Walianza kongamano wakakamatwa, wakaenda kanisani wakakamatwa, wamefanya mahafali wamekamatwa, wakenda ubalozini wakakamatwa, walipoandamana wakakamatwa sasa wanaandika kwenye mbao kila mtu asome wanachotaka kuieleza Dunia.
Tusipuuze sauti yao, tusizibe masikio nakujifanya tumewadhibiti bali...