Acha kulanguliwa Mashine za kupukuchua mahindi kama unavyoiona kwenye video inapatikana kwa bei nafuu zaidi
Piga no 0716 508073
Tupo Arusha Unga Ltd mtaa wa viwanda
Bei niTsh850,000/=
Inapukuchua na kupepeta gunia 25-30 kwa saa
Kwa siku inapukuchua na kupepeta gunia 300
Ina feni la kupepeta...
Ndugu Watanzania, ikimbukwe kuwa mwezi July serikali ilitangaza kununua Mahindi kwa wakulima kupitia wakala wa hifadhi ya chakula "NFRA" ila kitu kinachoshangaza na kustaajabisha ni kuwa malipo yanachelewa sana, wakulima wanakaa zaidi ya wiki tatu hali ya kuwa fedha zilishatengwa tayari...
Naomba Serikali isikie kilio chetu sisi wakulima wa zao la Mahindi Nchini hasa nyanda za juu kusini mikoa ya Rukwa, Njombe, Ruvuma.
Bei ya mahindi bado ni ya chini mtaani (350-420)ukiacha bei ambayo Serikali wananunua (700) kwa kilo.
Hoja ni kwamba serikali inanunua Tsh. 700 kilo lakini...
Anonymous
Thread
kilio
kusini
mahindi
nyanda za juu
nyanda za juu kusini
serikali
wakulima
zao
zao la mahindi
Habari
Mota ya kuzungusha machine ya kusaga mahindi inauzwa. Mota hii ipo kibaha mkpa wa pwani. Ina Hz 50. Bei sh 1..8m. Anayehitaji karibu. 0758308193
Andiko la Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo:
Kutokana na ukame unaoikumba nchi ya Zambia, nchi hiyo imeingia makubaliano na Tanzania kununua tani 650,000 za mahindi kwa ajili ya kuwasaidia wananchi milioni saba wa taifa hilo. Mkataba huo utatekelezwa kwa kipindi cha miezi nane na utaiingizia...
Wadau Mimi ni mtumishi wa afya, mshahara wangu unaniruhusu kukopa mil 15.
Nataka nikope mil 15 niwe nakatwa kwenye mshahara Kwa miaka sita, Nichukie mil 10 niingie kwenye mpunga na mahindi. Silimi nafuata Kwa wakulima naweka store.
Nasubiri yapande niuze wakati mkopo unakatwa kwenye...
Asalaam,
Poleni na kazi. Naomba kujua huko ulipo na bei ya mahindi imefika bei gani kwa gunia la debe 7 au 6. Tupeane updates, tuone tunafikaje kuchukua mzigo.
Ahsanteni.
Wanajamvi naomba kuuliza mahindi ya kuchoma yanafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo maana nataseka sana aisee kupata fast food nikiwa mbali na nyumbani
Rufiji. Tarehe 29 Mei 2024: Kutokana na mafuriko yaliyotokea katika msimu wa masika mwaka huu, Benki ya CRDB imekabidhi msaada wa mbegu za mahindi zenye thamani ya shilingi milioni 50 kwa wananchi wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani.
Benki ya CRDB imekabidhi kilo 7,148.857 za mbegu za kisasa za...
Habari wapambanaji wenzangu!
Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa wiki hivyo naomba kujua soko ambalo liko reliable!
Natanguliza Shukurani!
Tunapenda kukutaarifu ya kuwa zile mashine za kupukuchulia mahindi tayari zimeshafika ofisini kwetu.
(Maize sheller machine)
✓Inauwezo wa kupukuchua (GUNIA 25 KWA SAA)
✓Inapukuchua magunzi saize Tofauti Tofauti.
✓Hutumia umeme wa majumbani single phase (Ac)
✓Inahamishika kirahisi kutoka Sehemu...
Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula.
Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula, basi likisimama ni mbio madirishani au...
Habari ndugu zanguni,
Naomba tushauriane na tutoe ya moyoni kuhusu shule zinazowaingiza watoto kufanya usafi kwenye maghala ya kuhifadhi mahindi hizi ishu naona isipoziwa sauti itakuwa sugu kwa sasa. Jana nimeona watoto Watatu wa Form 3 wamefariki Dunia baada ya mwalimu kuwachukua watoto sita...
Wanafunzi sita wa shule ya mtakatifu John Paul II ya mkoani Shinyanga walienda kutoa mahindi kwenye kihenge cha shule lakini yalishindwa kutoka wakiwa na mwalimu wa zamu katika usimamizi wa chakula, mwalimu alielekeza wanafunzi watatu waingie ndani kutafuta namna ya kuyafungulia kisha akaenda...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja...
Wadau hamjamboni nyote
Habari mbaya kutoka.
Wezi wamevunja na kuiba mahindi ya Kande kilo 50, Maharage kilo tano, mafuta Lita moja na nusu usiku wa kuamkia jana. kwenye Kanisa la Waadventista Wasabato Kibiti
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Rufiji Protas Mutayoba amethibitisha tukio hilo na...
Wakuu Habari?
Katika Harakati za Kuongeza kipato Huu ni mwaka wa pili sasa Nimeingia kwenye kilimo Cha mahindi huku Ukanda wa Kusini mwa Tanzania.
Lakini Kuna Jambo Naliona Zao hili lina Ukiritimba mwingi hasa kwenye Bei Nafikiri ndo maana Wakulima wengi wa Mahindi ni masikini Maan unalima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.