Moja kwa moja
Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact...
Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh2.9 bilioni.
Dk Mollel pia ameagiza Koroso...
Kwa faida ya wengine...
Ijumaa iliyopita, nilikuwa darasani nikiwafundisha wanafunzi wangu ndipo mwanafunzi mmoja wa kike akainua mkono kuuliza swali. Nilimruhusu na akauliza swali rahisi sana ambalo nilidhani anapaswa kujua jibu lake maana tayari nilikuwa nimezungumzia mada hiyo wiki...
Leo nimefuatilia mahojiano aliyoyafanya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman kupitia kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV na nimbaki na maswali mengi kuliko majibu
Othman Masoud Othman amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kung’olewa kwa kile kinachosemwa...
Rais Samia amesema pamoja na kupewa ushauri na mama Anna Mkapa kuingia kwenye siasa, sababu iliyomfanya kuwania nafasi kwenye baraza la wawakilishi Zanzibar ambapo ndio safari yake ya kisiasa ilipoanzia ni kukerwa na majibu yaliyokuwa yanatolewa kwenye baraza hilo.
Najiuliza anayajua majibu...
Watu wa Soka,
Juzi Jumanne 21/06/2022 saa 7:00 mchana tulimtambulisha rasmi mchezaji wetu mpya Habib Haji Kyombo ambaye tumemsajili kuja kuongeza nguvu kwenye safu yetu ya ushambuliaji.
Kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii (@singidabsfc) tulichapisha baadhi ya picha zake akiwa anasaini...
Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?
wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see
britanicca
Namsikiliza mbunge wa Tarime vijijini ana hoja nzito juu ya raia ambao ni wananchi wa jimbo la Tarime vijijini anatoa ushahidi wa majina na ya raia waliopigwa risasi na waliouwawa na waliojeruhiwa.
Blah blah za George Simbachawene zikataka kumziba Waitara. Spika akaomba ushahidi juu ya tuhuma...
Nakujuza Ili siku nyingine ukiona hii usitoe macho kama Jamaa wa Masters aliyeapply kazi ya sensa na akakosa, kabla hatujafika mbali unatakiwa kujua unleaded petrol ni petrol isiyokuwa na kiambata [additive] cha lead...
.
Hiki ni kiambata ambacho kilikuwa kinaongezwa kwenye Petrol ili kuongeza...
Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.
Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno
1. Unataka kufanyia nini?
Yaani...
1. State the conditions that must be satisfied for temporary import to be exempt from import duty
2. Explain the necessary controls customs needs to put in place when administering export process
3. Outline conditions under section 99 eaccma 2004 dealing with loading and transfer goods...
Leo Spika, Tulia Ackson ametoa mrejesho wa muongozo uliiombwa 20 May 2022 na mbunge wa Handeni, Reuben Kwagilwa ambapo aliuliza lini Serikali itaanza ujenzi wa barabara ya Handeni-Singida kiwango cha lami.
Naibu waziri wa ujenzi, mhandisi Msongwe alisema Serikali imeanza ujenzi kwa awamu na...
Ni kwamba,
1. Hii filamu tunaambiwa imegharamu Tshs 7 bn. Mpaka Leo hatujaambiwa ni kina nani wamechangia gharama hizi.
2. Tunaambiwa Peter at el ndiyo wenye hati miliki yaani copyright. Hivyo filamu ni yao na watalipwa wao. Sasa kwa Tanzania ina tafsiri IPI?
3. Huyu Peter ameshafanya Royal...
RAIS SAMIA ANAONYESHA UTAWALA BORA KWA VITENDO.
Na Elius Ndabila
0768239284
Moderator ninakumbuka kuna mtu hapa jamii forum aliwahi kuuliza, nani anajua anakotupeleka Rais Samia? Ninaomba mtag andiko hili kwa kuwa Rais Samia anatupeleka sehemu yenye mwanga mkubwa wa Umoja wa Kitaifa.
Rais...
Wakuu Rais ametangaza Sensa mwaka huu itafanyika mwezi wa nane,mara ya mwisho ilifanyika mwaka 2012 .Je kuna mafanikio gani yaliyotokea Kwa kuhesabu Sensa ya mwaka 2012? Lakini pia mwaka 1988 ilifanyika Sensa ya watu na makazi baadae ikafanyika mwaka 2002 , katika vipindi hivyo vyote vya kufanya...
Katika haya maisha binadamu tunapitia mambo mengi sana makubwa na mazito pia ambayo katika hali ya kawaida unaweza kukaa na kufikiria umewezaje kuchomoka salama?
Eneo linaloongoza kwa vitimbi na kashkash nyingi katika maisha ya mwanadamu ni suala la mahusiano.
Sasa leo nataka tujuzane yule mtu...
Kutokana na Umuhimu na Unyeti wa huu Muungano wa Bara na Visiwani nimeambiwa kuwa Watu wa Itifaki katika Awamu zote zilizopita walikuwa Wakihakikisha Ratiba za Rais kamwe haziingiliani na Siku hii ya Muungano na kwamba ni lazima Mheshimiwa Rais awepo kutokana na kuwa pia ni Moja ya Tunu ya Nchi...
Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi.
Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara...
Kuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.