Hadi nimeogopa, Israel kwa kweli sio ya kuchokozwa, kha! Yaani wakazi wa Palestina wataikumbuka hii miaka 100 ijayo, jinsi walivyoponzwa na magaidi ya kidini.
Na hapo bado wanasema kuna operesheni, wajuvi wa mambo mtujuze nini kingine kimebaki cha kupigwa hapa...Hadi misikiti imesambaratishwa...
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force...
Supapawa anaendelea kupokea mapigo....
The Russian capital was once again attacked by drones on the night of 21-22 August, with a high-rise building and cars damaged in the city of Krasnogorsk, Moscow Oblast.
Russian news agency Astra on Telegram; Russian Telegram channel Baza; Russian...
Ukraine wanafanya majaribio ya drones walizotengeneza, na sasa imekua mwendo wa kuchagua jengo lipi la kupiga Urusi, tena kwenye mji mkuu, ni mwendo wa madogo kubonyeza bonyeza tu......
Supapawa alisema akiguswa ndani ya Urusi atatumia manyuklia, tunamsklizia.....maana hana kete nyingine, katuma...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Bodi ya Huduma za Maktaba kutoendelea na ujenzi wa majengo na badala yake wajikite katika ununuzi vitabu mbalimbali vya maktaba.
Prof. Mkenda ametoa agizo hilo Julai 28, 2023 Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
Mimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu.
Thamani ya jengo la jirani...
Kwanini tumedumaa sana na kujitengenezea mentality yakufanyiwa? Tunashindwa nini kuweka kwenye sera zetu kwamba ujenzi wa majengo Tanzania utafanywa na makampuni ya wazawa? Hata kama watataka kutafuta wageni kama engineer iwe ruksa ila tenda wapewe kampuni za ndani.
Kweli tunakwenda kukopa nje...
Sidhani kama Serikali imelenga kufanya biashara kwenye miradi yake hasa majengo yake. Mfano jengo la NHC HOUSE posta wameweka gharama kubwa sana kwa wapangaji ama wafanyabiashara kiasi kwamba jengo hili ofisi nyingi hazina watu.
Nafikiri serikali ingefanya mapitio kwenye ofisi zake kutazama...
Tumekuwa na masomo mazuri kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Tumekuwa na mijadala ya motomoto kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Tupo watu wa makundi tofauti tofauti kutoka mikoa tofauti tofauti.
✓ Wapo mawakili wazoefu humu kundini,
✓ Wapo wachoraji wa ramani nzuri za...
Hii picha inaonyesha namna jengo limepigwa japo Warusi wanajigamba kwamba sio issue kubwa, yaani wamepigwa mjini kati na kataifa kadogo hapo jirani, supapawa hoyeee!!!
A damaged building following a reported drone attack in Moscow, Russia, July 24, 2023.
CNN —
Ukrainian drones struck two...
ConstantineJ. Samali Mauki
Utangulizi
Kila mara huwa nawaza, ikiwa serikali itatekeleza sheria zake kuhusu malipo ya kodi za ardhi na majengo kikamilifu, ikiwa ni pamoja na kupiga mnada viwanja/nyumba ambazo hazazijalipiwa, ni Watanzania wangapi watakosa makazi na kwenda kuishi mitaani? Sipati...
Kipindi kile ukipata wastani wa 81 Na kuendelea Kwenye masomo yote unasoma bure ila iyo mitihani ugumu wake na usahihishaji ulivyo Strict wacha kabisa, mnamkumbuka Laurent shilingi aliyesemekana alisoma bure kuanzia form 1 had 6, akina sabas oisso aliekuwa wa 7 kitaifa mtihani wa form 4 akawa...
Majuzi kati hapo nilifika kisiwani Unguja nilishangaa sana kupita huku na huko katika pilika pilika za maisha.
MADA; Ukweli Zanzibar pamoja na sensa iliyopita kuonyesha kuwa na watu 1,8mil ambao kwa muktadha wa wingi wa watu na waliopo Tanganyika ni chini ya mkoa wa Manyara yenye watu 1.9mil...
Ramani ya Ukumbi/Venue
Unauwezo wa kuhudumia watu 400
Pia Tunatoa huduma zifuatazo
◇RAMANI NA UJENZI
◇KUFATILIA VIBALI VYA UJENZI
◇KUANDAA GHARAMA ZA UJENZI (BOQ)
◇USIMAMIZI WA UJENZI
Wasiliana nami
+255 654 132 000
hummertimebuilders@gmail.com
Tunapatikana; Shekilango- Dar es salaam.
Mimi ni fundi ujenzi nimesomea chuo cha ufund Arusha, Mwaka 2018 nilipata kazi ya kitui cha afya umaliziaji wa jengo la mama na mtoto. Nilifanya kazi hiyo nikiwa kama fundi msaidiz kwani alishika tenda ni fundi mwingine tulikubaliana kuwa atanilipa tsh 15000 kwa siku hata hivyo kwa huku kijijin...
Hawa ni Warusi wanapiga kwao ndani, Putin alianzisha wenzake wanamaliza....
30,290 views Jun 1, 2023 #belgorod #ukraine #russia
Pro-Ukraine volunteer fighters set several buildings on fire as they shelled the border town of Shebekino using Soviet-era Grad rocket systems, it has been...
Once again, Msasani Village tùmepatwa na pigo kubwa. Huu ni mfululizo wa vifo vya kaka zetu, dada zetu na baba na mama zetu.
Leo nasikitika kuujulisha umma juu ya kuondokewa ña mzee wetu Pius Gogadi. Pius Gogadi alikuwa ni msadifu majengo mkuu wa shirika la nyumba la taifa NHC
MKE wa maremu...
Serikali imefikia uamuzi wa kutekeleza mradi wa Building a Better Tomorrow (BBT) unaolenga kuongeza ushiriki wa vijana katika kilimo kwa kuwapatia mafunzo, maeneo ya mashamba, mitaji na kuwaunganisha na fursa za masoko.
Ambapo utekelezaji wa mradi huo ni matokeo ya maagizo na maelekezo ya Mhe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.