majanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshuza2

    Kuna dalili mwaka huu 2024 kuwa na majanga mengi ya kiasili.

    Tujiandae kisaikolojia,hali sio nzuri kwa upande wetu..dalili zimeshaanza kujionesha toka mwaka jana mwishoni. Mimi sio mtaalam wa mambo ya hali ya hewa..lakini unaweza kuzingatia nilalosema au ukapuuza..
  2. Mjanja M1

    Video: Bodaboda asababisha Ajali

    Angalia hapa jinsi Dereva Bodaboda alivyosababisha Ajali kwa Bodaboda mwenzake. Ushauri - BODABODA KUWENI MAKINI MNAPOKUWA BARABARANI ILI KUEPUSHA AJALI.
  3. Maleven

    Kukosa ulichokitaka na kupata ulichokitaka yote ni majanga

    Nimekaa nikatafakari endapo ningemkosa huyu mwanamke nilienae, huenda ningekua na mjuto kwa kuamini kulikua na chaguo zuri ambalo sijalipata. Lakini leo nimepata kile ambacho niliamini ndio kitu bora zaidi huku uhalisia ukipingana na nilichokua naamini.. Kweli pema usijapopema ukipema si...
  4. Roving Journalist

    NEMC yatahadharisha Umma juu ya umuhimu wa kuchukua tahadhari kuepuka majanga

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeitaka Jamii kuchukua tahadhari kujilinda dhidi ya uwepo wa kutokea Mafuriko kwenye maeneo mbalimbali Nchini. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Menan H. Jangu amezungumza na...
  5. S

    Majanga Hanang majibu ya kebehi ya wataalam TANESCO kuhusu suala la umeme

    Mungu hamfichi mnafiki.Msemo maarufu wenye miaka mingi. Wataalam wa shirika la ugavi wa umeme TANESCO wamejibiwa na Mungu mwenyewe pale walipojibu shutuma kwanini umeme haupatikani huku mvua zikinyesha. Wakasikika wakisema zinanyesha katika mikoa mingine mbali kabisa na kule Mtera ambapo kuna...
  6. Majok majok

    Nimeamini mpira wa kiafrika ni majanga huyu refa wa Medeama na Yanga kadhihirisha mipango ya nje ya uwanja

    Nilipata wasi wasi niliposikia kuwa wafanyabiashara wa mji wa Kumasi wameungana ili kuakikisha yanga atoki salama pale babayara stadium, na ilikuwa ni lazima yanga afie pale! Wasi wasi Wangu kumbe nilikuwa sahihi sana kwa kilichotokea uwanjani kwa refarii kumrudisha fadhira kwa waliomkarimu...
  7. J

    Boris Johnson: Wakati mwingine Kwenye majanga kama ya Covid-19 ni Heri kutumia common sense

    Ni Heri kutumia common sense kama yule Rais fulani wa Africa aliyesimama Imara na kuiponya Jamii yake Johnson alikuwa akijibu Swali la Jaji huko UK Sijajua huyo Rais wa Africa anayempongeza ni nani! Maandalizi Mema ya Sabato 😀 --- Boris Johnson says more "common sense" should be used at...
  8. GENTAMYCINE

    Majanga makubwa yakitokea nchi zenye vyombo vya habari makini kipaumbele huwa ni Tukio, ila kwetu kipaumbele ni Kuipamba Mamlaka!

    Binafsi nilitegemea baada ya Tukio la Hanang Mkoani Manyara Media ya Tanzania ingekuwa inatupa Elimu zaidi ya nini kimesababisha na hata kutoa tahadhari zaidi kwa eneo husika au maeneo mengine yenye Jiografia kama ya Hanang ili kujiepusha na Majanga makubwa mengine. Ila cha kushangaza na...
  9. L

    Upimaji wa ardhi ya makazi ni muhimu Ili kuepusha majanga

    Ni vyema vijiji vipimwe na kufanyiwa tathimini kama ardhi yake inafaa Kwa makazi na shughuli za kibinadamu,Kuna baadhi ya maeneo watu wanaishi kwenye mabonde au karibu na Kingo za mito,Kuna maeneo ambayo kimsingi hayafai Kwa ajili ya makazi lakini mamlaka zipo kimya.Tusingojee mpaka majanga...
  10. R

    Niwaombe viongozi wa Tanzania wapunguze picha /selfie kwenye majanga; watofautishe furaha na kilio

    Viongozi wa serikali waliokwenda Hanang hakuna kazi serious waliyokwenda kufanya; Jeshi limetekeleza wajibu wakuokoa Raia viongozi wametekeleza wajibu wakupigwa picha na vyombo vya habari. Picha za viongozi zinazosambaa zimezima kabisa coverage ya uharibifu uliofanyika. Naamini wapo viongozi...
  11. D

