Wakuu,
Kwanza nilishtuka, na kisha nikajitafakari kidogo then nikaona nikinyamaza itakuwa njema. Nimuite dada, mama, binti ambae ni mwenyeji wa kitambo mbali hapa kwetu.
Ghafla bila hiyana akanambia nimekuwa na majibu (comments) ya/za kukera, lugha mbaya zenye kukwaza. Nimekuwa mzee mkorofi...