majanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Butterfly

    Idara za Uokoaji na Zimamoto hazina vifaa, wataalamu au zinapuuza majanga?

    Mdau wa JamiiForums.com anasema kila kunapotokea Janga hasa la Moto taarifa pekee inayotoka ni Moto kuzimwa ukiwa umeteketeza kila kitu au kubakiza sehemu ndogo sana. Anatolea mfano kuungua kwa Shule, Masoko, Mlima Kilimanjaro uliowaka kwa zaidi ya wiki 2 ambapo anahoji tatizo ni Idara kukosa...
  2. The Burning Spear

    Kwanini majanga ya moto hutokea Jumapili mara nyingi?

    Waungwana Tanzania tunapigwa kizembe sana . Hasa hii serikali ya BITOZO wahuni wanafanya lolote wanalotaka. Inakuwaje ajali za moto zitokee kuamkia Jumapili tu ni coincidence ya namna gani hii.. Aisee kuna watu wanapiga sana hela kupitia haya majanga ya moto halafu hawana wa kuwawajibisha wala...
  3. GENTAMYCINE

    Je, Tanzania una 'Makomandoo' wa 'Majanga' au ni hawa tu wa Maonyesho ya Karate na Kuvunjiana Mbao Migongoni katika Uhuru / Muungano Day?

    Kama wapo huwa wanakuwa wapi katika Majanga ya Mafuriko, Moto ( Mioto ) kama huu wa sasa wa Mlima Kilimanjaro na Ajali? Nasubiri Mirejesho yenu na leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa hapa ni Kusoma tu Maoni yenu nyie 'Great Thinkers' wa JamiiForums na najua mtakuwa na Madini ya kutosha juu ya hili.
  4. M

    De Agosto ni kama Ihefu iliyo changamka, kikosi chao ni majanga

    Hawa De Agosto wana shida kubwa sana kwenye kikosi chao na mstari wao wa ulinzi, wamewapa Simba mwanya wa kutamba kwakuwa hawana maarifa yoyote wanapofika kwenye 18 ya mpinzani. Wanagongeana pasi katikati lakini zinakosa uhatari wowote kwenye umaliziaji, ni moja ya mechi nyepesi sana kwa Simba...
  5. eliakeem

    USHUHUDA: JINSI EU, US NA NATO WALIVYO SABABISHA MAJANGA LIBYA

    Ifike mahala sasa lazima tuelewe jinsi nchi za magharibi zilivyo wanafiki na wauaji wakubwa katika dunia hii. Wengi walishuhudia jinsi nchi za magharibi na miungano yao ikishiriki kuhatarisha amani ya dunia. Lakini wengi wa watu duniani wako gizani kuhusiana na hilo. Wakati maharamia yakivamia...
  6. J

    Shirikianeni na TIRA kukinga wananchi dhidi ya majanga

    SHIRIKIANENI NA TIRA KUKINGA WANANCHI DHIDI YA MAJANGA. Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Hussein A. Kattanga amewataka Makatibu wakuu nchini kuhakikisha wananchi wanakingwa na huduma za bima. Balozi Kattanga ameyasema hayo alipokuwa akifungua mafunzo maalum ya umuhimu wa sekta ya bima katika...
  7. JanguKamaJangu

    Majanga! Majeraha kumuweka nje Paul Pogba hadi 2023

    Kiungo wa Juventus, Paul Pogba anaweza kuikosa michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakayofanyika Nchini Qatar kutokana na kupata jeraha la goti alilopata katika mazoezi. Pogba amesitisha kuwepo katika kambi ya timu hiyo kwa ajili ya kwenda kuona wataalam na kuna uwezekano wa kufanyiwa upasuaji...
  8. Suzy Elias

    Majanga: TRA wanashirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta kuhujumu kodi kupitia risti?!

    Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu. Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta. Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
  9. MamaSamia2025

    Ili kuepusha majanga kwenye ndoa turudi kwenye mila zetu

    ILI KUEPUSHA MAJANGA KWENYE NDOA TURUDI KWENYE MILA ZETU Siku hizi watu hawazingatii kabisa mambo ya kimila. Tumewadharau sana wazee wetu ndo maana majanga kila siku kwenye ndoa. Enzi zetu ukitaka kuoa kuna njia mbili; aidha uchague mchumba wewe mwenyewe au wazee wakuchagulie. Na kabla ya...
  10. Pascal Mayalla

    Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

    Wanabodi, Kwanza sio kila kitu ni siasa, vitu vingine ni hoja za kikatiba, Sheria, taratibu na kanuni. Ukileta hoja specific, hakuna ubaya kujifagilia ubobezi wako katika eneo husika. Mimi Paskali Mayalla, japo ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia nilisomea sheria...
  11. Lady Whistledown

