mahindi

  1. figganigga

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani. Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa...
  2. Dr Matola PhD

    Kati ya Nyerere aliyetulisha unga wa njano, mahindi ya mifugo Marekani na Michele wa virutubisho yupi bora?

    Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife. Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na...
  3. D

    Naomba kujua bei ya pumba huko uliko

    Asalaam, Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini. Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo. Natanguliza...
  4. Muuza madafu wa Ikulu

    Kilimo cha mahindi na viazi mviringo cha kisasa huko Kilolo, Iringa

    Nimeona rafiki yangu mmoja niliyesoma naye Chuo Kikuu kule Morogoro ameweka hizi video zikionesha namna watu wanavyofanya Kilimo cha Mahindi na Viazi Mviringo lwa kitumia technologies ya kisasa nikasema nishare nanyi wana JF ili muwe inspired kama mimi nilivyokuwa inspired. Nimemuahidi Jamaa...
  5. U

    Naomba kujuzwa namna bora ya kuhifadhi pumba ya mahindi

    Wanajf Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku! Msimu huu nimebahatika kupata pumba ya kutosha! Ninaomba anayejua namna nzuri ya kuihifadhi ili niitumie au hata kuiuza hapo baadae ninaomba anijuze! Lengo ni ili isiharibike! Msaada tafadhali
  6. B

    Kilimo Cha mahindi

    Naitaji kifahamu jinsi ya kutatua changamoto ya mahindi kuwa na rangi ya kijivu Nini suluhisho?
  7. JanguKamaJangu

    Simiyu: Marufuku kula Msibani, mnadani, mahindi ya barabarani

    Uongozi wa Mkoa wa Simiyu umepiga marufuku isiyokuwa na muda ya watu kula katika misiba, mnadani, magulio pamoja na wanafunzi kuuziwa vyakula mashuleni kutokana na ongezeko la watu waliobainika kupata magonjwa ya mlipuko ya kuharisha, tumbo na kutapika. Zuio hilo limewekwa jana na Mkuu wa Mkoa...
  8. G

    Mpanda: Maafisha wa halmashauri wafyeka Shamba la mahindi

    Huko Mpanda katika eneo la Mpanda hotel shamba la mahidi lilifweka na maafisa wa halmashauri kwa sababu mbalimbali. Mwanzo walisema kuwa shamba hilo linatumika kama maficho ya wezi kabla kutoa ufafanuzi kuwa mkulima hakutakiwa kulima mazao marefu mjini. My take: Serikali inafanya kazi kwa njia...
  9. BigTall

    Katavi: Malalamiko ya waliofyekewa Mahindi yatua kwa Mkuu wa Wilaya

    Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Jamila Yusuf ameeleza kuwa amekerwa kwa tukio la baadhi ya wakulima katika Manispaa ya Mpanda kufyekewa mahindi yao ambapo amesema kitendo hicho si cha uungwana katika mstakabali wa maisha ya wananchi. Jamila amesisitiza viongozi wa mtaa na kata...
  10. JanguKamaJangu

    Zaidi ya heka 6 za Mahindi zimefyekwa Mjini Mpanda

    Wakati Serikali inahamasisha Wananchi kujishughulisha na shughuli za Kilimo ili kujikwamia kimaisha, baadhi ya Wakulima katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamefyekewa Mahindi ikidaiwa ni kosa kupanda mazao marefu mjini. Lucia Balizio ambaye ni mkazi wa Mtaa wa Msasani na Nestori Kameme...
  11. Sundii

    Mashine ya kusaga mahindi na kukoboa

    Samahani wanajanvi. Naomba ufafanuzi nataka kuanzisha biashara ya kusaga na kukoboa mahindi. Hii biashara imesimamaje? Gharama za kuanzisha mashine zikoje? Kuna faida au hasara?
  12. AKILI TATU

    Nauza mahindi, kila gunia Tshs. 80,000

    Wandugu habari ..Nina MAHINDI nayauza Niko na GUNIA 50, kila GUNIA nauza Tsh 80,000 hali imekuwa mbaya sana naomba wa kunisaidia kuyanunua Kwa harakaharaka, shamba Liko Tanga, Kwa maelezo zaidi na utayari Tuonane Inbox 📥
  13. Mkulima wa Maharage

    NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

    Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860. Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
  14. M

    Msichanganye siasa na mahindi

  15. Huihui2

    Acheni wakulima wauze mahindi kwa wateja kwa bei ya soko

    Waziri Hussein Bashe alikuwa na msimamo mzuri kuanzia alipoteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo kuhusu kufungua mipaka kwa wageni kuja kununua mazao ya kilimo nchini. Hii ilikuwa ni furaha kwa wakulima wetu, lakini miezi kama 6 tu iliyopita kwa kelele za Watanzania wavivu wakaiyumbisha Serikali mpaka...
  16. M

    Naomba ushauri kuhusu biashar ya mashine ya kusaga na kukoboa (mahindi)

    Wadau, Ninataka kufungua biashara ya kusaga na kukoboa bagamoyo vijijini. Hapo kijijini kuna mashine moja tu na naona hii ni fursa. Naomba ushauri wapi naweza kununua mashine zenye ubora na pia kama biashara hii inafanida. Shukurani.
  17. Money Penny

    Biashara ya mahindi ya kuchoma yaniingizia tsh milion 24 kwa mwaka

    Mwalimu WA Hesabu nimerudi Mahesabu ya kupata milion 24 haya hapa
  18. B

    Nahitaji ushauri kuhusu mbegu bora ya mahindi

    NI mbegu ipi ya mahindi nikiitumia naweza kupata matunda Bora? Ushauri wenu ni muhimu Sana, #Elimu ya kilimo
  19. Penologist

    Nauza Magunia ya Mahindi KG 100

    Habari za kazi wakuu, mimi ni mkulima kijana nimeamua kuuza nafaka nilizo vuna mwenyewe bila dalali, mahindi yana ubora wa hali ya juu, store nina gunia 30 nauza 1 kwa 100,000. Sitaki dalali. Store ipo Arusha Ilboru. Number za simu 0763574651 serious buyer only udalali sitaki.
  20. T

    Mhagama: limeni sana mahindi ili muweze kuongeza wake wengine!

    Akizungumza na wakazi wa baadhi ya vijiji mkoani Ruvuma, bi Jenista amesema mahindi Kwa sasa ni zao la biashara linalowapatia wananchi fedha nyingi. Maana mahindi Kwa sasa si zao la chakula pekeee kama walivyozoea zamani, bali pia ni zao la biashara hivyo wanapaswa kulima Kwa wingi ili...
Back
Top Bottom