maji

  1. Mbinu za upimaji maji aridhini

    Wazee habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kwa wale waliokwisha kuchimba visima vya maji na wale wenye ujuzi wa kutafuta maji yalipo. Je, njia hii inauhakika au ndo nijiandae kulia 😃
  2. Binti asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

    Binti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji ======= Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada...
  3. Wanyama 9 wanaoweza kuishi bila Chakula wala maji kwa muda mrefu

    Chakula ndio chanzo kikuu cha nishati kwa mwili wetu kufanya kazi vizuri. Chakula pia huongeza usagaji chakula huku kikiipa nguvu mifupa, misuli na mishipa ya fahamu. Ikiwa hatutakula, tunaweza kuwa na hasira na upungufu wa maji mwilini. Wanadamu hawawezi kuishi bila chakula na maji kwa siku...
  4. Upimaji wa maji ardhini

    Wazee habari za wakati huu, naomba kufahamisha kwa wale waliokwisha kuchimba visima vya maji na wale wenye ujuzi wa kutafuta maji yalipo. Je njia hii inauhakika au ndo nijiandae kulia 😃
  5. Mke amuunguza mumewe sehemu za siri na maji ya moto kisa wivu wa kimapenzi

    Mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Kebogwe iliyopo Wilaya ya Tarime, ameunguzwa na mke wake na maji ya moto sehemu mbalimbali za mwili hasa sehemu za siri kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa kimapenzi Shuhuda wa tukio wanadai siku ya Jumatano jioni mwalimu alimkuta mke wake duka fulani na...
  6. Waziri wa Maji Jumaa Aweso asisitiza Mamlaka za Maji nchini, kufunga mita za malipo ya kabla

    WAZIRI AWESO ASISITIZA UTEKELEZAJI AGIZO LA RAIS KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI Ahimiza ufungaji wa mita za malipo ya kabla Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesisitiza Mamlaka za Maji Nchini ikiwemo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha agizo la Mhe...
  7. B

    Siku ya tatu Jet Lumo hatupati maji ya Bomba

    Leo ni siku ya tatu jet Lumo hatupati maji ya Bomba. DAWASA mko wapi? Kwa nini maji hayatoki? Mbona hamjatupa taarifa kuwa mtakata maji? Kwa nini mnaichongea serikali ya CCM kwa wananchi? Mh. Mchengerwa hawa wanakuchezea usikubali hata kidogo.
  8. Siku za mpira kwenye baa soda na maji ndiyo vina faida kuliko bia

    Unaweza usiamini ila kwenye mabanda umiza na mabar soda inauzwa 1000 sio kama madukani 700 na maji Lita 1.5 yanauzwa 1500 sasa Wakija wateja wengi ukauza ma kreti mengi ya soda aisee biashara itakuendea vizuri sana.soda moja unapiga faida Mpaka 500 hakuna bia yenye faida hiyo.
  9. Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ameielekeza Mamlaka ya Maji Shinyanga (SHUWASA) kushusha mara moja bei za maji

    MTATIRO ASHUSHA BEI ZA MAJI SHINYANGA VIJIJINI Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ameielekeza Mamlaka ya Maji Shinyanga (SHUWASA) kushusha mara moja bei za maji kwenye kata mbalimbali za jimbo la Shinyanga Vijijini na kutaka bei mpya ziwe sawa na zile za Shinyanga Mjini mara...
  10. B

    Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja!

    1. Kumekucha! 2. Huku kuna watoa misaada kawauwa kwa makusudi, kule kuna jingine na Iran linatokotoka vilivyo; kavunja Geneva convention kwa kushambulia consulate ya wengine ugenini. 3. Alimradi mwana mkaidi kazini! 4. Sasa amri anayoielewa vyema imeshatoka; tena ya babaake kutokea white...
  11. Kukosekana kwa umeme Usiku wa kuamkia April 1, 2024 kumbe shida ni Maji kuwa mengi Bwawa la Kidatu

