MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Natoa rai hii kwa Wanachadema wote nchini na wasio Wanachadema, kujitokeza kwa wingi wa maelfu nje ya mahakama kesi ijayo.
Endapo Wananchi mtajitokeza kwa wingi wa maelfu basi siku hiyo itaua molari ya polisi Nchi nzima, na wote wanaofanya kampeni.
Kuna kosa la kimsingi na kimkakati naona Wanachadema mnafanya, hakuna faida ya kushabikia maelezo mazuri ya Kisheria anayotoa Lissu wakati atashinda kesi kwa huruma ya wanaomtesa na sio Merit na haki.
Wanachadema mkionesha unyonge mnaofanya, mtaendelea kuteseka na mwisho watu wenu wanavunjika moyo