mahakamani

  1. JanguKamaJangu

    Uganda: Wabunge kwenda Mahakamani kupinga sheria ya Mtandao

    Bunge la Uganda limepitisha Sheria ya Mtandao ikilenga watumiaji wa kompyuta Nchini humo. Baadhi ya Wabunge wamenukuliwa wakisema kwamba watakwenda kuipinga Mahakamani itawahusu watu wanaochapisha taarifa za uongo mitandaoni, taarifa ambazo hazijathibitishwa na wahusika, pia kuchapisha taarifa...
  2. Roving Journalist

    Dar: Kundi la WhatsAppp lamfikisha Mwanahabari Maria Victor Mahundi mahakamani

    Alikamatwa Mei 2020 na kukaa mahabusu ya polisi Central kwa siku 14 kwa amri ya utawala wa awamu ya tano kwa tuhuma za kuposti taarifa za wagonjwa wa Covid19 kukimbia Amana Hospital. Pamoja naye Mhariri na Mkurugenzi wa Raia Mwema Mbaraka Islam naye alikamatwa na wote walipekuliwa nyumbani...
  3. Lady Whistledown

    Aliyejaribu kumhonga baba mtu baada ya kumpa mimba binti yake, akana kosa hilo mahakamani

    Mchimbaji wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Erick Peter (39) amefikishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Simanjiro na kusomewa shitaka la kumpa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Tanzanite. Peter amesomewa shitaka hilo na mwendesha mashitaka...
  4. JanguKamaJangu

    Watoto wa Mfalme Zumaridi wafika Mahakamani, leo Septemba 9, 2022

    Watoto wa mfalme Zumaridi hii leo Septemba 9, 2022, wamefika Mahakamani kufuatilia kesi ya mama yao. Zumaridi na wafuasi wake nane wanakabiliwa na kesi ya kujeruhiwa askari polisi na kuwazuia kutekeleza majukumu yao na inaendelea na ushahidi. Source: EATV Pia soma: Mfalme Zumaridi aonesha...
  5. BARD AI

    Jaji Othman Chande: Hakuna sababu ya Matokeo ya Urais kutopingwa Mahakamani

    Jaji amesema nchi haitapungukiwa chochote ikiwa itaruhusu watu binafsi na wagombea kupinga matokeo ya Urais Mahakamani. Ameongeza kuwa "ukishasema kwenye Katiba kwamba Mahakama ndiyo Mamlaka ya mwisho ya Kisheria, basi mzozo wowote unapaswa kufika kwenye Mamlaka hiyo ya mwisho ya kisheria"...
  6. JanguKamaJangu

    Wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za Ubadhirifu wa fedha za Sakosi ya walimu Singida

    Mahakama ya Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, imefunguliwa kesi Ecc.52/2022 . Washtakiwa ni Cladius Linusl na Leah Roman Mnyipanduka ambao kwa pamoja wanashtakiwa kwa makosa ya matumizi mabaya ya ofisi, ubadhirifu na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kiasi cha Tsh. 10,000,000/= mali ya...
  7. Nyuki Mdogo

    Maana halisi ya "If you do me, I do you", tukutane Mahakamani

    Unyama mwingi mwaisa.
  8. K

    Nashauri Kenya waache mavazi ya kikoloni mahakamani

    Sijaona sababu ya wakenya kuvaa mavani ya kikoloni mahakamani.
  9. Jamhuri ya Zanzibar

    Ya Bamkwe yangalipo: Safari yangu ya gerezani bila kupitia polisi wala mahakamani

    Na; Ahmed Omar UTANGULIZI Kwa takriban miaka kumi hivi tokea kufanyika kwa Mapinduzi ya 1964 palikuwa pakifanywa uhalifu mkubwa hapa Zanzibar kwa jina la Mapinduzi hayo. Moja ya eneo maarufu ambalo lilikuwa limeshtadi kwa mateso na ukaltili ni gereza la Kwa Bamkwe. Huku gerezani Kwa Bmkwe...
  10. The Sheriff

    Mdee na Wenzake wawasili mahakamani kwa ajili ya usikilizwaji wa shauri lao

    Wabunge wa viti maalum akiwemo Halima Mdee na wenzake leo Ijumaa wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuhudhuria kesi waliyoifungua mahakamani hapo ya kupinga kuvuliwa uanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama wa...
  11. Stuxnet