    TANESCO imesema kukatika kwa umeme kumesababishwa na hitilafu kwenye mfumo wa kudhibiti kiwango cha maji kwenye mitambo ya Kidatu, na hivyo kushindwa kuzuia mtiririko mkubwa wa maji yanayoingia kwenye mitambo na kusababisha mitambo kujizima ghafla ili kujilinda. Hitilafu hiyo katika gridi ya...
  12. P

    DAWASA: Maji yatapatikana umeme ukirejea

    DAWASA imewatangazia umma Mikoa ya Dar es salaam na Pwani kuwa kumekuwa na ukosefu wa huduma ya maji kutokana na hitilafu katika mfumo wa gridi ya Taifa. Maeneo yanayoathirika ni Wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa Maji Ruvu Juu, Mtambo wa Maji Ruvu Chini, Mtambo wa Maji Wami, Mtambo wa maji...
  13. Israel maji ya shingo yakiri bila msaada wa Marekani haiwezi kushinda vita dhidi ya Hamas

    Israel may not be able to destroy Hamas despite five months of intense fighting in Gaza, intelligence officials have admitted. The main objective of the Gaza invasion faces failure as international support turns against Israel, sources warned. Israel believes it has dismantled Hamas’s main...
  14. Shakira bado hajasema, na atasema, yaani mpaka aseme

    Kweli mapenzi hayana cha ustaa wala umaarufu yakiamua kukunyoosha yanakunyoosha bila kujali ni mtu wa aina gani. Ni wazi bado mwanamama Shakira anateswa na zimwi la penzi la Gerald Pique, kuzidi kumuongelea mara kwa mara kwenye interviews inadhihirisha bado anamuelewa sana mwamba, sijui...
  15. Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

    Makonda katika sherehe za kuipokea ndege mpya ya ATCL (BOEING 737-9 MAX) jijini Dar; amekemea tabia inayoonekana kuanza kukua na kukomaa kwa baadhi ya viongozi wa Serikali kwa ngazi mbalimbali ya kujaribu kutenganisha mafanikio yanayoendelea kutokea chini ya Rais Samia na kipindi cha awamu ya...
  16. Maji kuisha kwenye tank bila kutumiwa

    Habari zenu wakuu, Kuna changamoto imekuwa inajitokeza nyumbani naomba mawazo yenu! Home kuna tank la litre 5000 ila limekuwa likiisha maji hata kama maji hayajatumiwa! Unakuta tank tunajaza mpaka juu lakini linaisha fasta bila hata matumizi! Mvua zilinyesha kama siku 3 zimepita tank likajaa...
  17. A

    KERO Ukosefu wa maji mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino)

    Wakazi wa mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino) tumekosa maji toka July 2023, DAWASA hawatoi majibu ya kuridhisha. Na si mbali na ofisi za Mkuu wa wilaya ya Ubungo lakini hakuna utatuzi wowote wala jitihada za kuleta maji.
  18. Leo ni siku ya maji kimataifa, je kwa siku unakunywa maji kiasi gani?

    Machi 22 kila mwaka ni Siku ya Maji Duniani inayoadhimishwa na Umoja wa Mataifa. Siku hii hutumiwa kuhamasisha usimamizi endelevu wa rasilimali za maji safi. Je, unakunywa kiasi gani cha maji kwa siku?
  19. B

    Dkt. Samizi aadhimisha mitatu ya mama kwa kuzindua magati ya maji- Kibondo, wiki ya maji

    Alhamisi 21 Machi, 2024 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Dkt. Florence George Samizi amezindua Mradi wa Maji Safi na kisima Cha Maji katika eneo la Malagarasi na Gati la Maji Stendi ya Mabasi katika Uzinduzi wa Wiki ya Maji ambayo inaenda sambamba na Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  20. Upotevu wa maji ni janga, lidhibitiwe

    Gharama ya upotevu wa maji (Non-Revenue Water- NRW) kwa mwezi mmoja jijini Mbeya inatosha kujenga mradi wa maji wa kijiji nchini. Mathalani, Mradi wa Maji wa Mwashaali unatumia shilingi milioni 400 na utanufaisha wakazi 6,000 wa maeneo ya Isyesye Mlimani na Block D jijini humo. Gharama za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…