NA. MWANDISHI WETU – BAKU, AZERBAIJAN.
TANZANIA imeendelea kutolewa mfano wa kuwa na Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room) na kuelezwa kuwa nchi nyingine ziendelee kuiga mfano wa Tanzania na kuendelea...
Demokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment.
Katika maisha yangu nimekuwa nikiota ndoto kadhaa. Zingine zinakuwa hazieleweki ila zingine zinakuwa na ukweli baada ya muda flani. Yaani kinatokea kama nilivyoota. Nimekuwa nikiishi hivyo kwa kwa siku zote za maisha yangu. Wakati mwingine nikawa najilaumu kwa kutochukua tahadhari kwa majanga...
Mfano hiyo hapo juu ni actual mileage inayonekana kwenye gari.
Hii ni mileage inayoonekana kwenye website ya EAA.
Gari imeshushwa 120,000Km
sasa hiyo ina uafadhali ila zipo ambazo ni worst kuliko hiyo.
inaonekana kununua gari na kuja kuuza na actual Kilometers watu hawataki kununua, kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kutokea Lebanon
Wenye nchi yao sasa wamecharuka wanataka Hezbollah wafurushwe nchini mwao na Serikali yao iwe na mamlaka kamili ya kutawala Kwa nchi yote ya Lebanon
Madhara ya Hezbollah kuendesha shughuli zao ni makubwa sana hivyo ni wakati muafaka kikundi...
Mpaka rahaa wataelewa tu
Nilikuwa naangalia star TV mahubjri ya kutoa nkaenda TV upendo kutoa
Nkamua niende kanisani huko nakoo n kutoaaa
Narudi hme sasa nasikiliza redio moja ya dini hukoo ndioo balaa wanatishiwa kabjsaa wasipotoa madhara yake.....
Tusiache kutoa sadaka jaman wahubiri...
Snura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena.
Snura Mushi ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini.
Amezitaka media na watu binafsi kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa amebadilisha aina ya maisha yake kabisa.
Pia soma...
Ni kama Mungu aliweka iwe hivyo mafuriko mengi huwa yanatokea usiku ndo maana idadi ya wanaokufa inakuwa sio ya kutisha Kwa sababu watu wanakuwa wamelala wanaamshwa na majanga wanapata nafasi ya ku jiorganize fasta Kwa ushirikiano ila ingekuwa tuseme mchana aisee ndo Balaa maana watu wanadata...
📌Matumizi ya wakandarasi wasio na utaalamu (Vishoka)kutandaza nyaya (wiring)pasipo kuwa na utaalaamu wa kufanya hivyo
📌*Matumizi holela ya vyombo mbalimbambali vinavyohitaji kutumia nishati ya Umeme visivyotengenezwa kwa ubora
📌Matumizi Mabaya ya Nishati zingine vyatajwa kuongoza kama chanzo...
Katika miongo miwili ijayo, jukumu la wakandarasi katika kujenga miundombinu imara na endelevu itakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali, hasa linapokuja suala la kuzingatia majanga ya asili kama mafuriko. Kujenga miradi bora ambayo inaweza kustahimili majanga haya ni njia muhimu ya kuzuia serikali...
UTANGULIZI.
Majanga ya moto ni miongoni mwa majanga ambayo hayatabiriki na huleta athari kubwa sana katika jamii kama vile watu kupoteza maisha na mali,kwa Tanzania majanga mengi ya moto yamekuwa yakileta maafa makubwa kipindi yanapotokea hii nikutokana na sababu mbalimbali ikiwepo ukosefu wa...
Hello, mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu nasoma Shahada ya Kwanza (Masters Degree of Environmental Disaster Managament) mwaka wa pili.
Ombi langu ni kuhusu degree hii tunasoma lakini pia kuna waliotutangulia ambapo majanga yanatoke mengi na nchi hupata hasara while watu ambao wanateuliwa...
Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa.
Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
Mungu ametuwekea mambo ya kutupa raha machache sana yaani ukifikiria raha ni kunywa pombe, kula chakula, kufanya mapenzi na kulala usingizi.ila cheki majanga yalivyo mengi magonjwa, majanga ya asili, umaskini, ajali n.k
At least kidogo tungekuwaga na uwezo wa kupaa Kama ndege yaani unaruka...
Salaam ,Shalom!!
Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk
Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni adhabu Toka Kwa Mungu.
Mafuriko katika Nchi zenye jangwa kama Dubai, Saudi Arabia nk nk, Milima...
Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza? Itakuwaje na ile milima ya mawe?
Pia soma
Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133
Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa
Sijaelewa ni nani aliyewafunza waandishi wetu wa habari yaani Taarifa za habari kwenye T.v ,redio na magazeti zimejaa habari za majanga tu hakuna ubunifu.
Kwa asilimia kubwa yapo mema yanayotokea kwenye jamii kwanini sasa jamii inalishwa taarifa za vitimbwi na majanga tu? Huu ni upuuzi na...
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.
Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?
Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini...
Kwa vijana hasa vidume wenzangu....
Niliingia Tanga mwaka jana mwanzoni, ugeni ni upofu nikakurupuka nikamtongoza binti flan wa mtaa wa pili ni muajiriwa wa serikali.
Huyu binti ni mweupe, mrefu kiasi na ni mwembamba anamsambwanda kiaina. Alinivutia sana to be honest.
Basi nikaanza kumpangia...
Kama mvua kubwa yoyote iliyopiga Mkoani kwako (uliko) haukuleta madhara yoyote mshukuru sana Mwenyezi Mungu.
Ila kwa sisi tulio eneo moja Mkoani Morogoro Mvua ya Jumamosi kuamkia Jumapili imeleta madhara makubwa mno kiasi kwamba wanavijiji Wenzetu kama 40 hivi na wana Taasisi Muhimu 11 bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.