Good day, Forumers (si-kingereza rasmi).
Bila shaka kazi ya kujenga taifa inakuendea sawa sawa namachaguo yako, kama umechagua kuwa mlalamikaji sawa, na kama umeamua kuwa mlalamikiwa sawa.
Ok, nijielekeze kwenye ni nini nahitaji kufahamu (kufahamishwa).
Naomba ufafanizi kuhusu sale(uniforms)...