maji goba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded DAWASA yaelezea sababu ya kuyumba kwa huduma ya maji Goba River view

    Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inapenda kutoa ufafanuzi wa changamoto ya huduma ya Maji katika mtaa wa River view katika eneo Goba iliyorepotiwa hivi karibuni. Hoja ya Mdau ~ Mgao wa maji Goba - Mtaa wa River View (Dar) haufuati ratiba, tunauziwa maji Tenki Sh...
  2. J

    JamiiForums Tanzania KERO Goba Lastanza hatuna maji tunaelekea mwezi wa pili sasa. Nani ananufaika na hali hii?

    Mimi ni mkazi wa Goba Lastanza. Tunaelekea kutimiza mwezi wa pili sasa bila kupata huduma ya maji, hali ambayo imetulazimu kununua maji kutoka kwenye magari. Tatizo hili si geni na limekuwa likijitokeza mara kwa mara. DAWASA, Serikali za Mitaa, Mbunge na uongozi wa mkoa wanafanya nini...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mgao wa maji Goba - Mtaa wa River View (Dar) haufuati ratiba, tunauziwa maji Tenki Sh elfu 40

    Tuna report shida ya maji kila siku ila ndo hivo suluhu hamna takribani miezi 6 sasa Habari, mimi ni mkazi wa Goba, Mtaa wa River View, nahudumiwa na DAWASA Makongo lakini mtaani kwetu imekuwa ni desturi sasa maji hayatoki miezi sasa! Japo ratiba yetu ya mgao ni Alhamis na Jumatatu lakini hata...
Back
Top Bottom