majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kumpatia Majaliwa ajira Zimamoto, kumpelekeka Bungeni na kumpatia mil 5 sio suluhu ya matatizo ya taifa letu

    Tuna changamoto lukuki kama taifa ambazo zinatakiwa kupatiwa suluhu na serikali kupitia vyombo vya dola na wala sio porojo za kisiasa. Tuna majambazi, panya road na vibaka. Wanasumbua kwa zaidi ya miaka ishirini. Hapa napo tusaidiwe na akina majaliwa? Tuna wahamiaji haramu kibao wanaishi na...
  2. S

    Baba Majaliwa apongezwe. Ilikuwa ni lazima baba yake aikimbie familia ili kijana Majaliwa awe shujaa

    Babake Majaliwa anastahili pongezi nyingi sana kwa kutuletea shujaa. Kitendo cha huyu babake Majaliwa kuukimbia familia ndiyo kimepelekea Majaliwa kuishi kwa shida hivyo kujengeka na kuwa shujaa. Watoto wengi wanaolelewa na wazazi wawili huwa ni walegevu na wasio na tija ktk jamii. Huishia...
  3. Vipi kuhusu mpenzi wa shujaa Majaliwa?

    Ndugu zangu tangu ajali ya ndege iliyo tokea hapa majuzi ni mengi yamejadiliwa, bla !bla ! Ni nyingi Hadi muda huu. Ok let's get to the point! Leo nikiwa nimetulia Kuna wazo limenijia, kuhusu mchumba wa huyu shujaa wa Tz( Majaliwa). Vipi kuhusu shemeji yetu yupo anamsaidia kuzitafuna noti...
  4. Majaliwa Shujaa wa ajali ya Precision Air ya Bukoba atinga Bungeni leo Novemba 11

    Huyu hapa👇
  5. Unadhani ni nani anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake?

    Hili ni swali tu ndugu zangu, wala halina Uhusiano na jambo lolote lile. Cheo ni dhamana ya Muda mfupi sana ni kama mbio za kupokezana vijiti tu, leo huyu, kesho yule . Kiongozi aweza kuachia madaraka kwa kuondolewa na Mamlaka ya Uteuzi, aweza pia kuachia madaraka kwa hiyari yake, ama aweza...
  6. F

    PM Majaliwa ana moyo halisi wa Mwalimu, Hayati Sokoine na Hayati Magufuli

    Leo hatunao tena Hayati Mwalimu Nyerere, Hayati Sokoine na Hayati Magufuli kimwili lakini nawahakikishieni bado wanaishi nasi na sehemu za roho zao zipo kwa mtumishi wao Majaliwa. Mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu na kujiuzuru kwa sababu ya Richmond alituambia tatizo ni UWAZIRI MKUU. kwa kipindi...
  7. Nasimama na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Kumekuwa na nyuzi nyingi sana ambazo zinaanzishwa kwa hoja ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu hivi Hawa watu wapo nyuma ya Nani? Hivi hawaoni jinsi anavyojitajidi kupambana na mchwa inayoligharimu Taifa. Kama sio Majaliwa unadhani huko kwenye halmashauri Hali ingekuwaje japo wanamzidi akili...
  8. Mashujaa wa taifa hili mwezi huu afande mtarajiwa Majaliwa na Yangaa mmenikosha sana

    MUNGU Awabariki KUJITOA KUNA BARAKA ZAKE THX ENGN THX MAJALIWA THX DAR YOUNG AFRICANS
  9. Muda wa Mungu ulipofika, muda wa Majaliwa ukakaa pembeni

    Si kila muda ni muda sahihi bali muda wa Bwana,rejea Yohana 7:6 Yesu akawajibu, “Wakati wangu wa kwenda huko haujafika, ninyi mnaweza kwenda wakati wowote,ni kweli asubuhi yako inaweza kuamua ni kwa kiasi gani siku yako itakuwa kwa mjumuisho ni kweli asubuhi ndio uwa na matayarisho juu ya siku...
  10. Nasimama na Waziri Mkuu wetuu Mjaliwa Kasimu Majaliwa

    Wanajamvi wenzangu Nakusalimu sana na poleni nyote humo mlipo najua mko mkilitumikia Taifa letu. Mim Kibori Nangai Nitamtetea ,nitasimama na Majaliwa Kasimu Mh Waziri Mkuu wa Taifa letu. Sihitaji kupangiwa , Hawa wanaharakiti Uchwara hatuwataki hata kidogo Kuna huyu anayejiita Tito Magoti...
  11. Baba yake Majaliwa mvuvi ajitokeza na kudai..

