Habari za muda huu wana Jf, nimeona na kusoma comments zote za uzi wa Retired wenye kichwa cha habari " Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?
Nilichogundua watu wamekosa umakini kwa kiwango kikubwa watu wengi wanajadili bila facts na porojo nyingi sasa nimejipanga kujibu baadhi ya hoja...
Waziri utukufu wa mungu ukawe juu yako, na nakupa pole na majukum yako kwa mbali sana maana ni kazi yako na ujira unalipwa hufanyi bure.
Naja kwenye dhumuni la andiko hili, moja kwa moja maana u waziri mwenye dhamana kwa hili.
Ndugu waziri chini ya wizara yako vipo vitengo vingi ambavyo kwa...
Kosa moja siku zote linaloendelea kutugharimu basi ni kusikiliza bila kuelewa hatupo tayari kusikiliza tumejianda kujibu kila wakati.
Inawezekana hii ni tabia yetu ya kutotafuta Ukweli, binafsi suala la Makinikia nimekuwa nikilifahamu hata kabla ya Mhe. Magufuli kuliweka kwenye meza ya...
Nakusihi Spika, ulichomfanyia leo Dkt wa Uchumi hakikubaliki machoni mwa wana CCM
Dkt kajikanyaga hadi huruma Trilioni 360 hatujui ziliko, hongera kwa Luhaga mpina kwa swali zuri.
Sasa mama wana CCM hawapendi mambo kama hayo na usirudie kuwabana mbele ya kadamnasi namna ile, utaundiwa zengwe...
Sakata la Makinikia limetinga bungeni baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhoji kwa nini Serikali ilikubali kupokea Tsh. Bilioni 700 zilizotokana na kesi za malimbikizo ya madeni ya Makinikia badala ya Tsh. Trilioni 360 ambayo ni madai halali kwa Tanzania.
Mpina amehoji swali hilo la...
Jamani za leo?
Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu.
Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 .
1. Wanaume msiojielewa.
Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko...
Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali.
1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni.
Sasa swali la...
Anaandika, Robert Heriel
Maisha ni mchezo wa maswali na majibu.
Kikawaida swali ndio linatangulia ndipo jibu lifuate. Lakini kwenye maisha majibu huweza kutangulia alafu maswali ndio yafuate. Hayo ni maisha. Yapo majibu yasiyo na maswali. Lakini hakuna swali lisilo na jibu.
Vijana bado...
Nape anashiba na kusaza awamu hii. Mama alishamtoa wasiwasi Nape na mawaziri wengine kwamba hatowatumbua hata wakikosea. Hivyo hawana hofu tena.
Nape anaulizwa kuhusu TOZO mpya za miamala ya kibenki anajibu kwa nyodo. Majibu yake yananuka shombo la ulevi wa madaraka.
Nchi hii jamani! Acha tu.
“Kila nikihisi homa na kwenda hospitali kupima nakutwa na UTI. Imekuwa ikinitokea mara kwa mara, napewa dawa nakunywa lakini bado inarudi tena,” ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo, jijini Dar es Salaam.
Urinary Tract Infection au UTI ni ugonjwa unaosababishwa na maambukizi kwa njia...
Sababu ya mwendelezo wa matokeo ya Urais kutofautiana katika vyombo vya habari sababu imeelezwa ni kwa kuwa wamepewa ruhusa ya kuhesabu kutokana na vyanzo vyao lakini matokeo rasmi ni yake ambao yatatangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) baada ya zoezi la kuhesabu kura kukamilika...
Mkiambiwa chama kipo kwa mwenye nacho mnajidai kuwa chawa mkumbukwe!
Kwanza mjue kabisa Samia na kundi lake hawana mipango na nyinyi watu wenye nasaba na Magufuli iwe kwa maeneo mtokayo nk!
Chegeni alipopigwa chini kwenye ubunge alijua adui yake ni Magufuli bila kujua kuwa Chegeni CV yako ya...
Kuhusu lile treni letu mkuu..au ulimaanisha treni la kwenye betting....pia ma guru na magwiji wa mambo mbalimbali..
Mnieleweshe sekunde ya 10 weka pause(mkono wa kulia)kwenye hii video kiongozi wetu alimaanisha nini....kwamba nae ndio walewale...maana hiyo mano carnuto haijajileta yenyewe...
Mwamba amejitahidi kufikiria.
Nilicho muelewa huyu mwamba ni kwamba " Always use ur problem as a solution to ur problem".
Ukipatwa na tatizo zaidi ya moja kwa wakati mmoja chagua tatizo moja Kati yao na ulitumie ku solve matatizo mengine.
Uzi umekamilika now unaweza toa maoni yako
1...
Habari JF,
Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi.
Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha...
Maombi ya mshtakiwa Diana Bundala "Mfalme Zumaridi" ya kutokuwa na imani na Hakimu anayeendesha kesi namba 10 ya kujeruhi askari na kumzuia afisa ustawi kutekeleza majukumu yake yameshindwa kupata majibu baada ya Hakimu huyo kudai alipata changamoto ya kiafya.
Mapema leo hii mfalme Zumaridi...
Salama wadau, nimekutana sehemu na hili andiko la ndugu yetu, nadhani linaweza kusaidia jamii, wale wenye Kisukari na ambao hawana kwa lengo la kujilinda
--------------------
JE UNASUMBULIWA NA KISUKARI NA UNAPENDA KUJITIBU MWENYEWE KWA LISHE?
Katika miaka ya karibu kumekuwa na ongezeko kubwa...
Habari!
Kuna wakati Mimi napingana na sayansi ya mazingira. Mara nyingi hata kwenye mikutano ya kimataifa wanajadili global warming ambayo inasababishwa na shughuli za kibinadamu kama viwanda, kilimo, uvuvi n.k.
Lakini kuna misimu mingine ya baridi kwa maeneo mbalimbali duniani inapita kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.