mahindi

  1. E

    Biashara ya mahindi kwa mwaka 2022

    Wadau ni kwa mara ya kwanza naandika humu hii ni kutokana na kujifunza vtu vingi kupitia kwenu hivyo nahitaji kujua wapi nitapata mahindi ya bei ya 60 kwa gunia hasa mkoa ya Katavi, Kigoma na kwingine
  2. Imaniyanguitaniponyatu

    Unga wa mahindi Kenya kilo moja ni 4100 shilingi za Kitanzania

    Bei ya mahindi nchini Tanzania inaogofya sana hadi kufikia 100000-130000 kwa gunia la kilo 100 kwa baadhi ya mikoa ya nchi hii. Kupanda kwa bei ya mahindi imepelekea wananchi wa kawaida kununua unga wa kupikia ugali kati ya 1400-2000 kwa kilo moja, hali ya upatikanaji wa chakula hicho inazidi...
  3. K

    Ushauri kwa Rais kuhusu mahindi yanayosafirishwa nje ya nchi

    Nawapa tahadhari kuwa njaa inayokuja mbeleni kwa nchi ya Tanzania itakuwa ya kutisha. Jana nimeshuhudia kwa macho yangu katika mpaka wa Sirari mamia ya malori yakiwa na shehena ya mahindi yakipelekwa Kenya. Huu ni mwezi wa sita bei ya gunia moja la mahindi ni zaidi ya Tshs.130,000 maeneo ya...
  4. Jitume Biashara

    INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  5. Corticopontine

    Nchi inapitia wakati mgumu kuwahi kutokea. Gunia la mahindi limefika Tsh 180,000

    Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkakini walivyo wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lakini ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.
  6. tlowjr

    Dawa ya wadudu wanaoshambulia mahindi yanayoota

    Wakuu salaam, Naomba mwenye kujua dawa ya wadudu wanaoshambulia mimea aina ya mahindi anijulishe.
  7. Nguku Wakabange

    Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Wataalam mlioko makini naombeni msaada wenu. Natumai mu wazima na harakati za kujenga Tanzania yetu. Mimi nimeingia kwenye kilimo mwaka huu na kwa kuanzia nililima mahindi, na hatua ya kwanza nimefanikiwa pakubwa. Ila nawaza kujiingiza mzimamzima kwenye kilimo, kila nikiwaza ni kilimo gani ina...
  8. MOSintel Inc

    Nahitaji maharage ya njano(gololi) na mahindi (yale mazito)

    Habari, Nahitaji maharage ya njano yale ya mviringo (manene) kuanzia TANI 2-5 (kwa wiki). Pia nahitaji Mahindi mazito(masafi) kuanzia TANI 5-10(kwa wiki) kwa ajili ya kuchakata unga wa sembe. Location: Kibaha(Boko-Mnemela). Kwa yeyote anayeweza ku-supply mzigo huo kwa wiki, karibu kwa...
  9. Deo Corleone

    Je,unahitaji kufanya biashara ya pumba za mahindi?

    Kwa yeyote anayehitaji pumba za mahindi nicheki. location: SONGEA BEI: 1500 kwa debe. mawasiliano PM KARIBU
  10. Lord denning

    Kuongezeka kwa bei za Dhahabu na Mahindi duniani; Mawaziri Biteko na Bashe na Gavana BoT mmejipangaje?

    Amani iwe nanyi, Habari kuu kwa sasa duniani ni kupanda kwa bidhaa adimu kutokana na vita vinavyoendelea vya Russia v Ukraine. Bidhaa adimu kama mafuta na Gesi zinazidi kupanda kwa kiwango cha kutisha na Mataifa yenye mafuta na Gesi Afrika yameanza kukamatia fursa kuongeza mapato yake kwa...
  11. Biashara Nafuu

    Biashara ya Unga wa Mahindi

    Do you want to start a Maize Milling Business? Then get this 85-page guide which contains: 1. Overview 2. The Opportunity 3. The Upcountry Choice – Case Study Disadvantages Advantages 4. Case Study Disadvantages The Advantages 5. Target Market Keys to Success. 6. The Product Product...
  12. J