    Nimepitia kwenye mitandao nimekuta kuna habari kubwa kumhusu Majaliwa kijana ambaye amevunja vichwa vya habari hapa juzi kwa kuongoza zoezi la kuwaokoa abiria wa ajali ya ndege huko Bukoba. Baba huyo ametoka hadharani na kudai kwamba pesa ambayo Majaliwa alipewa kama motisha ni ya familia na...
  12. Wakati sisi tukisema zawadi ni ndogo kwa shujaa Majaliwa, baba aibuka na kusema zawadi ni ya familia

    Nilivyosema Majaliwa ni mwanangu watu walibisha, kinachoingia katika familia ni cha familia - Baba Majaliwa "Mimi na Mama Majaliwa tumetengana kwenye mambo ya ndoa lakini tupo pamoja sana hayupo mbali na mimi na mimi sipo mbali naye kwenye masuala ya familia tunashirikiana kupanga mambo ya...
  13. Rais Samia Vunja Baraza la Mawaziri Nchi ipone. Waziri Majaliwa Habebeki

    Salaam Wakuu, Nchi ilipofikia, Viongozi wetu hasa Mawaziri wanatakiwa wajitafakari na kujisahihisha waone wanajipa Marks ngapi. Kama inafika wakati Wasaidizi wa rais wanamdharau kisa ni Jinsia ya Kike, kuna nini tena? Anawaagizi hivi wanafanya ambavyo hawajatumwa. Wamekalia Majungu na...
  14. Je, Muokoaji Shujaa asingekuwa na Jina la 'Majaliwa' angesifiwa na hata Ushawishi wa Kumtunza 'Mifedha' ungekuwepo?

    Haya haya Waokoaji wa Ajali za baadae hakikisheni nanyi Majina yenu yawe yanafanana na ya Viongozi Wakuu na Waandamizi wa Serikali hii ya Awamu ya sasa ili yakitajwa tu basi wenye hayo Majina ( Wajina zenu ) waweze Kufurahi na kupata hata Ushawishi wa Kuwalazimisha Wakuu wa Mikoa mpewe Zawadi na...
  15. R

    Shujaa Majaliwa ajira yake, elimu yake inakidhi vigezo vya Serikali?

    Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri Serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiriwa kwa sheria ipi? Anakidhi vigezo? Note: Sina tatizo/wivu and the like naye kuajiriwa, but tusiwe vipofu...
  16. Mnaomuonea wivu Majaliwa ( maja mnyama ) ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana

    Nimekuwa nikifuatiria toka kijana mdogo alivyopewa ajira kwenye kikosi cha zimamoto kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiongea saana, na wengine wamefikia kusema kijana wamempoteza tu ilitakiwa aulizwe anataka nini apewe na asepe. Jamaani ukweli ni kuwa ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana acheni...
  17. Haya tumeshamaliza ya 'Ajali ya Ndege' na 'Kumshadadia Muokoaji' Majaliwa, sasa turudini huku kwenye 'Umuhimu' zaidi

    Ajali imeshatokea tayari na wengine wameshatuaga mazima duniani huku wengine wakiwa wamejeruhiwa na tunaendelea kuwa nao Hai hapa duniani. Hongereni pia Watanzania kwa Kumsifia zaidi Muokoaji Majaliwa na Kumpa Zawadi nyingi huku Ushujaa wake ukitulazimisha tumjadili zaidi Yeye Mitandaoni kote...
  18. Je, Muokoaji Majaliwa asingekuwa Shabiki wa Yanga SC akina GSM na Klabu ya Yanga ingempa hizi Fedha nyingi nyingi?

    Gharib Said Mohamed (GSM) bhana kwahiyo Wewe siku hizi umekuwa ni wa kutafuta tu Sifa kwa Watanzania hasa Kupitia Matatizo, Maafa na Majanga yanayowakumba? Kama kweli GSM unapenda Watu na una Huruma mbona zaidi ya mara Sita (6) umeletewa Barua za Chama Cha Wachezaji wa Zamani (ambao hawana...
  19. Serikali kama mmeweza ku-mobilize Pesa ya kumpa zawadi muokoaji Majaliwa ikapatikana, kwanini msifanye ya kununua Vifaa vya Uokoaji Majini?

    Hongereni sana Serikali ya Tanzania (chini ya CCM) kwa kupata Credits kwa Watanzania wengi (japo siyo Wote) walio Goi Goi (Mazuzu) kwa Kitendo chenu Watendaji Wakuu (hasa Premier Majaliwa na RC Chalamila) cha kufanya Mobilization ya Kufa Mtu mpaka Pesa za Kumzawadia Muokoaji Majaliwa...
  20. Serikali hongereni kwa kukwepa lawama ya uokoaji manusura wa Ajali ya Bukoba kupitia kupewa zawadi muokoaji Majaliwa

    Naona hivi sasa Watanzania (Waswahili) kama kawaida yao wameshahama katika Kuizungumzia Ajali na Mapungufu yake na sasa 97% ya Waswahili (Watanzania) wapo katika Kumzungumzia na Kumzawadia Muokoaji wa Taifa Dogo Majaliwa. Taifa lenye Watu (Raia) makini kamwe hawawezi Kushadadia na Kufurahia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…