Asalaam Aleykum wana JF wenzangu.
Ama baada ya Salamu hizo za upendo, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Kama Mtanzania Mzalendo kwa nchi yangu (na uzalendo ni pamoja na kuusema ukweli kama ulivyo), nimeona niongelee hii kero ya usafiri wa Mwendokasi (japo nina ukakasi na...
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.
Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua...
Hiki kisa kinahusu gari moja aina ya Volkswagen Polo GTI mk5 toleo la mwaka 2012. Gari ina engine ya EA211 1.4TSI twin charge.
Hii kazi niliunganishiwa na mtu wa humuhumu ndani japo huyo mtu alidai hanifahamu personally na hatujawahi kufanya kazi ila ameshakutana na post zangu nyingi humu JF...
UTANGULIZI
Ni ukweli usiopingika kwamba, siku hizi majanga ya kuporomoka kwa maadili katika jamii yanaongezeka tena kwa kasi sana. Miongoni mwa majanga haya ni pamoja na Ushoga, Usagaji, kuvunjika kwa ndoa na mengine mengi.
Majanga haya ni mambo mabaya sana mblele za Mwenyezi Mungu na hata...
Hali inazidi kuwa tete nchini Kenya, vuguvugu la kisiasa linazidi kushika kasi.
Kutokana na maandamano yanayoendelea Polisi/ Wanajeshi wanaonekana kutumia nguvu kubwa kuwadhibiti waandamanaji.
Tazama video hapo chini, inaonesha matumizi makubwa ya nguvu na vifaa vya kijeshi pia Kuna Waandishi...
Unaweza kusema ni mkoa unaokumbwa na matukio ya kutisha, pengine kutokana na eneo lake kijiografia na kijiolojia.
Huo ni Mkoa wa Kagera, ulio kaskazini magharibi mwa Tanzania, ukipakana na nchi nne ambazo ni Burundi, Rwanda, Uganda na Kenya kutoka Ziwa Victoria.
Mkoa huo umekumbwa na vita kati...
Wanasemaga huwezi kujua thamani ya kitu mpaka kipotee, ukiwa nacho waweza kukichukulia poa lakini kipotee sasa, tena kiwe na attachment yako ya maisha yako, historia, mali zako, elimu, n.k.
Binafsi nkumbuka kuna siku nimeenda jengo flani nikapaki gari huku nimeacha laptop, ile narudi nakuta...
MJEMA ASISITIZA ELIMU YA KUTUNZA MAZINGIRA KWA WANANCHI ILI KUKWEPA JANGWA, UKAME NA MMOMONYOKO WA ARDHI.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Sophia Edward Mjema ameitaka Serikali kupitia kwa maafisa wake wa kilimo na maafisa mazingira kutoka maofisi na kwenda kwa wananchi kuwaelimisha...
Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi.
Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi...
Jumatatu ya Februari 6, dunia iliamka kwa habari mbaya na za mshtuko baada ya nchi za Uturuki na Syria kukumbwa na tetemeko kubwa lenye kipenyo cha richta 7.8, ambalo limesababisha uharibifu mkubwa wa mali, na cha kuhuzunisha zaidi ni kwamba watu takriban elfu 40 katika nchi hizo mbili...
Kwa jinsi palivyo sasa Tanganyika Packers Kawe na Ujenzi unaoendelea, Kulivyobanana na hata Hali ya Usalama kuwa si nzuri nikisikia kuna Tamasha lolote lile linataka Kufanyika naanza kuingiwa / kujawa na Hofu Kubwa kuwa huenda Madhara Makubwa ( Vifo au Watu Kujeruhiwa ) kukatokea na baadae...
Wizara ya Afya imeendelea kuboresha mikakati ya kuokoa maisha ya watu kutokana na majanga na ajali kwa kuanzisha Kitengo mahsusi kitakachoshughulika na kuokoa maisha ya watu kutokana na ajali.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
Unapiga porojo kuwa tuna helikopta za usaifiri tu. Kwani nini msiwe na kunyanyulia mizigo?
Pesa zipo lakini mnaelekeza kwenye mashangingi na ufisadi tu.
Kama tungekuwa na aerial cranes hata nne. Moja kanda ya ziwa, nyingine kusini, kaskazini na pwani ndungu zetu tungewaokoa.
Kama unadhambi ya ubadhirofu wa pesa za umma ambazo kama Chadema wasingelipwa ruzuku na kuzitafuna taifa lingenunua vifaa vya uokozi.
Mlitafuna kama njugu pesa za umma. Nyie mna mikono gani mosafi kuilosoa serikali?
Aliyemsafi ndio akosoe.
Those with clean hands must come to Equity
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa CHADEMA anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana CHADEMA nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Majuzi hapa tumemsikia katibu wa propaganda wa CCM akijimwambafy kuhusu uimarishwaji wa kila sekta nchini kupitia serikali ya CCM.
Ameenda mbali zaidi kutuita sisi wakosoaji kama.maadui wa mama na tunamtakia mabaya hivyo azibe masikio achape kazi aachane na sisi wanafiki.
Katika posti zangu...
Ujumbe wangu muhimu kwa hilo Jeshi ( nimelisahau ) kwa sasa ni kwamba liachane na Kujimwambafai kwa kufanya Mazoezi ya Ardhi na Anga Ili Kuitisha Rwanda ya Shujaa Rais Paul Kagame.
Na pia niwaombe Wakufunzi wa Makomandoo wa hilo Jeshi ( nililolisahau kwa sasa ) kuwa liachane na Utoto wa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.