mahindi

  1. Ex Spy

    Ruto: Unga wa Mahindi utashuka bei wiki ijayo

    Rais William Ruto ametangaza kuwa bei ya unga wa mahindi itashuka zaidi kuanzia wiki ijayo. Akizungumza katika Kaunti ya Meru leo Jumamosi, Rais Ruto alisema utawala wake umejitolea kusambaza unga wa bei nafuu kwa Wakenya, pamoja na kutokomeza umaskini na njaa. Alisema licha ya kufika ofisini...
  2. Stephano Mgendanyi

    Juhudi za Alfred Kimea Zimeleta Mahindi Bora na ya Bei Nafuu kwa Wakazi wa Korogwe Mjini

    JUHUDI ZA DKT. ALFRED KIMEA ZIMELETA MAHINDI BORA NA YA BEI RAFIKI KWA WAKAZI WA KOROGWE MJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mhe. Dkt. Alfred Kimea, PhD wakati wa ziara yake jimboni alielezwa na wananchi juu ya changamoto ya ukosefu wa vyakula muhimu ikiwemo uhaba wa Mahindi na bei kuwa...
  3. Hold on

    Huyu mchoma mahindi yupo wapi?

    Huyu mchoma Mahindi mwenye bunduki anapatikana kijiwe gani? Niko njiani naenda Dodoma nataka nimpitie aniuzie muhindi choma moja. Zicomedy Show
  4. Lycaon pictus

    Mikate ya mahindi: Toka shambani hadi mezani

    Kwa kweli ugali(Unga na maji ) ni chakula duni sana. Tujifunze hapa tuachane na habari za ugali.
  5. Vivax

    Hali ya mahindi Mbeya

    Kwa wakulima wa mahindi wa mkoa wa Mbeya. Mwaionaje hali ya mahindi yetu mwaka huu. Kwa mimi hairidhishi kabisa! Sijui kilichotokea. Mvua ilikuwa vizuri Taratibu za kilimo zilifuatwa kama miaka mingine. Lakini matokeo yamekuwa HASI.
  6. N

    Matumizi ya pumba za mpunga katika shamba la mahindi

    Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyez mungu mwingi wa rehema, pia natoa pole Kwa wakulima wenzangu waliokumbwa na ukame katika msimu huu wa kilimo. Jambo lililonileta kwenu nikutaka kujua uhalisia wa mbolea za pumba ya mpunga ufanyaji KAZI wake pindi iwekwapo katika shamban la mahindi...
  7. B

    Bei ya mahindi kuua wafugaji wa kuku Tanzania

    Ndugu watanzania bei ya mahindi mwisho wa Feb 2023 ilikua kwa jumla 1, 120 kwa Dar Es Salaam lakini bei ya leo 6 March 23 yamepanda kufikia 1, 330 kwa kilo moja. Ongezeko hili ni hatari kubwa kwa wafugaji wafugaji wa kuku na wengineo kwa sababu ongezeko hili ni sawa na 5, 000 kwa mfuko wa...
  8. Debby the FEMINIST

    Lindi: Afisa kilimo kata ala fedha za mahindi ya ruzuku milioni tano

    Afisa Kilimo kutoka kata ya Milola halmashauri ya manispaa ya Lindi ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kula fedha kiasi cha shilingi Milioni 5 za mahindi ya ruzuku kwa wananchi wa kijiji cha Milola B. Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga amekiri juu ya kutiwa mbaroni kwa afisa kilimo huyo akisema...
  9. Analogia Malenga

    RC Mbeya ataka walifyekewa mahindi yao walipwe

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Benno Malisa, kumtembelea mwananchi aliyefyekewa mahindi yake katika eneo la Iyunga jijini Mbeya na kuhakikisha aliyesababisha kufyekwa mahindi hayo analipa gharama ambazo mkulima huyo angepata Pia soma Mbeya: Serikali Yafyeka...
  10. Analogia Malenga

    Mbeya: Serikali Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka

    Serikali ya Mtaa Iyunga Mbeya Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka.
  11. Bushmamy

    DOKEZO Arusha: Wananchi Meru walalamikia maghala ya Serikali kuwauzia mahindi ya chakula. Serikali yasema utaratibu utabadilika, kupelekwa kila tarafa