    Waziri Bashe, ukijikita kwenye zao la Tumbaku na kusahau Mahindi na Mpunga mwakani utatumbuliwa

    Jana kupitia ITV habari tumeshuhudia viwavi jeshi vimeteketeza hekari zaidi ya 4500 za mpunga na mahindi huko Kilombero na wakulima wale wamedai hawana madawa kabisa. Najua mkuu wa wilaya katoa lita 50 za dawa ya kuua wadudu na RC katoa lita 40 jumla lita 90 kwa hekari 4500 Nakushauri Waziri...
  13. K

    Kenya yaipiga bao Tanzania, yanunua mahindi Tanzania na kuyauza kwa bei ya juu Sudan Kusini

    Kenya imechangamkia fursa iliyotokea hivi karibuni ya uhitaji wa zao la mahindi nchini Sudan Kusini, hii ni baada ya Uganda ambayo ni tegemezi la South Sudan katika mazao kuwa na uzalishaji mdogo wa mahindi. Jambo hili limepelekea bei ya zao la mahindi nchini Sudani Kusini (mwanachama wa...
  14. kabila01

    Wakulima wadogo wote watageuka vibarua kwenye mashamba ya hawa mabepari

    Habari wna bodi Wiki iliyopita nilikua na ziara yangu binafsi katika baadhi ya vijiji vya mkoa wa Iringa. Nimejionea mashamba makubwa ya mahindi yanamwagiliwa kwa mitambo. Kwa sasa wenyeji wanasubiri mvua ndo walime wale wawekezaji mahindi yao yaanaanza kuchanua. Kwa hali hii ikiendelea miaka...
  15. RIETA AGROSCIENCES LTD

    INAUZWA Uyole Hybrid UH 6303 - Mbegu bora ya mahindi ukanda wa juu siku zote.

    RIETA SEED Tunakuletea Mbegu Bora ya Mahindi ya UH 6303 Hii inastawi vema sana ukanda wa juu hasa Mbeya, Songwe,Njombe, Rukwa, Katavi na Njombe. Mavuno mengi magunia 30 kwa eka. Ni tamu kuchoma, hutoa unga mwingi. Bei: sh 4,500 kwa kilo. Unahitaji kilo 10 kupanda eka moja Tupigie 0755325442
  16. T

    Tupeane mwenendo wa bei ya mahindi kutoka kona zote za nchi

    Ndugu wanajf, Sisi wakulima tujulishane mwenendo wa bei ya mahindi kila kona ya nchi, ili kujua wapi soko zuri lipo. Arusha na Mwanza bei ikoje kwa gunia la kg 100? tf
  17. chuki

    Mfumuko wa bei kila kitu bei juu, mahindi, mchele na mafuta havishikiki mtaani

    Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia. Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida...
  18. TODAYS

    Wanaotafuta Utajiri wa Punje za Mahindi na Jogoo, Imekaaje Hii?

    Nikiwa kwenye basi katika harakati za kuitafuta shs, tumesimama kuchimba dawa eneo linaonekana kama kijiji baada ya makambako kuelekea mafinga, ni eneo flani inaonekana kuna vyoo vya mtu binafsi ila abilia hatulipi na sijui nani anayehudumia hivyo vyoo!. Nikiwa ndani ya chumba natoa oil chafu...
  19. Comex

    Biashara ya mahindi

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoonyesha naomba kujua hivi haya mahindi mabichi ya kuchoma na kuchemsha wanayouza barabarani wanayanunua wap endapo ukiwa Dar na kwa bei gani?
  20. J

    TBS yatoa mafunzo ya sumukuvu kwa wadau wa mazao ya mahindi na karanga wilayani Kiteto

    TBS yatoa mafunzo ya sumukuvu kwa wadau wa mazao ya mahindi na karanga wilayani Kiteto Na Mwandishi Wetu Serikali kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imeanza rasmi kutoa mafunzo kupitia Mradi wa Kitaifa wa Kudhibiti Sumukuvu "Tanzania Initiative for Preventing Aflatoxin Contamination -...
Back
Top Bottom