubia vyombo vya habari, Kufanya Mikutano na Vikao mbalimbali Kinyume na Amri hiyo”

Pia soma
- Mahakama yaitaka CHADEMA kukabidhi nyaraka za Chama kwa Saidi na wenzake ndani ya siku 14
Hawa wazanzibari wamepania kwelikweli kututawala.
Sijui itakuwaje iwapo Samia atapenyeza na kubaki madarakani kwa nguvu?
 
..sasa wakikamatwa watatekeleza vipi amri ya mahakama kuwasilisha nyaraka za fedha na mali za chama ambazo Said Mohamed na wenzake wanazidai?

..halafu Hilda Newton ndiye anayetoa habari za muenendo wa kesi ya uhaini dhidi ya TL. Kesi hiyo itaanza kusikilizwa wiki ijayo. Huenda Said Mohamed ni sehemu ya mkakati wa dola kuficha kinachoendelea mahakamani.
Siyo "huenda"; ndivyo haswa ilivyo pangwa

Usije kushangaa hii kesi ikawa ndiyo inawamaliza CHADEMA kama chama cha siasa. Miaka mitano yote kesi itakuwa mahakamani; na CHADEMA hawawezi kufanya shughuli za chama!
 
..chama ni watu, na itikadi, sio mali.

.." kushusha tanga na kupandisha " ni moja ya options.
 
..sasa wakikamatwa watatekeleza vipi amri ya mahakama kuwasilisha nyaraka za fedha na mali za chama ambazo Said Mohamed na wenzake wanazidai?

..halafu Hilda Newton ndiye anayetoa habari za muenendo wa kesi ya uhaini dhidi ya TL. Kesi hiyo itaanza kusikilizwa wiki ijayo. Huenda Said Mohamed ni sehemu ya mkakati wa dola kuficha kinachoendelea mahakamani.
Mkuu wewe unaamini Hilda ndo anayetoa zile Updates ama Account yake inatumika tu kutoa update lengo likiwa ni kuwapoteza maboya? Maana hata zile typing siyo za Hilda kabisa
 
..hata kama Hilda sio muandishi lakini account yake ndio inatumika bado ana mchango ktk kuuhabarisha umma.
 
Hii kesi unaona kabisa lengo lake lilikuwa nini
 
Aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohammed, kwa kushirikiana na wenzake Ahmed Rashid Khamis na Maulidah Anna Komu, amerudi tena mahakamani akiwasilisha maombi mapya dhidi ya viongozi wa chama hicho akiwemo Makamu Mwenyekiti Bara, John Heche, pamoja na wenzake wanane. Wamedai viongozi hao hawakuheshimu amri ya Mahakama Kuu iliyotolewa Juni 10, 2025, ikiwazuia kushiriki shughuli zozote za kisiasa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa.

1759560074759.png
Kwa mujibu wa taarifa zilizowasilishwa, maombi hayo mapya yaliyosajiliwa kwa namba 8960/2025 yanahusiana na kesi ya msingi namba 8323/2025 inayoendelea mbele ya Jaji Hamidu Mwanga. Kupitia wakili wao, Mulamuzi Patrick Byabusha, walalamikaji wanasema pamoja na zuio lililopo, bado baadhi ya viongozi wa CHADEMA wameendelea kuitisha mikutano ya ndani, kutoa maelekezo ya kisiasa na kufanya mawasiliano na vyombo vya habari kinyume na maagizo ya Mahakama.

Aidha, inakumbukwa kuwa Juni mwaka huu Mahakama ilikubali ombi la walalamikaji na kutoa zuio kwa Katibu Mkuu wa chama hicho pamoja na Bodi ya Wadhamini, sambamba na watu wanaowasaidia, mawakala wao na yeyote anayefanya kazi chini ya mwamvuli wa chama, kuacha mara moja kuendesha shughuli zinazohusu siasa, mali na rasilimali za chama hadi shauri la msingi litakapomalizika.

Katika kesi ya msingi, walalamikaji wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiikandamiza Zanzibar kwa kutoshirikishwa ipasavyo kwenye mgao wa mali na fedha za chama, sambamba na tuhuma za kutoa matamko yenye kuashiria udini, ukosefu wa usawa wa kijinsia na vitendo vinavyotafsiriwa kama tishio kwa mshikamano wa Muungano wa Tanzania.

1759559779348.png
 
Hawa jamaa mbona kama ni mpango maalumu wa kuiangamiza chadema. Kwa hiyo hawa bado ni wanachama wa chadema?
 
Hata kama ni akaunt yake kuthibitisha mahakamani kwamba yeye ndiye anayetoa updates ni ngumu
..hata kama Hilda sio muandishi lakini account yake ndio inatumika bado ana mchango ktk kuuhabarisha umma.
Ni
 
Back
Top Bottom