Akizungumza na Azam Tv M/Kiti wa wafanyabiashara wa mazao ya chakula amedai Tanzania haina tena uwezo wa kujilisha na chakula chote hivi sasa kinatoka Nchi jirani ya Zambia na Malawi.
Ikumbukwe mapema leo akiwa kwenye ziara na Samia huko Kondoa Mkoani Dodoma Waziri mwenye dhamana ya chakula...
Serikali imeanza kusambaza mahindi ya msaada kwenye maeneo yenye njaa kwa bei ya unafuu! wakati huo huo malori yaliyobeba shehena ya mahindi kutoka Rukwa, Katavi, Mbeya na Ruvuma yanavuka mipaka ya Holili na Silali, kwenda Kenya, lakini hakuna mahindi au mchele unaotoka Kenya, Uganda, Rwanda...
Wanajamii habari zenu wote.
Polen wadau kwa Mihangaiko za hapa na pale, Ndugu zangu najua huku kuna wakulima wazuri japo wapo pia paper farmers lakini najua mkulima wakweli akitoa ushauri huwa tunamwelewa kwasababu huwa anatoa uhalisia wa mambo ambapo hata msomaji anarithika kabisa.
Ndugu...
Kimsingi trend ya bei ya mahindi imeonesha hali isiyo ya kawaida kwa mwaka 2022. Hali tunayoweza kuilalamikia ulaya kutokana na Vita vinanvyoendelea Ulaya mashariki.
Kwa kuangalia trend ya bei za gunia la mahindi ni kawaida kwa bei kupanda na kushuka kutokana na utofauti wa vipindi vya mwaka...
Naona muda wa kulala unakaribia na wengine bado wanapiga safari moja huanzisha nyingine.
Umewahi kukaa jirani na mtu mahali mnasubiri huduma labda kwenye taasisi fulani hivi halafu huyo mtu anatumia nokia ya tochi akawa anachati an anaandika msg ukasikia jinsi zile button...
Rais Ruto ameidhinisha uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba (GMO), na hivyo kuondoa zuio la mazao hayo lililowekwa Novemba 8, 2012.
Uamuzi huo umefanywa ikiwa ni njia ya kusaidia kuongeza mavuno wakati ambao nchi inakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika miaka 40 na kuacha...
Wakati bei za vyakula zikizidi kupanda katika maeneo mbalimbali nchini, wakulima wametaja sababu tatu za hali hiyo, wakiitaka Serikali kuingilia kati.
Miongoni mwa sababu hizo, eneo ambalo wanataka Serikali iingilie kati ni kufurika kwa wanunuzi wa nafaka kutoka nje ya nchi. Sababu nyingine ni...
Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku Rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa msimu huu unaoanza Novemba anitafute tuunganishe nguvu.
Wakati raia wakiendelea kulalama juu ya kupanda kwa bei ya nafaka, wakulima na wafanyabiashara huenda wakawa miongoni mwa watu walionufaika zaidi na zao la mahindi baada ya bei ya jumla ya zao hilo kupanda zaidi ya mara mbili ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
Ripoti ya Mapitio ya...
Serikali imetangaza ongezeko la bei katika baadhi ya bidhaa za vyakula, huku kushuka kwa uzalishaji ikitajwa kuwa sababu.
Miongoni mwa bidhaa za chakula zilizopanda bei katika mwaka ulioishia Septemba mwaka huu ikilinganishwa na mwaka ulioishia Agosti mwaka huu ni mchele, maharage, mahindi...
Mfumuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!
Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.
R.I.P JPM.
Wafanyabiashara wanaoagiza mahindi kutoka Tanzania watahitajika kujisajili na BRELA, kupata kibali cha biashara na kuwasilisha cheti cha kibali cha kodi kilichotolewa na BRELA kabla ya kusafirishwa nje ya nchi
Notisi iliyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Tanzania inawataka wafanyabiashara wa...
Haijawahi kutokea!
Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bei ya mahindi kufikia kuuzwa laki na thelathini na tano kwa gunia la debe sita ambazo ni sawa na kilo 107 hadi 110 kutegemea na uzito wa mahindi.
Wasiwasi mpya wa upungufu wa unga wa mahindi umeibuka nchini Kenya baada ya Tanzania ambayo ni msafirishaji mkubwa wa mahindi nchini humo kufungia vibali vya kuuza nafaka hiyo nje ya mipaka yake.
Hatua hii ni katika kujilinda dhidi ya baa la njaa kwa kulinda hazina ya ndani ya akiba ya chakula...
Wazazi wawili Yohana Josephat (40) na Lucia Michael (30) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu baada ya kuwajeruhi watoto wao kwa kuwachoma na moto sehemu mbalimbali za mwilini baada ya kuwatuhumu kuiba mahindi debe moja.
Watuhumiwa ni Wakazi wa Kijiji cha Yitwimilaa, Kata ya Kiloleli...
Bei ya Unga wa mahindi nchini Kenya itashuka kutoka Ksh. 230-100 kuanzia leo Julai 18
Hii ni baada ya Serikali ya Kenya kutoa ruzuku kwa bei ya uzalishaji wa bidhaa hiyo kwa muda wa wiki 4.
Katika muda wa wiki 4, Wizara ya Kilimo italipa sehemu ya gharama ya kuzalisha Unga, ili kuwaepusha...
Habari za humu ndani wadau, nimesoma maandiko mengi na kusikiliza wataalamu wengi juu ya kilimo cha mahindi.
Wapo wanaosema unaweza tumia viua magugu km round up kuandaa shamba badala ya kulima. Hili wadau mnasemaje
Na pili ni kwenye matumizi ya mbolea. Nataka kupanda kwa kutumiwa mbolea ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.