majengo

  1. Aliko Musa

    Mambo Saba (7) ya Kuzingatia Kumiliki Majengo ya Ofisi ya Kipato Kikubwa Kwa Zaidi Miaka 10

    Baada ya vita vya pili vya dunia (1939-45), mahitaji ya majengo ya ofisi yameongezeka sana. Hii imetokana na kuongezeka kwa waajiriwa wa maofisini ukilinganisha na waajiriwa wa viwanda. Sekta ya viwanda ndiyo imekuwa sababu kubwa ya kupungua au kuongezeka kwa uhitaji wa majengo ya ofisi. Maana...
  2. Aliko Musa

    Hatua tano (5) za kuchagua njia sahihi za kutengeneza fedha kwenye ardhi na majengo

    Somo kuhusu kuchagua njia za kutengeneza fedha kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo ni somo muhimu sana kwa yeyote anayewekeza kwenye uwekezaji huu. Rafiki yangu ukianza vibaya kuwekeza kwenye ardhi na majengo utashindwa kukuza uwekezaji wako kwa haraka kwa kutumia viwanja na majengo...
  3. Aliko Musa

    Jinsi Ya Kuwa Mwekezaji Kwenye Viwanja Na Majengo Mwenye Mafanikio Mkubwa Mwaka 2022

    Takwimu zinasikitisha sana linapokuja suala la wawekezaji wenye mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na nyumba. Si zaidi ya asilimia kumi ya wawekezaji wote waliojenga mafanikio makubwa sana kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Sababu kuu ya wengi kushindwa kujenga utajiri...
  4. Aliko Musa

    Anzia hapa Ili kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na majengo

    Kila eneo kwenye maisha hutegemea sana kitu hiki ili uweze kujenga mafanikio makubwa sana na ya kudumu. Kitu chenyewe ni mtazamo wako. Huu ndio msingi wa kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ukiwa na mtazamo hasi, utakuwa unashindwa kila wakati mpaka ukate...
  5. SULEIMAN ABEID

    Mgeja amlipua Job Ndugai, aitaka Serikali ing'oe jina lake kwenye majengo ya umma

    SIKU moja mara baada ya aliyekua Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kutangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake wa Uspika, baadhi ya wakazi wa Shinyanga wametoa maoni yao kuhusiana na maamuzi yake hayo. Mmoja wa wakazi hao, ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania...
  6. MK254

    Wazawa Wakenya waliohusika kwenye usanifu wa jengo refu kuliko majengo yote Afrika Mashariki na Kati

    Mababu zetu waliopigania uhuru wa Mwafrika pale walipo kama wana uwezo wa kuyaona haya kweli watafarijika kwa kujua jitihada zao zilizaa matunda, wajukuu wao, wazawa wa nchi hii leo wanahusika pakubwa kusanifu miundo mbinu ambayo inaipaisha nchi kwa mwendo kasi. A file image of the Global...
  7. B

    Mhe Rais hongera kwa madarasa na majengo ya hospitali, ila kwanini kipaombele kwanini kimekuwa makao Mijini na siyo kwenye shule za tembe?

    Mhe. Rais umeeleza madarasa yajengwe Ila waliokwenda kujenga wamekosea strategy, uwezi kujenga madarasa mawili kwenye shule zenye madarasa ya kutosha mjini ukaenda kujenga madarasa mawili kijijini kwenye nyumba za tembe. Zipo shule zilihitaji madarasa Saba yote yajengwe lakini hakuna Fedha...
  8. J

    Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma, Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi. Akizundua awamu ya Pili ya...
  9. Frumence M Kyauke

    Mcheshi wa Kenya Eric Omondi Jumanne alikamatwa baada ya kujaribu kuvamia majengo ya Bunge.