    Wananchi wilayani Arumeru, wametoa malalamiko yao dhidi ya serikali baada kuuziwa mahindi kilo moja kwa sh. 885. Baadhi ya wananchi wameshindwa kununua mahindi hayo kutokana na hali ngumu ya maisha iliyotokana na ukame kwa madai kuwa serikali ilitakiwa itoe mahindi hayo bure kwa wahanga na sio...
  12. Kichina44

    INAUZWA Mashine ndogo ya kusaga na kukoboa (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu

    MASHINE NDOGO YA KUSAGA NA KUKOBOA (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu nk Mashine MPYA Bei 1,500,000/= Mashine ipo DAR ●Mashine ina pande mbili, upande mmoja ni wa kusaga na upande wa pili ni wa kukoboa. ●Inaweza koboa mpunga, mahindi, n.k ●Inaweza saga mahindi, mchele, manjano, kahawa...
  13. BARD AI

    Aliyemtumia Rais Samia taarifa za wizi wa Mahindi ya NFRA atafutwa na Polisi

    Jeshi la polisi wilayani Handeni mkoani Tanga linamsaka aliyetuma ujumbe kwa Rais Samia wa kuibiwa mahindi ya msaada ya NFRA kwa kutumia jina la Mwenyekiti wa kijiji. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Siriel Mchembe leo Desemba 30,2022 alipokuwa kwenye kikao na wananchi wa...
  14. L

    Msaada wa dawa ya kuuwa/Kuzui wadudu wanaokula mahindi shambani

    Wakuu kama kichwa cha habari. Nina vimahindi vyangu kama robo heka hiv vina kama mwezi hivi.Ila wadudu wanavishambulia hatari sana.mwenye uzoefu wa daqa ya kutibu hili( kama kuna njia za asili za kutibu zisizo na athali za mazingira nitafurahi sana pia).pia namna ya kizuia hawa wadudu.yaani...
  15. M

    Hali imekuwa ngumu sana Kanda ya Ziwa, familia zinajikomboa kwa kununua debe la udaga, mahindi na dagaa

    Zamani kanda ya ziwa hali ya maisha ilikuwa safi sana. Samaki na vitoeo vya kila namna ilikuwa bei chee. Leo hii debe la udaga Tsh 27000. Inabidi kujiongeza kwa ugali na dagaa mwezi mzima.
  16. saidoo25

    Mahindi ya Msaada Bomu lingine kwa BASHE

    ZOEZI la ugawaji wa mahindi ya msaada limeonekana kulalamikiwa sana na wananchi wengi hasa wa vijiji walilaumu mfumo wa kuyafuata mahindi hayo ama makao makuu ya wilaya au makao makuu ya Kata na kukutana na urasimu mkubwa. Miongoni mwa mambo ya ajabu yanayonekana Bei ya mahindi ni Sh 800 kwa...
  17. R

    Wadudu waharibifu wavamia mashamba ya mahindi Babati

    Babati. Wimbi la wadudu waharibifu wa mazao maarufu kama “mbirizi” limevamia mashamba ya mahindi ya wakulima katika kata ya Kiru na vijiji vya jirani wilayani Babati mkoani Manyara. Mkulima wa mahindi kutoka kijiji cha Kiru, Six Salao akizungumza leo Jumanne Desemba 27, 2022, amesema makundi...
  18. New HIZ O

    Naomba ushauri kilimo cha alizeti na mahindi

    Mimi ni mkulima ninashamba la heka 20 kipi nilime kati ya mahindi na alizet ila ardhi yake ni kichaga
  19. Lycaon pictus

    Africa haiwezi kujlisha kama inalima mazao kama mahindi na mpunga badala ya Ulezi na Mtama.

    Habarini ya sherehe za uhuru? Mtu ambaye hawezi kujilisha hawezi kuwa huru. Kila mazao ya chakula kuna hali ya hewa inafaa kuyalima. Mahindi yalikuwa yanastawi kwenye temperate climates huko America, yaani kusiko na baridi kali ya barafu lakini kuna mvua nyingi, ngano nayo hivyohivyo. Mchele...
  20. JanguKamaJangu

    Tanga: Utaratibu wa ugawaji mahindi ya msaada unatukera, Serikali iangalie utaratibu uliopo

    Wanakijiji Tanga wanapanga foleni kupata msaada wa mahindi na pia lazima waje na vitambulisho, wanauziwa kilo moja kwa shilingi mia tisa, watu ni wengi sana na foleni huenda ikawa hadi jioni na kitu endelevu. Kinachofanyika kwa sasa kimekuwa kikifanyika wiki nzima yote hii. Wanaunganika...
Back
Top Bottom