majengo

  1. Aliko Musa

    Programu Tatu Ambazo Zitakusaidia Kuboresha Uwekezaji Kwenye Ardhi Na Majengo

    Habari rafiki, Naitwa Aliko Musa. Mimi ni mwandishi na mbobezi kwenye mambo ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Nimeweka shabaha kwenye kuwezesha watu kujenga utajiri au kutunza fedha zao kupitia ardhi na majengo. Ninawafikia wateja wangu kwa njia kuu ya kuwashirikisha makala kupitia blogu...
  2. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma kuongeza kasi

    WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WAKANDARASI UJENZI WA MJI WA SERIKALI MTUMBA KUONGEZA KASI Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma...
  3. TRA Tanzania

    Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kupitia mita za luku

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA )kwa Kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tunapenda toa ufafanuzi kuhusiana na Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kwa kutumia njia ya ununuzi wa umeme kwa wamiliki wa majengo ya Ghorofa kama kiambatanisho hapa
  4. B

    Kodi ya majengo kupitia luku baadhi ya watu wanaumia Kwa kuibiwa

    Najihusisha na huduma za uwakala na Moja ya huduma ninayoitoa ni manunuzi ya umeme ambapo serikali pia hukusanya Kodi ya majengo Kwa TSH 1000 Kwa Kila mwezi,Kuna malalamiko mengi kutoka Kwa wateja. Mosi, kukatwa Kodi isiyo halali(kuibiwa),mfano Kuna mteja alinunua umeme mwezi machi, Leo Mei...
  5. EvilSpirit

    Ifike pahala ujenzi wa majengo uwe unahakikiwa na wataalam wa serikali

    Hili ni kanisa lililoporomoka juzi kutokana na mvua kubwa iliyokuwa na upepo mkali. Iwapo wangekuwa wanasali siku hiyo kungetokea maafa.
  6. chiembe

    Majengo Mapya ya mahakama ni sawa na jeneza lenye maiti ndani, masheikh wamekaa miaka karibu kumi bila kesi zao kuisha

    Jeneza nje hurembwa kwelikweli kwa nakshi na maua, ndivyo yalivyo majengo ya mahakama. Katikati ya majengo hayo mazuri, Kuna watu wamekaa rumande miaka karibu kumi, kesi zao haziishi, na mahakama ipo. Naifananisha na jeneza kwa sababu ukilifungua lazima ukutane na harufu, maiti. Kwa mahakama...
  7. Murashani GALACTICO

    Je, ni utaratibu Wakuu wa Mikoa kwenda kukagua miradi ya ujenzi au majengo saa za usiku?

    SWALI tajwa lahusika. Tupo hapa masaa machache RC anamaliza kukagua mradi wa MAJENGO usiku wa saa 2 kasoro usiku. Je, kama zipo kasoro katika MIRADI hiyo au MAJENGO. Je, zitabainika kweli au ndio utaratibu wa ilani na sera ya chama?
  8. Aliko Musa

    Mbinu Bora ya Kutumia Kujenga Himaya ya Utajiri Wako Kupitia Ardhi na Majengo

    Lengo kuu la huduma zangu za uandishi kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo ni: ✓ Kuwasaida watu kutunza fedha zao kupitia ardhi na majengo. ✓ Kujenga himaya ya utajiri kupitia ardhi na majengo. Nimekuwa nikiulizwa mara kwa mara swali kuhusu ni mbinu gani ya kujitengenezea kipato kutokana na...
  9. chiembe

    Dodoma ni eneo la bonde la ufa, ujenzi wa majengo uzingatie tahadhari za matetemeko ya ardhi

    Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu. Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka. Pia soma -...
  10. Aliko Musa

    Wawekezaji wenye mafanikio makubwa kwenye majengo ya kupangisha wanakuwa hivi

    Mafanikio yanaanzia kwenye akili yako. Leo ninakushirikisha mambo mawili ambayo yanaweza kukuumiza. Endapo yatakuumiza pole na utanisamehe kwa hilo. Kusudi kuu la makala hii ni kuonyesha njia ya kweli ya kujenga utajiri kupitia ardhi na majengo. Tofauti 2 Za Wawekezaji Wenye Mafanikio Makubwa...
  11. Lycaon pictus

    Nini kifanyike juu ya majengo ya kwenye viwanja vya Nanenane na Sabasaba ambayo hukaa bure na wazi kwa mwaka mzima?

