Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua. Twende haraka kwenye mada.
Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, bado Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.
Naamini wewe ni mmoja wa viongozi ambao hawajavimbiwa.
Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera...