Wamekutana na kujadili namna ya kushughulkia hilo tatizo ili kuboresha soko ukanda wote huu, ikikumbukwa walivyopiga makelele wakati walipoambiwa warekebishe, wenyewe wanafahamu hilo tatizo kimya kimya halafu walitaka kulazimisha kwa kupiga ukunga.
Wamelalamika kwamba TBS ndio huwakwamisha kwa...
JF ndio kisima cha maarifa.
Katika kujiandalia lishe bora ya ugali nimechanganya kg 10 za mahindi na kg 3 za soya. Nilianza kwa kuchemsha soya na kuzianika siku 2.
Tatizo unga umetoka na harufu mbaya sana, naiondoaje jamani? Wakati huu wa dunia ya kula kwa sababu na malengo soya ni kitu...
Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo.
Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital.
Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na...
Habari wadau wa nafaka nanunua mahindi yawe yamekauka vizuri sana yasiwe na uchafu
bei ni 350/kg malipo ni baada ya kushusha mzigo.
Tupo Arusha tunanunua kuanzia tani 10, mahitaji yetu ni tani 100.
Mawasiliano 0622115570/0784418789
Hii ni habari njema kwa wakulima wa mahindi kwamba mzigo wao uliozuiliwa mpakani utaingia nchini Kenya ndani ya wiki mbili zijazo na hapatakuwepo na usumbufu tena.
Rais Uhuru amemtaka waziri wake kusimamia hilo.
Rais Samia amesema Kenya wana bahati wanaye Uhuru atakeyewaletea Uhuru wa kufanya...
Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia)
Debe la mahindi utapata KWA 8500
Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa.
Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k.
Ila ofa hii ipo KWA kipindi hiki cha Ramadhani baada ya hapo haitokuwepo tena wahi sasa KWA 8500 tu.
Karibuni
Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana.
Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani?
Je, ni Ufipa?
Na kwanini mwakani watakosa chakula?
Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe.
Maendeleo hayana...
Kilimo cha Mahindi kinashika zaidi ya 55%,ya vilimo vyote nchini, Mahindi yanalimwa karibu nchi nzima.
Soko la mahindi nchini limekua la utani sana hasa msimu wa 2020/21 mpaka sasa bei kwa gunia la serikali la mahindi kwa Mikoa inayozalisha kwa wingi kama, Ruvuma,Rukwa na Mbeya ni TSH...
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, amedaiwa kuwa na shamba la mahindi hekari 500,000 nchini DR Congo, ambapo ametumia nguvu yake kisiasa kupata uhakika wa soko la mahindi yake
Baadhi ya wabunge wa DRC wamethibitisha hilo. Ili kupata soko la mahindi alilazimika kuzuia mahindi kutoka Tanzania...
Kuna mshkaji mtaani tulikua tunajadili changamoto iliyopo kwenye zogo la mahindi baina ya Kenya na Tanzania, akanipa uwezekano wa wazo fulani, naifahamu sana Serikali yangu ya Kenya ikitaka kuficha kitu kwanza huwa na mazoea ya kuibua jambo lingine litakalosababisha migongano ya baina yetu...
Serikali ya Burundi imepiga marufuku uingizaji wa mahindi na unga nchini humo kutoka nje ya nchi wakihofia kuwemo kwa sumu kuvu katika punje za mahindi.
Marufuku hiyo itadumu kwa miezi sita kuanzia 08/03/2021
My take; Tanzania tujipange vizuri haya ndio masoko yetu.
Pia soma > Kenya yatangaza...
Hivi karibuni kumetolewa madai na kenya kuhusu mahindi yetu kuwa na sumu kuvu. Swala la milipuko ya watu kuugua na kufa kwa kula mahindi yenye viwango vya juu vya aflatoxin limekuwepo nchini kenya tangu mwaka 1981. Mfano, mwaka 2004 wakenya 317 waliugua na 125 walifariki kutokana na kutumia...
Takribani tani 260 za mahindi kutoka Tanzania yamekwama katika mpaka wa Holili upande wa Kenya yakihofiwa kuwa na sumu kuvu
Meneja wa TRA kituo cha Holili amesema mahindi hayo yamepimwa upande wa Tanzania na kuonekana ni salama kwa chakuka lakini yapofika Kenya yalizuiwa na kuchukuliwa sampuli...
Sheila Sheldon with her Nina Simone Global Award on March 8, 2021
TV 47
12-year-old Sheila Sheldone Charles, on Monday, March 8, won the 2021 Nina Simone Artistic Excellence Honoree for Young, Gifted, and Black Entrepreneur. She was the only child, and African nominated for the award.
"My...
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akiwa na Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Nchini (TBS) Yusufu Ngenya, pamoja na mkuu wa kitengo cha Afya ya mimea, katika mpaka wa Namanga, ambapo kwa pamoja wameonekana kushangazwa kwa kuzuiliwa kwa malori 25 ya shehena ya Mahindi kutoka Tanzania.
Hata...
Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigella amesema habari zilizoenea mitandaoni kwamba Kenya imezuia mahindi kutoka Tanzania hazina ukweli wowote.
Shigella ambaye amefanya ziara ya kushtukiza mpakakani horohoro ameelezwa na afisa forodha wa hapo kuwa tangu tarehe 5 march hadi leo zaidi ya tani 570 za...
Inashangaza sana kuona watu wanailaumu nchi ya Kenya kuzuia mahindi toka Tanzania kuingizwa nchini humo.
Watu wengi wanailaumu Kenya kana kwamba haina mamlaka ya kulinda raia wake na mipaka yake.
Kama mahindi ya Tanzania au nchi nyingine yamepimwa mamlaka husika za Kenya na kuonekana yana sumu...
Kuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu...
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijapokea taarifa rasmi kutoka Kenya juu ya kuzuiwa kwa mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo.
Bashe amesema wakipewa taarifa watachukua hatua stahiki japo mkuu wa TRA Namanga amethibitisha mahindi ya Tanzania kuzuiwa kuingia Kenya kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.