Ninajiuliza, kama mwanzo kodi hizi zilikua zinalipwa na wamiliki wa majengo, imekuaje mzigo huu utupiwe kwa wapangaji? Hii ni haki siyo uonevu?
Kwanini nisifikiri kuwa viongozi wetu huko juu ndio wengi wao wanamiliki majumba mengi kama miradi yao wanataka kukwepesha mzigo huu kwao? Kwanini...
MILIONI 400 KUJENGA MAJENGO MATANO YA KITUO CHA AFYA CHA MTOA - IRAMBA.
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea kufanya ziara ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi ambapo akiwa kata ya Mtoa amesikiliza kero za wananchi na kufuatilia ujenzi wa...
Naomba kuuliza maswali machache.
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?
Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji?
Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake?
Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
Hii video inaonyesha jinsi Majengo ya GTC ni ya kisasa na yanavutia kweli. Halafu upeo kutoka juu la jengo ni nzuri sana. Mtu anaweza kutazama Nairobi yote bila tatizo
Nina wazo la jinsi ya kufanya setting za fire extingisher kwenye majengo na sehemu za umma ambazo zinaweza kupatwa na moto au mlipuko kiasi cha kuhitaji hatua za haraka kwenye kuukabili. Nadhan taasisi au idara za Serikali na binafsi zinaweza kufanyia kazi wazo hili ili kuleta ufanisi na sio...
Matajiri wajanja wametusukumizia kodi za majengo yao wanayowapangisha wageni tuzilipe sisi ambao hata bei ya tofali hatuijui.
Wajanja hawa kama wangekuwa na nia nzuri na sisi masikini wangeweka bima ya afya (NHIF) tuilipe kwenye mfumo wa LUKU, hii ingetuwezesha tusio na uwezo wa kulipa kwa...
Wabunge na wahudumu wa bunge waliopatikana na corona wameshauriwa kujitengaImage caption: Wabunge na wahudumu wa bunge waliopatikana na corona wameshauriwa kujitenga
Taarifa iliyotolewa na Bunge inasemabunge hilo litafungwa kuanzia wiki ijayo tarehe 28 Juni , Jumapili hadi tarehe 11 Julai ili...
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, ametaka suala la kulipa kodi kwenye majengo kuangaliwa vizuri akisema, "Mkaliangalie vizuri huko mtaani. Tusidanganyane, kuna mkanganyiko!"
Ameshauri jambo hilo kuwekwa vizuri kwa Wananchi na kueleweka anayelipa Kodi hiyo ni nani kati ya...
Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri.
Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye...
Shule ya msingi Mandera iliyopo kata ya Mswaha wilayani Korogwe mkoani Tanga inakabiliwa na uchakavu mkubwa wa majengo ikiwemo vyumba vya madarasa na nyumba za walimu hali inayo watia hofu walimu wanaofundisha katika shule hiyo.
Akizungumza na ITV Afisa elimu wa kata amesema uchakavu wa shule...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ndugu zangu niko hapa kuomba nafasi ya kuunganishwa mradi wowote wa ujenzi ili niweze kupata kazi ya kibarua sina taaluma ya uhandisi mimi ni mwalimu ila mambo yamekuwa magumu sana nisaidieni nipate kibarua.
Kwa kifupi hali si nzuri naamini humu kuna...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema kuanzia tarehe 15 hadi 28 Februari wataendesha kampeni ya kuorodhesha majengo yote nchini ili wamiliki wake waweze kulipa kodi.
Jafo amebainisha hayo jana mkoani Morogoro kwenye uzinduzi wa...
Shule hiyo iliathiriwa na tetemeko lililotokea Mkoani Kagera Septemba 10, 2016 na kupelekea majengo mengi kuharibika ambapo Serikali iliagiza ijengwe upya. Mradi huo umegharamiwa na Serikali za Uingereza na Tanzania.
Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amesema Shule ya Wavulana ya Ihungo...
Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom.
Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
Yaani hii ni zaidi ya akili kubwa, hongereni sana ndugu zetu, tuijenge hii nchi yetu kwa pamoja maana ndio nyumbani kwetu, mkiwa huko mnafanya makubwa sana nyumbani.
========
A group of at least 300 Kenyans currently living in the United States of America has teamed up to embark on a...
Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA.
Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
Baada ya makao makuu kuhamia Dodoma mijengo mingi mitupu nashauri serikali ipangishe wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi wanaofanya Shuguli zao katikati ya jiji kwa bei nafuu.
Pia wawafikirie Wahindi na Waarabu na familia zao ambao hupenda kuishi katikati ya jiji wawapangishe makazi kwa...
TAMKO LA WAZIRI WA NCHI NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS -TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Walengwa wa Mwongozo huu ni Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi mbalimbali za Serikali zinazoshughulika na Ujenzi wa majengo, waendelezaji, wawekezaji wa ndani na nje pamoja, wananchi na wadau wengine...
Maisha yanavyokimbia kila Jambo unalofanya linapaswa kuwa kwenye maandishi. Kila jambo unalolipa linapaswa kuwa kuwa na risiti.
Kila kazi unayofanya unatakiwa kuwa na cheti kwa maana umekaa darasani ukasomea na kupata, hata kuchuna ng'ombe na mbuzi utatikiwa kuwa na cheti.
Kila biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.