Hapa gari ndogo haiwezi kupita maana itaharibika kabisa. Mkandarasi kama huyu inakuwaje anapewaa kazi na kuharibu barabara.
Any way mzee baba alishaondoka acha mjipigie tu.
Habari Wana JF.
Bila shaka asilimia kubwa ya Watanzania na watu duniani kwa ujumla tunaamini juu ya uwepo wa Mungu.
Hata hivyo kuna matabaka mbalimbali yatokanayo na aina ya imani tunayokuwanayo kuhusu Mungu.
Kwa uzoefu na shuhuda nilizonazo, nimeshuhudia jinsi watu wanavyosaidiwa na...
Jamani, mimi sielewi kwanini huku Dar maji yanaweza katika kwa muda mrefu bila taarifa. Maji yanakatikaje wiki mpaka wiki mbili bila taarifa?
Ni changamoto tofauti kuwa na uhaba wa maji, lakini changamoto nyingine kabisa kuwepo kwa mgao bila taarifa yoyote.
Sijawahi kuona kipindi maji...
Kuna magari yanasambaza maji na wanasambaza sehemu yenye shida za maji.
Dawasa naomba kujua yanamilikiwa na nani, mbona hawasambazi Masaki ama Oysterbay.
Licha ya TANESCO kutoa adhabu ya kugawa Umeme Kwa wananchi wa TANZANIA na kuendeleza mateso hawajaridhika na sasa wameamua kufungulia maji ya bwawa la nyerere na kusababisha mafuriko makubwa na uharibifu wa mazao katika vijiji vilivyopo mkondo wa chini wa bwawa hilo.
Maji hayo ambayo...
Mradi wa maji Ihungo-Bugashani-Nyakato-Burugo - Kahororo manispaa ya Bukoba.
Mamlaka ya maji Buwasa wameshindwa kutekeleza ni miaka mitatu sasa wananchi wa maeneo haya wameshindwa kupata huduma hii ya maji.
Sambamba na mkuu wa mkoa Kagera kuendeleza jitihada za kuutangaza mkoa na kuwahimiza...
Nainaishi tegetar maguzo.
Kuna jirani anafungulia maji taka, inavyoelekea choo kimejaa hivyo mvua zinaponyesha hutukua fursa hiyo kuflash choo.
Sikukaa kimya nikamueleza adha inayonikumba. Bahati nzuri naishi peke yangu (chumba, jiko, sebule ndogo na stoo) sometimes nauvuta mwenza wangu...
Wadau wa kilimo naomba ushauli ninashamba la mapunga liko kati ya mita 6000 Hadi MITA elf 1 ,je pump zipi ninunue?JE petrol nch 3 hadi 4 au pump ya diesel nchi ya Bomba la nchi 3 u nne au unavyoona inafaa
UFARANSA YATAMBUA JITIHADA ZA RAIS SAMIA SEKTA YA MAJI, YAMPONGEZA NA KUMUUNGA MKONO ZAIDI
Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Chrysoula Zacharopoulou, Waziri wa Nchi-Maendeleo ya Uchumi (Secretary of State for Economic Development) wa Ufaransa...
https://youtu.be/XMvIQexojWo?si=KqoV8KWbaeZDTvA5
Rabies ni virus inayosababishwa mara nyingi na kung'atwa na mbwa, popo, mbwa mwitu, etc
Ndio maana wanashauri mbwa kupewa chanjo mara kwa mara kuziua madhara ya kuwa infected na virus tofauti.
Moja ya madhara ya rabies ni mgonjwa kuwa na hofu...
Wananchi wa mtaa King'azi Kata ya Kwembe pamoja na maeneo kadhaa ya Kifuru hatuna maji tangu Januari.
Tunateseka nina vipele mwili mzima kwa kuoga maji ya visima
Tatizo la maji bado ni kubwa sana.
Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru.
Sijui viongozi wa maeneo hayo wanajisikiaje?
Anonymous
Thread
dkt. kigwangalla
jimbo
jimboni
kigwangalla
kijiji
kupata
majimaji safi
nzega
safi
wananchi
wazi
Previous Emojis kwenye simu nyingi utakuta kuna manyunyu matatu ya maji likifutiwa na biringanya
huwezi kuta emoji za muda (time is money). huwezi kuta emoji za vitabu (kutoa ujinga), n.k
Emoji zinazotumika ni za kukamilisha ibada fupi ya lisaa ambayo inaweza kugharimu maandalizi ya lodge ya...
Wanabodi (Kwa sauti ya Paskali Mayalla),
Nasikitika sana kuleta kero yangu kwa hawa DAWASA ambao wameamua kutufanyia uhuni sisi wateja wao wapya.
Binafsi nililipia kuunganishiwa maji tangu October 2023 ila tukaambiwa kuna upungufu wa vifaa tusubiri. Tukasubiri hadi mwaka ukaisha tunaambiwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MUWASA) Mpanda wamefanikiwa kumnasa Gaudensia Assenge (45) kwa kukutwa na koki 330 za bomba ambazo zinadaiwa ni mali ya wizi.
Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Kaster Ngonyani amesema mtuhumiwa...
Jamani nimeambatanisha picha za maelezo ya generator mbili za kuvuta na kusukuma maji .Naomba mtaalamu aniambie generator hizi Kila Moja inaweza kuvuta maki kutoka vhanzo kwa umbali Gani na kutupa majo Kwa umbali Gani?na kiwango cha maji yakusukumwa kwa dakika ni kiasi gani?
Nimejaribu kuwasiliana kiofisi nikahisi kuna marekebisho yanafanywa, sasa naona imekuwa kero.
Wananchi wa makazi mapya Mbezi Beach wanateseka na maji ya udongo mwezi sasa.
Kila bomba ukichota ndoo imejaa udongo, kutumia maji ni mpaka usubiri yatulie uchuje.
Mnatupeleka wapi maana hatujui...
Hii ni kauli ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba.
----
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama nchi ya mfano Duniani ukilinganisha na mataifa mengine Barani Afrika kutokana na hatua kubwa na ya haraka iliyopiga kwenye sekta...
Watu tisa wamefariki dunia katika kijiji cha Lumeme Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma baada ya gari walilokuwa wanasafiria aina ya Noah lenye namba za usajiri T795 BIS kusombwa na maji kwenye mto Kisimani.
Gari hilo lilikuwa limetoka katika kijiji cha Tingi wilayani Nyasa kuelekea kijiji cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.