mahakamani

  1. Ngarob

    Ole Sabaya afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kufunguliwa kesi mpya. Amkataa Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa mashitaka mengine yanayomkabili, leo Jumatano Juni Mosi, 2022 Sabaya amefikishwa Mahakamani hapo Sa 11:40 Asubuhi. =========================== Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa...
  2. JanguKamaJangu

    Video: Mwalimu anayetuhumiwa Kulawiti, Kubaka Watoto wa Shule ya Msingi asomewa MASHITAKA 6 MAHAKAMANI

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Global International School iliyopo Mtaa wa Vijana, Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chacha Magere (26), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa tuhuma za kubaka, kuwalawiti na kuwashambulia kwa aibu baadhi ya wanafunzi wake anaowafundisha. Jumla amesomewa...
  3. Zakaria Maseke

    Aina za Adhabu Ambazo Hutolewa Mahakamani

    Utaratibu ni kwamba, mtuhumiwa akishatiwa hatiani, kipengele kinachofuata (after mitigation) ni kupewa adhabu. Sasa adhabu ziko nyingi; inaweza kuwa kifungo gerezani, kulipa faini, kutaifisha mali/kitu, kuchapwa viboko, kuhukumiwa kifo au kulipa fidia, n.k Kwa Tanzania, adhabu za makosa...
  4. Roving Journalist

    Manyara: TAKUKURU yapokea malalamiko 64 ya rushwa, kuna kesi 26 Mahakamani

    Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara imetoa ripoti yake kwa muda wa miezi mitatu, Januari hadi Machi 2022. TAKUKURU imetoa elimuya rushwa na athari zake katika jamii, kwa askari wa Jeshi la Polisi eneo la Tengefu la Mirerani. Pia imefanya semina 31, mikutano ya...
  5. Roving Journalist

    Dar: Panya Road wengine 25 wapandishwa Mahakamani, wasomewa mashtaka 6

    Kundi lingine la wahalifu 25 ambao wengi wao ni Vijana maarufu kwa jina la ‘Panya Road’ waliokamatwa wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala Kinyerezi Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za unyang'anyi wa kutumia silaha ikiwemo mapanga. Watuhumiwa hao walifikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa...
  6. Replica

    Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama...
  7. Q

    Kabla ya Halima Mdee na wenzake kukimbilia mahakamani wajikumbushe kesi ya Zitto iliyotupiliwa mbali na Mahakama Kuu

    Mwaka 2014, Zitto Kabwe aliitwa na Kamati Kuu ya Chadema akitakiwa kujibu tuhuma za usaliti dhidi ya chama lakini hakuitikia wito huo. Badala yake Zitto kupitia kwa wakili wake Arbert Msendo alifungua kesi Mahakamani akiomba zuio la muda asivuliwe uanachama wake ambapo mahakama ilikubali...
  8. K

    Ikiwa wabunge wanawake waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa mahakamani je wataendelea kuwa wabunge?

    Nchi hii inaongozwa kwa sheria, kanuni na taratibu. Swali la kujiuliza. Je, ikiwa wale wabunge waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa Mahakamani wataendelea kuwa Wabunge mpaka hapo Mahakama itakapotoa uamuzi?
  9. John Haramba

    ‘Panya Road’ wafikishwa Mahakamani, wasomewa mashitaka nane

    Kundi la watuhumiwa wa uhalifu ambao wengi wao ni vijana maarufu kwa jina la ''Panya Road'' wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala Kinyerezi Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za unyang'anyi wa kutumia silaha (mapanga). Mtuhumiwa wa kwanza Daud Abdallah, 22, Mkazi wa Tungini pamoja na...
  10. H

    Kwanini Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani

    Baada ya Baraza Kuu la Chadema kutupilia mbali Rufaa zao na kuthibitisha kuwafukuza uanachama wa Chadema, Halima Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani Kwa sababu zifuatazo; 1. Watakuwa na maswali mengi ya kumjibu Kuhusu walivyoupata huo Ubunge wao, Nani alisaini nyaraka zao, Nani...
  11. simplemind

    Mercy in court: Mombasa magistrate fundraises for couple charged with flour theft

    Hakimu awachia huru wanandoa baada ya kuiba beli la unga wa ngano. Hatimaye alifanya mchango wa dharura mahakamani kusaidia wanandoa hao. Aliwapa onyo wasirudie kosa. ======= The high cost of living is slowly pushing Kenyans to unorthodox means to make ends meet, including stealing flour to...
  12. sonofobia

    Mdee na wenzako 18 nendeni mkaipate haki yenu Mahakamani

    Wanawake mashujaa wa CHADEMA waliofukuzwa kihuni, Halima Mdee na wenzake bado wana nafasi ya kuipata haki yao. Nawashauri waende mahakamani kuipata haki yao. Kilichotokea kwenye mchakato wa kuwafukuza uanachama ni uhuni kwa kuwa katiba ya CHADEMA haikufuatwa tangu kikao cha CC ya chama...
  13. Sky Eclat

    Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda

    Picha: Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza nia yake ya kuwania urais akiwa...
  14. Lycaon pictus

    Hivi Tanzania mtu anaweza kufunga ndoa mahakamani?

    Nasikiaga tu ndoa za kwa mkuu wa wilaya/Bomani. Inawezekana kufunga ndoa mahakamani? Na swali la nyiongeza, ndoa za kimila hufungishwa wapi, na nani?
  15. Donnie Charlie

    Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

    Mwalimu wa shule ya Sekondari Jijini Mbeya, Julieth Kabuja (32) ameieleza Mahakama ya mwanzo Mkoani hapo kuwa ni bora ndoa yake ivunjike kuliko kumkabidhi mumewe kadi yake ya benki. Ameyazungumza hayo mbele ya Mahakama ya mwanzo jijini hapo baada ya mumewe Charles Meshack (31) kufungua shauri...
  16. F

    Mchungaji Godfrey Mtui a.k.a WAG garege amefikishwa mahakamani kwa wizi

    Soma vizuri kabla hujachangia Mchungaaji Godfrey Mtui anamiliki Kanisa la Tanzania Pentecoste mission Church lililopo nje kidogo ya mji wa Moshi na anamiliki Garage iitwayo WAG Garage ambayo ipo nyumbani kwake. Mtui amefikishwa katika makahama ya mwanzo mjini Moshi na kusomewa shitaka moja la...
  17. JanguKamaJangu

    Watu watatu wafikishwa Mahakamani kwa kosa la mauaji yaliyotokea miaka 20 iliyopita

    Watu watatu wamefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kuua mwanamke Mkoani Mtwara miaka 20 iliyopita. Watuhumiwa hao ni wakazi wa Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Masasi kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aliyetambulika kwa majina ya Nora Hamisi...
  18. Kinuju

    Waziri Aweso awasweka ndani wahandisi, mkandarasi Handeni

    Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo. Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
  19. BigTall

    Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa Mahakamani kuhusu matunzo ya watoto wa mjane Jacqueline Ntuyabaliwe

    Mahakama ya Watoto Kisutu imewabana wasimamizi wa mirathi ya aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kwa kukataa kuwahudumia watoto wake wadogo aliowazaa na mjane wake, Jacqueline Ntuyabaliwe. Mahakama hiyo imetoa msimamo huo katika uamuzi wake wa pingamizi lililowekwa na...
  20. chiembe

    Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
Back
Top Bottom