Maelezo: Shamba linauzwa Liko maeneo ya Lutukila,Madaba(Km 1 kutoka barabara ya Songea -Njombe)Ukubwa wa shamba eka 100; Mazao yaliyopo,korosho eka 20,mitiki eka 5,parachichi eka 3,Kuna bonde la eka 6 la kulima mpunga,banda la nguruwe, banda la mbuzi.
Majengo: Godown kubwa(kubeba si chini ya...
Wana JF,
Hadi muda huu sijasikia kama leo kuna kumbukumbu ya miaka 21 tangu majengo pacha kushambuliwa na ndege kulikoni au mambo ya urusi na Ukraine yamefunika kila kitu.
Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya:
Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini tofauti?
kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja...
Taarifa zimejitokeza namna wakuu Urusi walikua wanagawana majengo ya Kyiv iwapo Putin angefaulu kuiparamia, walikua na uhakika wa ushindi ndani ya siku chache, lakini kwa ambavyo jeshi la Urusi lilipokea za uso pale Kyiv, ndoto zao zikazamishwa.....
The Kremlin was so certain of victory in...
TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA WA BIDHAA ZA VIPODOZI NA CHAKULA PAMOJA NA MAJENGO YA KUHIFADHIA NA KUUZIA BIDHAA HIZO KUJISAJILI KIELEKTRONIKI
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) leo Tarehe 22 Agosti, 2022 imewataka wafanyabiashara wa Chakula na Vipodozi pamoja na wamiliki wa Majengo yanayotumia...
Jezi za Klabu Bingwa na Shirikisho zonatakiwa ziwe na Uhalisia wa Soka ( Mpira ) tu na siyo kuwa na Jezi zenye Picha za Vifusi, Maghorofa na Machinjio ya Vingunguti.
Kuna Timu Moja hapa Tanzania ( siyo Simba SC ) inaweza Kucheza Kifua Wazi ( Kidali Po ) Mechi zake za Klabu Bingwa Afrika ( hatua...
Wakuu habari,
Naomba msaada wa maelekezo ya kufika hapo Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Udom nikitokea stand ya dalala Sabasaba.
Asante sana 🙏
Hasa Dar imekuwa kero sana hivi halmashauri inakuwaje mnatoa ujenzi wa majumba katikati ya Mji mahoteli na ya biashara bila majengo hayo kuonesha wapi magari yatakuwa yanapaki?
Watu wakipaki magari yao barabarani inakuwa finyu watu tunashindwa kupita kwa amani na magari yetu ya kifahari
Wengi huamini kuwa kutawanya uwekezaji uhusisha kuwekeza mitaji fedha kwenye aina tofauti tofauti za bidhaa au huduma. Lakini hii sio kweli. Ni rahisi kutawanya uwekezaji kwenye hisa kwa sababu bei za hisa ni nafuu ukilinganisha na bei za ardhi na majengo.
Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo...
DM tower business Centre Moscow inaungua Muda huu, ni kituo mashuhuri Kwa biashara ni Kama ilivyo kuwa WTC ya Marekani Au ZILE za Abudhabi na Dubai,
Majengo pasha mengine manne yote yameteketea Kwa moto ambao chanzo chake ni hujuma kutoka ndani ya MOSCOW kutokana na vita inayoendelea sasa...
Kwenye uchambuzi unaofuata nitakuwa nakushirikisha makosa matatu (3) au zaidi kila siku. Kitabu hiki hakina sura, hivyo nitakushirikisha namba za makosa hadi kufikie kosa la 75 kwenye kitabu hiki.
KOSA #01; Kutokuanza Kuwekeza Mapema Kwenye Ardhi Na Majengo.
Hili ni kosa kubwa sana ambalo...
Habari zenu wakuu eid mubaraq husikeni na kichwa cha uzi wangu apo juu ninaomba kujua au kuambiwa na wanajamii forums juu ya bima ipi itanisaidia endapo nitapata ajali ya nyumba yangu ya kibiashara au jengo langu la kibiashara.asanteni wakuu jengo langu lina thamani ya milioni mia moja.
Habari wa JF
Poleni na majukumu
Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu,hivi mtu binafsi anaweza kumiliki hizi nyumba za biashara kama frame kutoka NHC na kupangishia wengine kama mmiliki moja kwa moja au ni lazima zibaki kwa shirika na wewe unakuwa tuu kama middle man.
Asante kwa kufahamishwa...
Habari wapendwa katika Kristo!!!!
Suala la kucheza katika majengo ya ibada limekuwa ni changamoto katika madhehebu mengi ya Kikristo, na kwa kadri siku zinavyozidi kusonga mbele hali ya kucheza inazidi kuvuka mipaka na kufanana na Ulimwengu, yaani imefikia wakati sasa imekuwa ni vigumu...
Huwa siwaelewi wahandisi wa serikali wanaangalia nini wanapo design na kujenga au kujengewa majengo ya serikali. Hapa nazungumzia majengo kama mahakama, hospitali, shule, kumbi za mikutano, ofisi n.k. Kila siku yanaibuka kama uyoga lakini kwa ubora wa chini.
Andiko hili linatokana na habari...
Katika pita pita zangu nimejikuta naanza kuvutiwa na designs zinazojitokeza kila siku za makanisa, ujenzi wako una staajabisha sana, tuoneshe jengo la kanisa la huko kwenu ikipendeza tupe picha za ndani na nje hata historia kidogo.
Hii ni RC Geita, hili ni jipya kabisa
Hii ni RC Kibosho...
Mikopo ya ukarabati wa nyumba ni moja ya njia za kutengeneza fedha kupitia uwekezaji wa nyumba za kupangisha unaoweza kujenga utajiri mkubwa.
Katika kila halmashauri kuna nyumba za kupangisha. Nyumba zinaweza kuwa ni nyumba za makazi, nyumba za matumizi mseto (mixed-use properties) na nyumba za...
Dalali anatoa huduma ya kuunganisha huduma zinazohusiana na ardhi na majengo kati ya makundi yafuatayo;-
✓ Wapangaji na wenye nyumba.
✓ Wauzaji na wanunuzi.
✓ Watoa mikopo na wapokeaji mikopo ya majengo.
Haya ndiyo makundi makuu (3) ambayo huhusika na gharama za kumlipa dalali kwenye...
Matambiko ya kimila yanayofanyika kiasili huwa yanaonewa aibu sana, hali ni tofauti kwa yale matambiko yanayofanyika kwenye nyumba za kuabudu ambapo watu huona fahari sana kushiriki.
Tatizo ni nini hadi hali kuwa hivi, shida yetu ni nini hasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.