    Hasa majengo ya nane nane. Kwenye viwanja hivi ambavyo vipo karibu kila mkoa, utakuta taasisi nyingi zimejenga majengo mazuri na ya kudumu. majengo haya huwa hayatumiki na watu kwa mwaka mzima isipokuwa Kwenye sherehe za nane nane au sabasaba. Tunawezake kuyatumia majengo haya kwa faida kwa...
  12. Aliko Musa

    Jinsi ya kustaafu na majengo ya kupangisha ukiwa kwenye Ajira/Biashara

    Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo, zipo njia tofauti tofauti ambazo mtu anaweza kuzitumia kutengeneza kipato endelevu kwa ajili ya kustaafu. Lakini njia ambayo ina matokeo bora sana ni ile ya kutumia nyumba za kupangisha. Maana yangu ya kustaafu na majengo ya kupangisha. Ni kufikia hali ya...
  13. peno hasegawa

    Saashisha, Mbunge wa Jimbo la Hai, shule zako za msingi madarasa na nyumba za walimu yanaanguka kwa kuchakaa

    Jimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania. Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
  14. JanguKamaJangu

    ACT Wazalendo yashinda kesi dhidi ya CUF kuhusu mgogoro wa majengo

    Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda kesi dhidi ya CUF visiwani Zanzibar. Ni kesi iliyohusu madai ya CUF kuwa baadhi ya majengo yanayotumiwa na ACT Wazalendo ni mali ya CUF. Mahakama Kuu yaweka bayana kuwa CUF haina ushahidi wa nyaraka wa kuonesha wanayamiliki.
  15. D

    Walimu wakuu siku hizi wamekuwa wasimamizi wa Majengo

    Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mchambuzi wa soka na Mwalimu Oscar Oscar Mzee wa kaliua ameandika Walimu Wakuu siku hizi kazi yao kubwa imekuwa ni kusimamia Ujenzi na Miradi ya Maendeleo! Hawafundishi tena! Hawasimamii Taaluma tena! Tungewaacha Waalimu kwenye TAALUMA, then huku kwenye Ujenzi...
  16. Makanyaga

    Jengo refu kuliko yote Tanzania hadi mwaka 2022

    Opened in 2019 this is currently the tallest structure in Tanzania located along Sam Njuoma road in Dar es Salaam the building was constructed by Estim a Tanzanian company. The builiding is a complex with a 35flr tower and a 9 flr tower for office and commercial purposes with an ample parking...
  17. Roving Journalist

    Jaji Mkuu wa Tanzania awashukuru wananchi kwa fedha za kukamilisha majengo ya Mahakama Mwanga na Same

    Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma anazungumza kwenye Uzinduzi wa Majengo ya Mahakama za Wilaya ya Mwanga na Same leo Novemba 15, 2022 Nurdin Hassan Babu - Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Haki siyo lazima upate wewe tu, hata mwenzako akipata haki na wewe unapaswa kukubali. Mwenyekiti...
  18. enzo1988

    Alama za mwezi na nyota katika majengo ya misikiti

    Hizi ni alama kuu ambazo hupatikana katika majengo ya kufanyia ibada takatifu katika dini ya Kiislamu ambayo hujulikana kama msikiti(misikiti).Alama hizi ni mwezi mpevu pamoja na nyota. Historia yake: Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya kihistoria, hizi alama zilianza kutumika kuanzia karne...
  19. eliakeem

    Serikali ya Kenya itaacha majengo mabovu yaue watu hadi lini?

    Kiambu Governor Kimani Wamatangi (in white helmet) at Kirigiti, Kiambu where a six-storey building under construction collapsed killing a mother and her two children in an adjacent apartment. Simon Ciuru | Nation Media Group Three people among them a mother and her two children died in...
  20. N

    Miradi ya majengo iliyotelekezwa na mashirika kama NHC ni hasara ya nani?

    Juzi kati nilipita maeneo ya kawe nikashuhudia majengo ya maghorofa yakiwa magofu yakionyesha hali ya kutelekezwa, kuulizia nikaambiwa ni majengo ya NHC. Hivi ni kwa nini pesa za umma zitumike kuanzisha miradi ambayo haifiki mwisho ili kuleta tija na wala hakuna mtu yoyote anayewajibika kwa...
Back
Top Bottom