mahindi

  1. S

    Nahitaji Pumba za Mahindi na Mashudu ya Alizeti kwa Wingi

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Leo nimekuja kibiashara zaidi. Kuna tenda mezani. Zinahitajika: Pumba za Mahindi (Tani 74) Mashudu ya Alizeti (Tani 22) Hii ni tenda endelevu, nahitajika kusupply kila robo ya mwaka. Tunasupply kwa mikoa mitano nchini Tanzania, kwa mgawo tofauti...
  2. B

    Wapi nitapata soko la pumba za mahindi na mashudu kama unahitaji

    Kama unahitaji kukusanyiwa pumba za mahindi na mashudu kwa bei nafuu sogea tufanye Biashara ASAP
  3. Tajiri Sinabay

    Naomba kujulishwa Bei ya mahindi ya popcorn kwa Dar es Salaam

    Wakuu nataka nijue bei ya mahindi ya popcorn kwa Daresslam, Bei ya kuanzia mfuko wa kilogram 20 na kuendelea. Nipo mtwara.
  4. The Watchman

    Mkulima akimbia baada ya kumuona DC, ni baada ya kupanda mahindi eneo lisiloruhusiwa kwa kilimo

    "Anajua hili eneo halitakiwi kufanywa shughuli za kilimo"- Remidius Mwema, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto ==== Mamlaka zilikuwa wapi mpaka mtu anaandaa shamba lenye ukubwa ambao hawezi kulianda kwa siku moja mpaka anapanda mahindi hadi yanaota ndiyo wanataka kuja kudhibiti, alikuwa akilima na kupanda...
  5. ngara23

    Serikali tutafutie wanunuzi wa mahindi

    Huku vijijini tumevuna mahindi Mahindi yapo mengi mno. Wakulima hatuna wanunuzi wa mazao haya ya mahindi, Sasa tunavuna na msimu wa kupanda unaanza tunapanda tukiwa na mahindi mengi ndani Tunawekeza pesa, nguvu na muda kulima ila tukivuna tunakosa bei na hata wateja wa bei ndogo hatuwaoni...
  6. Roving Journalist

    RC Mrindoko: Ufyekaji wa Mahindi ya Wananchi wa Wilaya ya Tanganyika si maelekezo ya Serikali

    https://www.youtube.com/watch?v=gLonjJFJotY Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,amesema kitendo cha wakulima wa wilaya ya Tanganyika kufyekewa mahindi kwenye msimu huu wa kilimo sio maelekezo ya serikali na si haki kufanya hivyo. Mwishoni mwa mwezi Disemba,2024 baadhi ya wakulima wa...
  7. Roving Journalist

    Katavi: Wananchi Tanganyika walalamika kufyekewa mahindi hekari 60

    Baadhi ya Wananchi kijiji cha Kagunga Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi wamelalamika kufyekewa hekari 60 za mahindi jambo ambalo wamedai kuzorotesha ukuaji wa sekta kilimo na kujikwamua kiuchumi. Tukio hilo la kufyekewa mahindi limetokea hivi karibuni kutokana na kile kinachotajwa ni uvamizi...
  8. Nyafwili

    SI KWELI Endapo Punda Atang'ata Mmea ( Mfano Mahindi) , Hauwezi Kuota Tena

    Hapa kijijini mjadala umekuwa ukiendelea kuhusu wanyama jamii ya Punda namna ya ulaji wa mimea, mfano "mhindi" ambao umeng'atwa na punda huwa hauoti tena, tofauti na unapong'atwa na wanyama wengine kama ng'ombe, kondoo au mbuzi, na wanakijiji wamefika mbali zaidi na kusema labda wanyama aina ya...
  9. M

    Je, Mahindi ya kuchoma ni salama kwa afya?

    Habari wakuu, Nauliza ulaji wa mara kwa mara mahindi ya kuchoma. Je nisalama kwa afya juu
  10. Shooter Again

    Hivi mtu anaenunua pikipiki kwa ajili ya kutoa mkataba au hesabu anakuwa na mahesabu gani?

    Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu...
  11. Dogoli kinyamkela

    Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama

    Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama, zao ambalo ni asilia kwa hali ya joto ya Afrika. Tuliiacha kwa ajili ya ugali wa mahindi ambao wakoloni waliitumia kulisha mifugo. 😩😩😩
  12. K

    DOKEZO Serikali itulipe Wakulima wa Mahindi Songwe na Rukwa, tunaanza kula mitaji, hatujui hatma ya malipo yetu

    Mimi ni mmoja wa Wakulima wa mahindi, kwa kawaida baada ya kuvuna Wakulima wengi huwa tunauza mazao hayo kwa Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA). Tangu Wakulima tuuze mazao yetu kwa Serikali mwezi Septemba 2024 mpaka sasa tunaelekea katikati ya Desemba 2024 hatujalipwa...
  13. A

    Chimbo jipya la kilimo cha mahindi msimu huu

    Jf nimejifunza na kujua mengi. Kwa hili nililoliona nimependa pia kushiriki pamoja nanyi. Katika pitapita zangu za utafutaji kuna mahala nimekuta kilimo cha mahindi na maharagwe kinakubali haswa na hakijulikani kihivo. Kwa atakae hitaji kujuzwa anipm nimpe maelezo ajipambanie. Nitakupa location...
  14. Mzee wa Code

    NFRA itulipe Wakulima wa Mbinga (Ruvuma) tuliouza Mahindi, ukimya wao ni maumivu kwetu

    Mimi ni Mkulima kutoka Mbinga mkoani Ruvuma, nimekuja mbele yenu nikiwa na changamoto ambayo kwa imani yangu najua kupitia nyie naweza kupata msaada ambao kimsingi sio tu utanisaidia pekee yangu bali sisi sote wenye hii changamoto. Naomba sauti hii ifike kwa Wizara ya Kilimo na ngazi ya juu ya...
  15. Foxhunters

    Ushauri wa kiuagugu kizuri kwa ajili ya kuua nyasi zilizo ota shambani ili niweze kupanda mahindi

    Habari ya asubuhi wakuu,kwa mwenye uzoefu nimelima shamba ekali 3 za hatua 70*70 Nililima mapema sana mwezi wa 10 sasa majani yameota mengi sana kabla sijapanda mbegu kiasi kwamba nikipanda itakuwa hasara . Nimeamua kuja na hiyo njia ya kupulizia kiuagugu Niue majanj ndiyo nipande mbegu...
  16. Frustration

    Miezi 3 inaelekea NFRA hawajalipa mahindi mkoa wa Ruvuma kwa wakulima. Pia kodi kwenye malipo kuna kodi mkulima anakatwa

    Habari za asubuhi Watanzania wenzangu. Kwenye nchi hii kuna mambo yanaenda hovyo sana toka utoaji wa taarifa,maandalizi na mfumo mzima wa NFRA kama wakala wa chakula nchini. Ikumbukwe wakala huyu alijinabaisha kuwa sasa atajiongezea jukumu lingine la kufanya biashara na wakulima wa mahindi...
  17. D

    Nahitaji kujua juu ya biashara kukoboa na kusaga nafaka (mahindi)

    Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia umeme). Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama...
  18. witacha matiku

    Kama hii ndio simba tulioitaka bora wazee

    Habari zenu wana sport wa Jukwaa hili, Kama wote tunavyojua Jana Timu yenye Jina na sifa kubwa ndani ya bara la Afrika ilikipiga pale Libya. Kiukweli Jana Timu ilicheza vibaya poor control skills, dribbling, marking & concentration. Timu ilikuwa down sana hamna pace, no clear target &...
  19. ZVI ZAMIR

    INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa

    Habarini Wakuu. Mashine ziko Chanika mwisho. Bei ni 13 Million maelewano yapo kidogo, zinatoka zote kwa pamoja. Unapewa Mizani pamoja na mashine ya kufungia mifuko. Naomba kama kuna mdau anahitaji. Anicheki kwenye namba hii 0713888700 au +255620249437 KUSAGA HP 40 KUKOBOA HP 30
  20. M

    Nauza mahindi lishe kila gunia tsh 90,000/=

    Habari,ninauza mahindi lishe Kwa gunia Moja bei ni Tshs.90000/= napatikana mkoa wa songwe halmashauli ya tunduma. karibuni sana wateja.
Back
Top Bottom