majanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hii barabara ya Mpunguzi iliyopo Dodoma ina viraka vingi, iwekwe sawa kupunguza athari za majanga

    Dodoma: Hii ni barabara ya Mpunguzi iliyopo jijini Dodoma ni barabara ambayo yanapita magari kuelekea mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya na mikoa mingine. Ukipita kwenye barabara hii utakutana na vishimo vingi ambayo vinaweza kusababisha madhara ikiwemo kuharibu magari na kusababisha ajali...
  2. Nashauri kuwe na mafunzo ya vitendo kwa jamii ili kukabiliana na majanga mbalimbali yanayotokea katika jamii sio tutegemee vitengo vya uokozi pekee

    Nashauri kuwe na masomo ya vitendo maalumu kwa jamii pia kwaajili ya kujiandaa na kukabiliana na majanga mbalimbali kama vile moto, mafuriko, matetemeko ya ardhi n.k kwa mara nyingi masomo ya vitendo vya kukabiliana na majanga pamoja na vifaa vya uokozi huwa vinatolewa kwa asilimia kubwa...
  3. Happy Mariage Day:- Njooni tuwape pole waliojitafutia majanga makuu kwenye hii dunia ya utandawazi..!!!

    Siku ya Kimataifa ya Wenzi wa Ndoa:kuheshimu mume na mke kama msingi wa familia Siku ya kimataifa ya Wenzi wa Ndoa ni sheherehe ambayo inahimiza kuheshimu mume na mke kama jiwe kuu la pembeni la familia,umoja msingi wa jamii ya kila tamaduni,kabila,koo na taifa.Adhimisho hili linahamasisha uzuri...
  4. Jeshi la Zimamoto latoa tahadhari ya uwepo wa majanga, Wakazi wa mabondeni watakiwa kuwa makini

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita...
  5. NEMC yaitahadharisha Jamii kuhusu Majanga tarajiwa yatokanayo na Mvua pamoja na tabianchi

    Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) Dkt. Immaculate Sware Semesi ameitaka jamii yote kuzingatia maelekezo yanayotolewa na mamlaka za usimamizi na kuchukua hatua za kujilinda na hali ya hatari tarajiwa katika mazingira. Ameyasema hayo leo tarehe 02...
  6. T

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya, ameagiza kuundwa kwa mfuko maalumu utakaoshughulikia majanga ya asili yanayowakumba wakulima

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Mbarak alhaj Batenga, ameagiza kuundwa kwa mfuko maalumu utakaoshughulikia majanga ya asili na moto ambao utasaidia kupunguza hasara inayawapata wakulima wa tumbaku wilayani humo. Batenga alitoa kauli hiyo alipokuwa akikabidhi gari kwa wakulima wa tumbaku...
  7. Nukuu ya leo: Ukiwa unajenga huku unahonga jiandae kupigwa na majanga.

    Muwe na siku ya mafanikio.
  8. Uongo wa kiimani: Majanga ya moto yametokea nchi nyingi sana

    https://www.google.com/amp/s/www.aljazeera.com/amp/news/2021/8/19/mapping-wildfires-around-the-world-interactive Watu hamsomi. Hamjiongezi mkapata taarifa. Wanaibuka watu wanasema ni Mungu amewaadhibu sababu ya Gaza. Hizi akili za watu ambao hawana elimu na ufahamu. Hizi nchi zimewahi pata...
  9. Kwanini Ikulu hazikumbwi na majanga ya asili?

