Mzuka!
Ingependeza tungeiga hii makitu Black Friday kutoka kwa mabeberu ambayo ni kesho kuna punguzo la bei kwa kila bidhaa.
Bongo ingekuwepo watu kesho tungechangamkia kununua magunia ya mahindi. Sasa hivi mahindi imeteka soko.
Kwa wale mliowahi kulima mahindi mnalijua hili utapata faida nzuri,pale tu ambapo wewe umepata wenzio hawajapata. Kwa lugha rahisi kabisa, mahindi hupanda bei kukiwa na uhaba na kwa muktadha waTanzania, ni lazima kuwe na uhaba wa mvua.
Kama hali ya hewa ni nzuri nchi nzima,kutakuwa na mavuno...
Zitto alisema Rais John Magufuli ameongelea bei ya unga kupanda yupo sahihi kwa wakulima wanapaswa kupata bei nzuri ya mazao na serikali haipaswi kuingilia.
“Amejifunza makosa ya korosho? Lakini sababu za bei kwa walaji kupanda ni serikali kutonunua chakula cha akiba
Zitto aliandika ujumbe huo...
Habari wadau,
Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada.
Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2.
GHARAMA
Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.