habari zenu watanzania? nimerud nilikuwa busy sana na mikutano ya kimataifa USA,UK,Canada, Sweden, Egypt, South AFrica, Nigeria, Russia na France. nashukuru angalau nimerudi kwa week moja hivi nije angalia mnaendeleaje hapa nchini. naambiwa tu kuna joto n.k. sijui maana sijapata nafasi ya kuwa...
Kigezo cha Gari kuwa Dadadala ni lazima liwe Bovu? Nenda stendi zote, Dar, Dodoma, Arusha, ukiacha zile zinazofanya ruti ndefu lakini zingine zote magari ni mabovu kiasi ambacho zingine ukiwa ndani unaona chini.
Lakini sioni mammlaka husika zikifanya kazi yake.
Zamani kwa mabasi yalikuwa...
Katika historia ya dunia tumekuwa tukipoteza wapendwa wetu siku hadi siku kwasababu nyingi. Takwimu za mwaka 2017, zinaonesha kulikuwa na vifo zaidi ya millioni 50 vya mwaka huo dunia nzima, 72.67% ya vifo vya dunia vimesababishwa na magonjwa yasivyoambukiza, na huku 19.49% ya vifo vikiletwa na...
Ajali za moto katika jamii yetu zimekuwa ni majanga yanayohitaji mjadala makini kutokana na athari kubwa yanazosababisha pindi yanapozuka katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika taasis za umma kama vile vyuo, mashule na katika vituo vya biashara kama vile masoko na maeneo mengine.
Athari zake...
SEKTA: MAENDELEO NA TEKNOLOJIA
Historia Fupi yakweli:
Mnamo Sept 6 2017 saa 6 kasoro mchana, Mimi mwandishi nilipata janga la moto. Ilikuwa ni safari ya Dar Es Salam kwenda Arusha kwa basi la kampuni ya “LIM SAFARI’S” lilishika moto eneo la MANGA. Uhalisia moto ulianza mdogo sana lakini...
MAJANGA YA MOTO
Asalaam aleikyum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu kristo wadau wa JF, ahsanteni wadau, jukwaa na uongozi wa Jamii Forum nimeona nilete mjadala huu mbele yenu kwakuwa ndio tatizo kubwa linaloikumba hii nchi na kuleta madhara makubwa kimaendeleo, katika nyanja zote ikiwemo afya...
Gari linaenda eneo la tukio bila kuwa na maji, alafu kesho wanasingizia kariakoo kuna tatizo la miundombinu.
Nani kawaambia gari zipaki bila kuwa na maji?.
Wenzetu wamefikia kwenye teknolojia kama hii hapa 👇🏾, sisi tusubiri sana.
Habari wakuu,
Rejea mada tajwa.
Niseme tu ukweli wanaume wengi wanateseka na ndoa zao (japo wengi hawataki kujionesha), angalia kipindi cha kutaka kuoa huwa tunachagua sanaa. Na formulars tunakuwa nazo kabisa kwamba usioe huyu au yule na tunazingatia, lakini kwenye nyumba hali bado ni tete...
Wakuu Kwema!
Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana.
Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya?
Karibuni tujadili.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga amesema sababu ya kuchukua muda mrefu kudhibiti moto katika Soko la Kariakoo ni kutokana na kutokuwa na sehemu za kuchukulia maji ndani ya Kariakoo hivyo iliwalazimu kuyafuata Airport.
Changamoto ya mfumo wa maji uliopo katika eneo...
Najua bado itatuchukua muda sana kwa watunga sera kulielewa hili suala, maana ni suala la kifalsafa zaidi.
Fikiria kama ungekuwa na huduma ya Fire ambayo ni ya binafsi, ambao wana kandarasi ya kuzima moto kwenye jiji, utendaji wake ungekuwa wa tofauti sana. Private sekta ipo efficient sana...
Habari zenu wana jf?
Ndoa za sisi vijana wa siku hizi tatizo nini? Embu twende moja kwa moja kwenye mada.
Nina rafiki yangu sana tumekuwa kama ndugu, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda kidogo (BONGE MOJA LA HARUSI)
Kiufupi kwao pesa zipo na kwa binti pia zipo, ndugu jamaa na marafiki...
Roho ya kujitosheleza,kutotaka Makuu na kutojilimbikiza Mali. Hii roho nyerere aliitoa wapi? Zama zile nadhani Nyerere angekuwa amejilimbikizia Mali nyingi na Familia yake au Ukoo ungekuwa moja ya Koo Tajiri sana Tanzania au Africa.
Lakini tunaona watoto wake wanapambana wao kama wao walisoma...
Janga la kisiasa (Hatukupata vipaji vipya vya kisiasa)
Bunge kuzimika laivu
Ajari ya treni kule Dodoma
Tetemeko la Kagera
Mauaji MKIRU (Ikwiriri na Kibiti) na mikoa ya kusini
Ajari ya kivuko Ukara (ukerewe)
Kundi la nzige huko kaskazini
Mlima Kilimanjaro kuwaka moto
Isabella kuleta Corona
Vifo...
Chonde Chonde Serikali ya Awamu ya 6 wekeni taa katika uwanja wa ndege wa Bukoba, msisubili vifo na majanga yatokee ndiyo taa hizo ziwekwe. Tatizo hili limekuwa la muda mrefu na sijui tatizo liko wapi, ambapo uwanja wa ndege wa Bukoba ni kati ya viwanja vichache nchini vyenye habiria wengi na...
Ameandika hivyo kupitia twitter:
Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge.
Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
ajabu
bado
bunge
chanzo
dhaifu
dikteta
jibu
kali
katiba
kiburi
kiongozi
lema
maendeleo
maisha
majanga
mama samia
mgonjwa
mmoja
msamaha
mungu
mwaka
namna
nchi
ndugai
onyo
samia
serikali
sheria
siasa
spika
spika ndugai
tabia
taifa
tanzania
uganda
wake
wako
wananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.