Majibu Ya Kesi Yanga Dhidi Ya Morrison CAS tuliyasikia.
Leo Tumepata Majibu Ya BM Juu Ya kwanini Utopolo Walifika hadi CAS..!
Kwa Kiwango Kile Alichoonesha dhidi Red Allows Ya Zambia.Hakika Yanga walistahili Kufika Pale Walipofika japo Waliangukia Pua.!
Zipo nyakati duniani ...jambo moja...
MAJIBU NA UFAFANUZI KUHUSU UDALALI/UWAKALA WA WASAIDIZI WA KAZI ZA MAJUMBANI.
Anaandika, Robert Heriel.
Wakala wa WASAIDIZI WA Ndani.
Bila Shaka wote ni wazima humu.
Andiko hili nitaeleza muhtasari wa suala la Wasaidizi wa kazi za ndani. Mimi nikiwa Mdau, na mkurugenzi wa Kampuni inayohusika...
Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.
Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.
Sasa hivi...
Salama Watanzania wazalendo, hapa nahitaji tujiulize matukio ya moto kwenye masoko ni ya kujirudiarudia kuna maswali je, ni njia ya watu kupiga pesa kwenye ujenzi.
Tume iliyoundwa kuchunguza chanzo cha moto imebaki na majibu kimya kwenye makabati hawaoni umuhimu kutoa majibu hayo, inaundwa...
Naona Ajibu anashangiliwa Sana. Yes. Hata sisi tulipokuwa wabovu Ajibu huyuhuyu ndio alikua Star wetu wa timu.
Huwezi kuwa na timu nzuri halafu Ajibu akawa Star, HAIWEZEKANI. Ukiona Ajibu anasifiwa Sana kwamba anaibeba timu jua shuhuli imeisha!
#Njoeni mnipige nipo hapa mitaa ya Jangwani
Wiki kadhaa nilikuwa nasumbuliwa na UTI baada ya kupata vipimo katika kituo cha afya X na doctor akanishauri nitumie dawa make alisema sio nyingi ni ya kawaida ..baada ya kumaliza dozi ikabidi nirudi kujiridhisha kama nimepona ugonjwa ila cha ajabu majibu yakatoka kuwa nina UTI ya kutosha kwa...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi 7,000 na serikali kuwekeza zaidi ya TZS 6.55trilioni unafanyika katika Wilaya ambayo haina hata benki...
Video kuhusu taarifa sahihi, Maswali na Majibu kuhusu viza hii .
Epuka kutapeliwa; kumbuka hakuna ada yeyote inayotozwa kwa kutuma maombi yako.
https://dvprogram.state.gov/. #DiversityVisa
American Diversity Visa Season for the year 2023
Accurate information, Questions and Answers about...
1. Yanga SC wameamua kuwa kwa Msimu huu iwe Mvua au Jua na kwa Mikakati yoyote ya ndani na nje ya Uwanja wanashinda.
2. Kuumiza kwa Makusudi Wachezaji wa Simba SC ili Timu itetereke na ikose muelekeo katika Ligi.
3. Baada ya Yanga SC Kutolewa Alfajiri tu huko CAF CL huku wakiwa hawataki...
Kuna vijiminong'ono!
Kwamba Je, ilikua haki Rais Samia kukubali kusalimiwa na Mamge kimambi aliyewahi kuutukana utawala wa awamu ya TANO?
Jibu ni ndiyo!
Rais alikuwa sahihi kabisa kwasababu zifuatazo;
1. Rais alihudhuria mkutano na kuongea na watanzania waishio Marekani, hivyo kukataa...
Nmefanya Usaili Finca J4 ila mpaka Leo siku ya 5 naona Kimya au ndio ule msemo wa ukiona manyoya ujue kashaliwa😂😂😂
Ila nilifanya vizuri nina uhakika Labda kama kuna mtu yoyote anaefahamu recruitment process yao huwa inachukua muda gani?
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu
CCM na CHADEMA karibu kila chama kimekuwa kikijinasibu kina wafuasi wengi wanaowaelewa
Hoja yangu ni hii Taifa letu limeleta chanjo milioni 1 ambazo hadi sasa inasemekana zimetumika chanjo chini ya laki nne
Kwa muda sasa najua wafuasi wengi wa CCM hawana...
Habarini wadau, ilikuwa siku ya 07/08/2021 Nyomi kubwa ya watu zaidi ya elfu 15 ilikusanyika chuoni UDOM kufanya usaili wa TRA hatua ya written kwa kada Mbalimbali kuanzia ngazi ya Diploma Hadi Degree.
Lakini baada ya kufanya written siku ya 09/08/21 UTUMISHI wakatoa tangazo la kuahirisha...
Jamaa muda huu yupo live kwenye kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, anaulizwa maswali anajibu kwa majivuno na kebehi sana!
Mojawapo ya swali aliulizwa,
Mwandishi: watu na mashabiki wa ngumu wanataka pambano lako na Twaha Kiduku vipi linaweza kufanyika?
Mwakinyo: Mimi siwezi...
Habari wana jamvi? Nauza vitabu vya somo la General Studies (GS) linalofundishwa kidato cha 5 na 6. Vitabu ni aina ya "Review" kwa maana vina maswali takriban 108 pamoja na majibu yake. Bei yake ni shs 10,000 kila kimoja. Niko Dar es salaam sehemu za Tegeta lakini kama uko mbali nitakutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.