    Tulia Ackson: Barabara ya Mbeya- Chunya ni zaidi ya majanga

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Akson ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya matengenezo ya barabara zinazojengwa ili ziweze kuwa imara wakati wote. Akizungumza leo Jumanne Aprili 19, 2022 Bungeni jijini Dodoma ameitaja barabara ya kutoka Dodoma kwenda Iringa kuwa ni janga huku akieleza barabara...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tanzania tuna akiba gani nyingine ya kutusaidia tukipatwa na majanga Zaidi ya akiba ya chakula na akiba ya fedha za kigeni?

    Tanzania 🇹🇿 kama taifa tumekuwa tukijivunia kupanda kwa akiba yetu ya fedha za kigeni na pia tumekuwa tukijivunia kiasi kikubwa cha chakula tulicho nacho kwenye maghala ya kuhifadhi nafaka. Sijawahi kusikia tukisifia kiasi cha akiba cha mafuta ya nishati ambacho serikali inacho. Tunajua kwamba...
  13. Gushleviv

    Landrover Discovery na Majanga ya Moto

    Salaam Wadau, Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na mfululizo wa hayo Magari kwa hapa Bongo(TZ) kuteketea kwa Moto(Kuungua). Tatizo ni nini? Binafsi nimepoteza sana Mvuto na hayo Magari. Wataalam kina JituMirabaMinne toeni maoni.
  14. Lycaon pictus

    Ni majanga gani ya kiikolojia ambayo Tanzania imewahi kabili/inakabili?

    Habarini. Kuna hii ishu ya majanga ya kiikolojia ambayo mara nyingi husababishwa na binadamu na shughuli zao. mfano hapa Tanzania kuna janga la Magugu maji katika ziwa Victoria. Inasemekana yaliletwa sijui na watu gani. Pia nasikia kuna Samaki, kati ya Sato au Sangara, waliwekwa humo ziwani na...
  15. J

    Waziri Mwigulu: Mfumuko wa bei hausababishwi na Sera wala Uzembe. Fedha ya COVID 19 imeongeza mzunguko Vijijini na Deni la taifa ni himilivu

    Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba amesema mfumuko wa bei unaolalamikiwa hausababishwi na sera zetu wala uzembe. Kadhalika, fedha ya mkopo wa COVID 19 kutoka IMF imesaidia kuongeza mzunguko wa fedha mitaani na hasa katika maeneo yote ya vijijini ambako fedha hizi bado zinazunguka. Naye Katibu...
  16. L

    China yafanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa L-SAR kwa ajili ya kufuatilia majanga ya asili

    Saa 7:44 Februari 27, China ilifanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa satelaiti wa L-SAR kwa kutumia roketi ya Long March 4C kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Jiuquan. Pamoja na kazi nyingine, satelaiti hiyo itatumiwa hasa kufuatilia mazingira ya kijiolojia...
  17. MamaSamia2025

    Nimeamua kuoa Msabato

    Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo; 1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000. 2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu...
  18. Uwesutanzania

    Kila nikiwaza haya majanga nakosa hamu ya kupata mtoto

    Natamani sana kuwa na watoto, ila nina mambo yanayonikosesa furaha kila nikiwaza juu ya kuwa na watoto,. Miongoni mwa mambo hayo nina makubwa mawili nayo ni;- 1. Umasikini, Umasikini ni janga kubwa kwa upande wangu, huwa nakosa amani pale ninapoiona kesho ya watoto wangu kwenye swala...
  19. Swahili AI

    Wafanyabiashara tujifunze kupitia haya majanga ya moto

    Habarini wana JF, Kwanza kabisa nitoe pole kwa wafanyabiashara wote wa Soko la Karume, pamoja na Kariakoo (hawa sijawahi kuwapa kutokana na janga la moto walilopata). Kuna suala moja ningependa tujifunze kupitia majanga kama haya ambapo yakitokea yanasababisha hasara kubwa kutokana na upotevu...
  20. Pascal Mayalla

    Mwaka 2021 ulikuwa ni Mwaka wa Majanga kwa Tanzania. Mwaka 2022 uwe Mwaka wa Mabadiliko, Watanzania tubadilike! Happy New Year!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Salaam za Mwaka Mpya, Imechapishwa kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Jana ndio tumeuanza mwaka mpya wa 2022, hivyo nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya wasomaji wangu na Watanzania wenzangu, “Happy New Year”. Wakati tukitakiana heri ya mwaka mpya, sio...
Back
Top Bottom