Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.
So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya...
Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na...
Kuna clip naiona ikionesha mahojiano ya Salim Kikeke na mama wa Taifa. Salim alimuuliza mama tutegemee lini katiba mpya.
Mama akajibu majibu fulani ya kufarakanisha.
Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume ilikua matawi ya juu.
Baada ya harusi mke alileta house boy nyumbani. Ni kijana mdogo ndiyo...
Inashangaza sana kuona kiongozi wa Wizara nyeti kiasi hiki anatangaza mgao wa siku 10 akiaminisha wananchi kwamba marekebisho yanafanyika na baada ya hapo umeme utakuwa sawa
Cha kushangaza hata baada ya muda huo bado umeme ni wa kusua sua.Je ni sahihi kusema kwamba kazi haikufanyika? Kama...
ANNOUNCEMENT BY ZITTO THE TCD CHAIRPERSON.
The National Conference on Justice, Peace and Reconciliation organised by Tanzania Centre for Democracy @TCDemokrasia will be officiated by President @SuluhuSamia on the 30th March 2022. The conference with specific reform agenda will be attended by...
Hivi ndivyo staa wa filamu, Batuli alivyotumia ukurasa wake wa Twitter kulalamika kuhusu bando lake la simu, kisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akaingilia kati na kumpa ushauri wa kwenda TCRA.
=========
Ameandika Muigizaji Batuli
Hivi Kuna Mtu Mwingine...
Habarini wadau,
Swala la kupima limekuwa swala gumu sana mana vijana wanauza mechi, au kuteleza sana pasipo sababu za msingi pia kujisahau
sasa ukiambiwa upime na majibu mpewe kwa pamoja vipi wadau?
Wa kimasihara na wanunua dada poa na wale wa massage wakushusha mlima vipi mnasalimika? Au...
Nimesoma hii stori nikajikuta naanza kucheka mwenyewe, Sugu ban ani mbishi na mtata sana.
-----------------
Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewajibu waliomdhihaki kwenye mtandao wa Instagram kwa kumpa mke wake ujauzito baada ya kumsema kwamba ni mgumba.
Sugu ambaye...
Habari Wakuu,
Leo 14/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Mawakili wa Serikali waliomba ahirisho la kesi hadi leo Februari 14, 2022 kutokana na Shahidi Tumaini Swila kushindwa kufika Mahakamani siku ya Februari 10, 2022...
Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza wamegundua virusi vipya vya Ukimwi wanavyoita ‘VB variant’.
Wanasema virusi hivyo ni hatari zaidi ikilinganishwa na vile vilivyokuwepo katika sehemu tofauti duniani tangu miaka ya themanini na vimekuwapo nchini Uholanzi kwa muda mrefu...
FCC malalamiko yalifikishwa kwenu sikuy nyingi hawa jamaa wakanusa hatari ya ripoti yenu wakakimbia haraka kama nguchiro na mkia katikati ya miguu yao.
TUNATAKA MAJIBU YAWEKWE HADHARANI ili iwe onyo isijirudie tena siku nyingine kwa matapeli ya soka mengine kujitokeza yakishirikiana na TFF...
Habarini za mda huu!
Waungwana Kuna mwenye taarifa yoyote juu ya ile interview ya Mzinga tujuzane. Maana ni mwezi sasa au huwa wanachukua mda gani kutoa majibu ya oral?
Kama Kuna mwenye experience na hizi ajira za utumishi tujuzane
Tunaomba kujuzwa.
Kamati ya kuchunguza kuungua kwa soko la Karume imekwama wapi?
Tunataka kuendelea na biashara zetu hapa Karume.
Pia soma > DC Ilala: Siku ya 8 Ripoti ya Uchunguzi wa moto Soko la Karume itasomwa mbele ya Waziri wa Tamisemi, RC DSM na Wamachinga wote, kisha watarejeshwa
Mimi Taaluma yangu ni mhandisi ambaye nilipenda sana somo la fizikia enzi nikiwa shuleni.
Nimejaribu kurejea mambo wanayofundishwa watoto wetu nikashangaa kuna upotoshaji mkubwa.
Mfano:
NECTA FORM 2 ya mwaka 2019 kwenye Section A, swali la 1, (i) ameuliza ifuatavyo
(i). Why Physics...
Naheshimu mawazo yako Thadei Ole Mushi,nilijua utatutajia nini kimempata Ndugai lakini umeishia kupamba pambo maua,kupiga maneno na kutuletea maajabu ya Bongo,bongo sihami.Unasema awamu ya tano imeishia kununua wapinzani na kukopa Trillion 29,ninukuu ya Mzee Mwinyi sijui kama nainukuu sawa sawa...
Asalam!
Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji.
Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda...
Feminist mmoja kutoka nchini Marekani ali safiri hadi visiwa vya Papua New Guinea kufanya mahojiano Na mwanaume mmoja ambae anatoka katika Kabila la binadamu wanao Kula nyama ZA watu ( Cannibalists) ambao pia wana wanatawaliwa Na mfumo dume
Baada ya maswali mengi, Feminist huyo alimuuliza...
Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
CCM NA SERIKALI JIBUNI HOJA ZA POLEPOLE, MSIMZIME KIDOLA.
Na Yericko Nyerere
Kinga uliyonayo ni kwa muda tu, hakuna kinga ya kudumu, Hata Job Ndugai na wenzake kinga walizojiwekea kipindi walipokuwa kwenye dibwi la kuvunja haki za watu na kuvunja Katiba ya Tanzania, ina muda mfupi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.