    Deus Kakoko afikishwa TAKUKURU. Alikuwa "Untouchable" kwenye Utawala wa Jiwe

    Rejea headline ya Raia Mwema ya tarehe 24 August, 2022. Deus Kakoko alikuwa "Untouchable" kipindi cha Magufuli kutokana na kuwa msiri wake tangu akiwa Regional Manager wa TANROADS enzi za awamu ya 4. Wakati wa Mwendazake hata PM Majaliwa amewahi kugonga mwamba kwa hiki kisiki. Soma na hizi...
  12. BARD AI

    Mtoto wa Waziri Simbachawene kuburuzwa mahakamani

    Siku moja baada ya kusambaa video inayomuonyesha mtoto wa Waziri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene akitoa lugha chafu mbele ya askari wa usalama barabarani, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria itafuata...
  13. BARD AI

    Elon Musk ataka mmiliki wa Twitter kumtetea Mahakamani

    Elon Musk amechukua hatua za kisheria kumwita mwanzilishi mwenza wa Twitter, Jack Dorsey kufika Mahakamani akiwa kama mtetezi wake kuhusu kusitisha malipo ya zaidi ya Tsh. Trilioni 102 ili kuinunua Twitter. Mawakili wa Musk walimpigia simu bosi wa zamani wa Twitter Jack Dorsey ambaye anatajwa...
  14. R

    Kenya 2022 Sikiliza Kona Tano za Raila kumbana Rutto mahakamani

    Sikiliza: Katiba ya Kenya inawapa fursa walio shindwa katika uchaguazi kupeleka malalamiko mahakamani ili kuhakikisha uchaguzi wa haki. Mgombea wa uraisi aliyeshindwa katika uchaguzi wa Kenya, Raila Odinga, apeleka malalamoko mahakama ya kupinga matokeo ya usaisi wa August 9 ulio mpa ushindi...
  15. The Sheriff

    Simiyu: RC Nawanda aagiza kuvifikisha mahakamani vikundi ambavyo havijarejesha kwa wakati mikopo ya 10% ya halmashauri

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Simon Berege kuvifikisha mahakamani vikundi vyote vilivyoshindwa kurejesha mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani. Imeelezwa kuwa vikundi hivyo vinahusisha vikundi vya...
  16. JanguKamaJangu

    Job Ndugai yamemkuta, Wabunge kumpeleka Mahakamani

    Jina la Mbunge na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai limeonekana katika Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 13, 2022.
  17. Lady Whistledown

    Kenya 2022 Maafisa 3 wa Tume ya Uchaguzi Wafikishwa Mahakamani

    Esokon Bernard, John Nabian na Ekori waliokuwa wasimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Laisamis katika Kaunti ya Marsabit, wameshtakiwa kwa kutelekeza vifaa vya uchaguzi baada ya kufungwa kwa zoezi la kupiga kura Agosti 9 Maafisa hao wanadaiwa kukataa kupeleka vifaa hivyo, zikiwemo karatasi za kura...
  18. peno hasegawa

    Mgogoro shamba la mwekezaji Moshi watua Mahakamani

    Mgogoro baina ya mwekezaji katika shamba la Makoa, Elizabeth Stegmaier ambaye ni Raia wa Ujerumani na chama cha ushirika cha Uduru umeingia sura mpya baada ya pande zote mbili za mgogoro huo kukimbilia mahakamani. ======= Moshi. Mgogoro baina ya mwekezaji katika shamba la Makoa, Elizabeth...
  19. JanguKamaJangu

    Lindi: Maofisa wa Magereza wanaotuhumiwa kwa mauaji wafikishwa Mahakamani mara ya nne

    Maafisa watatu wa magereza wanaotuhumiwa kwa mauaji ya mfungwa Mkoani Lindi, Abdallah Ngalumbale, wameendelea kusota rumande baada ya shauri la kesi yao kusikilizwa kwa njia ya mtandao, leo Agosti 3, 2022. Watuhumiwa hao wamefikishwa Mahakamani kwa mara ya 4 ambapo Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...
  20. Lady Whistledown

    Afrika Kusini: Zaidi ya Wanaume 80 Mahakamani kwa Kubaka kundi la Wanawake Wakiwa Local

    Genge la Wanaume 82 wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya Afrika Kusini leo wakihusishwa na makosa mbalimbali yakiwemo kuwabaka kundi la Wanawake waliokuwa wanarekodi video ya Muziki katika moja ya migodi nchini humo siku ya Alhamisi Shuhuda wa tukio hilo, lilitotokea huko Krugersdorp...
Back
Top Bottom