Bei ya maji kwa Dar es Salaam ni Tsh. 1,663 kwa Unit moja(1) ambayo ni sawa Lita 1000 za maji, yaani Madumu 50 makubwa ya Lita ishirini.
Wapangaji wengi wakiamia kwenye Nyumba za kupanga za kushare maji au kulipiwa na mwenye Nyumba unakuta anaambiwa alipie Tsh. 15,000 hadi Tsh. 30,00 kwa mwezi...