    Mcheshi wa Kenya Eric Omondi Jumanne alikamatwa baada ya kujaribu kuvamia majengo ya Bunge. Mchekeshaji huyo ambaye amekuwa akitrend kwenye mitandao ya kijamii kwa muda sasa, alijaribu kuwaongoza wasanii wa muziki kuvamia Bunge kwa nia ya kurekebisha tasnia ya muziki nchini Kenya. Akitumia...
  10. M

    Wamachinga kutumia majengo ya NHC Kariakoo

    Kufuatia wafanyabiashara wadogo kuandika barua TAMISEMI wakiomba kutumia majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa yaliyopo mitaa ya Tandamti na Msimbazi kwa ajili shughuli zao, Wizara ya Ardhi imeridhia ombi hilo lakini kwa kuwapa majengo matatu yaliyopo mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni karibu kabisa...
  11. Gamba la Mbu

    Usanifu wa Majengo: Kwanini ni muhimu nyumba/ Ramani kuakisi hali ya hewa ya mahali husika?

    Kuna ombwe kubwa la ufahamu katika jamii yetu hususani kwenye suala la ujenzi. Nani ni nani na anafanya nini kwenye ujenzi? Hii nitaleta mada yake siku za usoni. Twende kwenye mada! Kuna baadhi yetu nyumba zetu hugeuka makaburi wakati wa joto ila feni hugeuka mkombozi huku tukiomba Tanesco...
  12. TheDreamer Thebeliever

    Naipongeza Serikali kwa kufanikisha zoezi la ukusanyaji kodi za majengo kwa njia ya simu

    Habari wadau! Jana nimeweza kulipa kodi ya jengo kupitia simu ya mkononi baada ya kununua umeme kupitia luku yangu. Binafsi naipongeza sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia rais Samia Hassan,pongezi za kipekee ziende kwa waziri wa fadha Dr Mwigulu Lamack Nchemba Madelu...
  13. BAK

    Askofu Bagonza aandika kuhusu tozo za miamala na kodi ya majengo

    TOZO YA MIAMALA na KODI YA MAJENGO. Mwigulu Ayaone haya: 1. Wasamaria wema wamemuokota aliyegongwa na gari barabarani. Wakamkimbiza hospitali. Daktari anataka laki tatu kumtibu. Linaundwa group kuchangisha. Serikali inakata tozo badala ya kulipia matibabu ya raia wake! 2. Wawili wamependana...
  14. Shujaa Mwendazake

    Askofu Bagonza: Je, misamaha ya kodi za majengo imefutwa kwenye Shule za kata, Misikiti, Makanisa, Mochwari, Vyoo vya Umma n.k ?

  15. Erythrocyte

    Kwamba Serikali ya Tanzania haiwafahamu wenye nyumba kiasi cha kumkata mpangaji kodi ya Majengo ni uongo wa kiwango cha chini sana na ni wizi

    Kodi ya Majengo imelipwa ndani ya nchi hii kwa miaka na miaka , kwa kipindi kirefu ililipwa kwenye Halmashauri na kuwa mapato ya Halmashauri husika ili kusaidia miradi mbali mbali , mimi mwenyewe nina nyumba 2 kwenye halmashauri ya Temeke , nafahamu ninachoandika , Jina langu linafahamika vema...
  16. Richard

    Siamini serikali inakusanya kodi ipasavyo. Kanzidata ya wapiga kura 2015 na zingine zitumike kuwatambua walipakodi nchi nzima

    Kuna mambo ambayo nakubaliana na hayati Magufuli khasa katika utekelezaji wa sera za CCM hususani dira ya maendeleo ya 2015-2025. Hayati Magufuli alitaka kila mradi khasa ile miradi mikubwa ikamilike kabla ya 2020. Moja ya miradi ambayo hata hivyo alitaka ikamilike mwaka huu ni ujenzi wa mji...
  17. Zero Competition

    Makato ya kodi ya majengo kupitia LUKU hayana tofauti na 'service charge' ya kila mwezi

    Ile service charge iliyoondololewa kipindi kile na watu tukashangalia nadhani ndo hii imerudi tena in style. Mana kila mwezi watakua wanakata kwahiyo lazima uwawekee bajeti yao kila mwanzo wa mwezi kwahiyo binafsi naona ni kama ile service charge imerudi ila kwa style tofauti.
  18. S

    Ukiitisha maandamano kupinga Tozo za Simu na Kodi za Majengo kupitia LUKU, watu wengi wanaweza kujitokeza

    Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi. Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi...
  19. Erythrocyte

    Usambazaji wa umeme vijiji (REA) Ilikuwa mbinu ya kuongeza idadi walipa kodi ya Majengo?

    Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote TANESCO unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi. Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
Back
Top Bottom