    Hodi humu jamvini, Heri ya mwaka mpya wakuu, Mi ni mgeni kwa hii Id na ndo mara yangu ya kwanza kupost uzi. Kama kichwa cha uzi kisemavyo , Kwa zaidi ya miaka 30 nimekuwa mfatiliaji wa habari za ndani na kimataifa. Sijawahi kuona au kusikia ikulu yoyote hapa duniani ikikumbwa na majanga ya...
  10. Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

    Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo. Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku...
  11. K

    Maono: Kama viongozi wetu wataendelea hivi Majanga hayataisha Tanzania

    Kwa sisi wenye imani tunaamini majanga yetu ni kwasababu ya uporaji wa haki na bila kuwa na upendo na haki kwa wote ikiwa ni pamoja na katiba nzuri, demokrasia ya kweli, bunge na mahakama inayotoa haki majanga nchini hayataisha. Majanga yatakuja ya mvua, matetemoko , ajali na vifo. Viongozi...
  12. Mdude: Tanzania haina kifaa cha uokozi kwenye majanga ya Vifusi na maji (rescue radar)

    Hiki kifaa kinatumika wakati wa majanga ya watu waliofukiwa kwenye kifusi au maji ku-scan na kujua walipo. Hiki kifaa TZ haina na kinauzwa milion 10 tu. Ila Samia katoa milion 700 za pongezi kwa Taifa stars, halafu waokoaji Kariakoo wanakisia kutafuta wahanga walipo ili wawaokoe.
  13. Kwenye ajali ya Kariakoo, mmiliki wa jengo awajibishwe ili iwe mfano

    Kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo video zinazosambaa inaonesha Jengo halikuwa na underground. Hivyo mmiliki akaamua kuchimba kuweka maduka chini. Hii bila shaka haikuhusisha mamlaka na wataalamu maana wasingeruhusu afanye alichofanya. Naiomba serikali inipr huyu mtu nikae nae ndani siku moja...
  14. Je, Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kwenye kupambana na majanga ya aina zote?

    Hello hello! Kulingana na kadhia hasa nyakati za majanga inachekesha sana, kitengo cha maafa, Jeshi la uokoaji, na kamati zote zimeendekeza Utopolo wa kujirudia, nyakati zote huambatana na haya. Uokoaji hafifu, duni wenye vitu hivi 1. Hakuna vifaa 2. Waokoaji sifuri 3. Raia wa kawaida...
  15. Maana ya jiji iko wapi kama hawako mstari wa mbele katika majanga makubwa?

    Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala? Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au...
  16. Waafrika kujikuta tunaishi Afrika Wala si Bahati mbaya,ni sahihi kabisa na tena tushukuru

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo inapaswa Tushukuru usiku na mchana! Bara la Afrika ni bara ambalo linaendana sawia na akili ya...
  17. M

    Janga la Kariakoo limeendelea kuthibitisha udhaifu wa serikali kwenye majanga ya ghafla

    Kwanza, Usimamizi wa ujenzi kariakoo ni mbovu, wakinga, wachaga, waha, wapemba wanajenga hovyo majengo marefu tena mengine bila hata uzio bado ni hatari. Uokoaji kwenye majanga kama hayo kwa nchi yetu ni mbovu tukianza na meli ziwa Victoria, tukaja ajali ya treni, kivuko kule nansio, ndege...
  18. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kujiuzulu, kitengo cha majanga kimemshinda

    Kijana wa miaka 25 anakufa bila kuugua Tena kwa uzembe wa kutookolewa Nimeona jumbe za watu waliopo kwenye vifusi nimelia Sana Mimi ni mwanaume lakini ukweli nimejaribu kuvaa viatu vya kijana mwenye miaka 25 ana mke na mtoto kamuacha nyumbani au kwa dada mwenye miaka 23 ana mme kamuacha...
  19. Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  20. B

    Ningekuwa mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Dar Es Salaam, ningefanya haya kujiandaa na Majanga na wakati wa Majanga

    Ndugu zangu wana Jukwaa, poleni kwa sote kwa yale yanayoendelea. Tuendelee kuweka nguvu zetu kwa panoja ili hatimaye hatua za uokoaji ambao serikali imeshaingilia kati ziweze kulete manufaa kwa wahanga. Pamoja na hayo ni vema tukatumia wakati kama huu kabla watu jawajasahau( watanzania ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…