Just_a_member
Member
- Dec 11, 2020
- 16
- 20
Mimi ni mkazi wa Goba Lastanza. Tunaelekea kutimiza mwezi wa pili sasa bila kupata huduma ya maji, hali ambayo imetulazimu kununua maji kutoka kwenye magari.
Tatizo hili si geni na limekuwa likijitokeza mara kwa mara. DAWASA, Serikali za Mitaa, Mbunge na uongozi wa mkoa wanafanya nini kuhakikisha changamoto hii inapata ufumbuzi wa kudumu?
Goba kuna changamoto gani inayosababisha maji kukatika mara kwa mara? Wananchi tunahitaji majibu na hatua za haraka, kwani hali hii inatuongezea gharama za maisha.