    Nashauri kwenye majanga viongozi wa serikali wafike mwisho; wataalam wapewe vipaumbele kwanza

    Wakati wa majanga kumekuwepo na kasumba viongozi kutangulia na makamera yao wakielekeza wataalam namna ya kufanya uokoaji! Hii haina afya kabisa! Kwa waliosomea elimu ya majanga watanielewa! Wakati wa majanga ingekuwa vyema zaidi wataalam wetu wangepewa nafasi ya kuonesha utaalam wao...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Nilijua ajali ya ndege imetupa funzo la kuwekeza kwenye utayari wa kupambana na majanga

    Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo. Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini! Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500...
  13. matunduizi

    Vyombo vya habari vikitangaza majanga watu wa Mungu hawapaswi kukaa kimya?

    Wakati serikali na vyombo vyake wanapotangaza kwa utashi wao juu ya majanga yanayoweza kulipata taifa tahadhari za kibinadamu kuchukuliwa. Watu wa rohoni hatupaswi kukaa kimya kusubiri yatokee kama yalivyotabiriwa. Inatakiwa watu wa Mungu waitishe maombi ya kubatilisha na kufuta kila...
  14. M

    Baada ya mabwawa ya Libya kupasuka na kuua watu zaidi ya 11,000, je bwawa gani chakavu litafuatia?

    Gumzo kubwa linaloendelea ulimwenguni baada ya mafuriko ya maji Libya baada ya mabwawa mawili kupasuka, kwa sababu ya uchakavu na kutofanyiwa maintenance na uborejashi. Je, hili linaweza kutokea kwetu Tanzania, tukijua kuwa tuna mabwawa ya muda mrefu sana kama Kidatu na Hale? Ni wakati fika...
  15. Dr Msaka Habari

    Watoaji wa huduma ya majanga na maafa Nchini wametakiwa kutoa elimu Mashuleni

    Taasisi za Serikali na zisizo za Serikali zinazo jihusisha na utoaji wa huduma ya majanga na maafa Nchini wametakiwa kutoa elimu Mashuleni na katika vikundi ili kuepuka majanga mbalimbali yasiendelee kujitokeza Nchini. Katika maadhimisho ya siku ya Ubinadamu Duniani, siku iliyotengwa kwa ajili...
  16. Liverpool VPN

    Wale tunaopokea mishahara ya majanga (midogo) hebu tukutane tupeane mbinu za kuishi..!!!

    INTRODUCTION Salamu sanaa Wana JF, ni Mimi yuleyule Mr. Liverpool A.K.A mkataa ndoa. Hebu twende kwenye mada moja kwa moja. SCENARIO. Umeuona huu mshahara...!!! Huu mshahara unaousoma hapo chini hapo .... 1. Unasomesha watoto wangu wawili private (primary school)..!! 2. Unanipa Flying fish...
  17. NACKO

    SoC03 Tutokomeze majanga ya moto shuleni; Njia bora zaidi

    Ni kwa muda sasa,WATANZANIA tumekuwa tukipitia maumivu makali ya Kupoteza Ndugu zetu wapendwa kwa ajali za moto mara kwa mara mashuleni.. (picha kutoka JAMII FORUM) Lakini je? ni kwanini basi licha ya kutuumiza vikali kiasi hiki,majanga haya bado yameendelea kujirudia mara kwa...
  18. MK254

    Twende mbele turudi nyuma, hili lizee la Wagner kuongoza Urusi ingekua majanga kwa dunia

    Japo binafsi nimeshabikia huo uasi, lakini nisingependa hili lizee la Wagner kutwaa uongozi nchi ile, ni hatari sana, ligaidi tena liuaji lisilokua na huruma mithili ya wale magaidi wa dini. Kuongoza nchi yenye silaha za nyuklia zisizopungua 5,000 aisei mbona tungeona shetani kwa macho. Bora...
  19. Suley2019

    Shoking: South African taps run dry after power shortages

    Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji. Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo kukatika kwa umeme kwa muda mrefu kumeathiri sana upatikanaji wa maji sehemu mbalimbali ikiwemo miji ya...
  20. Full 8

    SoC03 Tumejifunza nini katika majanga yaliyotupata?

    Nchi yetu inakumbwa na majanga mbalimbali kila mwaka. Majanga haya yanaweza kuwa ya asili au yasiyo ya asili (artificial). Ukipitia vyombo mbalimbali vya habari kama televisheni, redio au magazeti si ajabu ukakutana na vichwa vya habari vinavyosomeka hivi: “.. watano wamefariki kutokana na...
Back
Top Bottom