Kesi ijayo ya Lissu, Wanachadema zaidi ya 10,000 wawepo mahakamani

Kesi ijayo ya Lissu, Wanachadema zaidi ya 10,000 wawepo mahakamani

Vita ya majimaji waliohasisi wazee wetu ianze sasa tumechoka , unapigaje watu tena waliotii amri ya kukaa chini , njia zozote ziwe za maombi au ushikina zitumike ,tumechoka sasa ,tunadhalilisha nchi kwa ujinga mdogo tu.
Tafuta chimbo ulambe asali Mzee
Huon wenzako wanaendesha v8
 
Watu wa Gwajima walionesha mfano
Na wale ndo walikuwa starting point, shida haya mambo yanakua haya umoja. Ingekuwa kama wale walivyoanza na wengine wanaungana nao then kitu inakua out of control
 
Dawa na wewe ibaaaaa......
Shamba bibi
Tanzania ni nchi maskini sana, kama unaona Wote tukiiba ni sawa basi ubatizo.

Taifa dogo la Israel linauchumi mara 10 ya Tanzania bado hawaibi ovyo
 
Tanzania ni nchi maskini sana, kama unaona Wote tukiiba ni sawa basi ubatizo.

Taifa dogo la Israel linauchumi mara 10 ya Tanzania bado hawaibi ovyo
Kama viongoz wako wanaiba wewe sisimizi unakwama wapi
 
Kuna tukio lilifanyika miaka ya nyuma kidogo huku geita ambapo wamasai walikuwa 3 waliiba nyamarimbe karibu na kamena pale basi wakaanza kufuatiliwa walielekea mashariki yaani kama wanakuja karumwa.

Hivyo siku zikaanza kupigwa watu wa nyamalimbe wanakuja wanapitia wanakijiji wengi yowe likatangulia hadi nyamikonze huko bukelekele na bumanda yote.

Wale wa masai walijikuta mtu kati watu wengi mnoo huko na kule ikabidi wapande juu ya mti wakaanza kudondosha hela wakiwa juu ya mti.

Muda huo askari walikuwepo na bunduki zao walikuwa maaskari kama wa6 (mimi sikuwepo)

Hatimae waliamza kushambuliwa askari mmoja akajitoa ufahamu kumshambulia mwananchi mmoja kwa kumpiga risasi mguuni hapohapo msala ukawageukia hadi alikuja mkubwa wao akaomba yule mmasai mmoja afunguliwe pingu ndo wamuue maana wananchi waligoma kabisa kwenda na hao wahalifu.


Basi walipigwa na kuchomwa moto mbele ya maaskari huku aliyempiga risasi raia akiwa taabani mbaya.

Zaidi ya yote wali wa masai waligawanwa viungo vyao wakaisha na mchanga ukabebwa.

Kama una mwenyeji wa maeneo hayo unaweza kuuliza tukio hili.


Achilia mbali raia wa Kanda ya ziwa hata wanafunzi tu nakumbuka sisi tumewahi kutoa kipigo kitakatifu kwa maaskari kipidi tunasoma Olevel tu.

Tukio la mwisho wanafunzi kuwapiga maaskari lilitokea shule ya Bulyanhulu kakola kahama. Walipigwa vibaya hadi wakaja FFU ndo pakapoa.

Sijajua Dar shida huwa ni nini hasa hii tabia ya Dar imeanza kuambukizwa na huku Kanda ya ziwa watu wamekuwa waoga waoga tu
Wanaume wa Dar waoga sana
Wanajua kubambia makalio ya wanawake kwenye daladala
 
Huku unatumia jina feki

Nyie vibogoro bana

Tumia majina halisi sasa.
Polisi wapo 2000 tu mkienda 10,000 au 20,000 itabidi waombe backup kutoka Msumbiji naielewa sana Malawi ilivyo ndio maana kule Mwanza wale jamaa waliomkata kichwa bodaboda wananchi walikuja 50,000 polisi wapo 10 wakawakwida wakachukua wale wauaji wawili wakawaua Polisi waliojifanya namna gani wakatiwa makwenzi, Polisi 10 mbele ya wananchi 50,000 watafanyaje?
 
Back
Top Bottom