Wadau kwema.
Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya..
Kazi nazoweza kufanya
Kazi ya sales
Storekeeper
Kusaidia fundi.
Kazi ya kusimamia mradi
Kazi ya usafi
Na kazi nyinginezo...