Majina ya mama yako/mama mkwe wako yako tofauti ya yaliyoandikwa kwenye cheti cha kuzaliwa.
Yaani kama mama wakati anakuzaa alikuwa anaitwa Anastazia Tatu Peter (jina la babake au Mme wa zamani) na sasa kwenye cheti chake cha NIDA au cha kura anaitwa Anastazia Tatu Mahendeka.
NHIF hawampi bima...
Kumekuwa na usumbufu usio na ulazima kwa baadhi yetu ambao tumewahi kukutana nao,inapotokea unatakiwa vyeti kwa lengo fulani mfano,fao la kustaafu,fao la uzazi,ajira nk.
Usumbufu unaojitokeza ni pale majina yako yanapotofautiana kwenye vyeti na nyaraka mbalimbali.
Unakuta mtu unaitwa John...
Nikikuta chumba kimeandikwa Jina la Mnyama Kifaru au Nyati au Chui au Mkoa wa Kagera au Kigoma au Singida au Dodoma huwa nafurahi na nakuwa na Mzuka na hata (aliyeingia katika Mfumo wangu) nikimaanisha huyo anayekwenda Kuwajibika nami Kibaiolojia humo cha Moto hukiona na pengine hata kujuta...
Hivi inakuwaje mtu[ngozi nyeusi mzawa wa ujiji] unaitwa:-
JOHNSON DONALD?.
Yaani jina kama vile unaangia Muvi za Kimarekani!!.
Yaani, mi nikukutana na mtu kwa Mara ya kwanza, majina yake yote ndiyo yataamua nimpe mkazo ama nimpotezee.
COSSANI NDAVILABHONA.
IDALE MADUHU.
MSHAIJI KHAMISI...
Kinacho wagombanisha viongozi wa CCM ndani ya serikali kila mtu kutaka jina lake liwe kwenye miradi ili kuonekana bora.
Sishanagi mwengine njia ya kwenda Singida kajiandika kwenye mawe labda sababu mda wa kupata jina la mradi ujafika.
Kupeana majina kwenye miradi leo ndio chanzo cha kuonekana...
Sikuwa na lengo ka kuanzisha uzi katika muda mbovu kama huu, ila nimeshindwa kujizuia. Kelele nilizoziona kwa wingi ni juu ya kufunga ndoa au kutokufunga ndoa; lakini je, tunataka watu wafunge ndoa au waoe? Ni kwanini mtu afunge ndoa badala ya kuoa? Au kwanini mtu aoe badala ya kufunga ndoa...
Tunazaliwa, tunakuta baba anatuita fulani, mama naye.
Kaka pia anatuita hivyo, na dada na ndugu zetu! Kiukweli jamii nzima tumekuta inatuita tu fulanii fulanii.
Wapi tulikaa kikao, ni lini tulikubaliana kwamba jina langu, kitu muhimu ninachomiliki na kunitambulisha popote liwe ni hili na sio...
Ikiwa utajifunza hiki ninachoandika hapa basi dunia hii na wewe utakuwa mtu mbele za watu na majanga yatakuondoka na hautokuwa tena wa kutegemea watu wala kutaka msaada wa yoyote zaidi utakuwa ni baina ya wewe na Mwenyezi Mungu tu,
Photo by Rakims on Rakimspiritual.com
na Mwenyezi Mungu utabaki...
Nimekuwa nikimsikia Bashe akijipata kuwa anawatetea wakulima wauze wanavyotaka kwani kilimo ni biashara.
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa naomba unitajie angalau majina ya wakulima 10 wwaliofanikiwa kuuza mchele sh 3,500 kwa kilo ili tuwafahamu twende tukajifunze kwao walivyotajirika kwa kilimo.
Ili tuone unaupiga mwingi ebu weka matokeo kwa Majina ndo tuamini upo serious na Kazi yako.
Watoto huku uswahilini wanataja taja tu namba za uongo wakati wamepata zero na mbaya wanadanganya wazazi wao.
Habari zenu wanaJF
Naona siku hizi kumekuwa na majina ya nyongeza sana kwenye usaili kutoka sekretarieti ya ajira. Na nahisi hii inatokea baada ya wengi mfumo kuwakataa na kupeleka malalamiko na baada ya uchunguzi wanaona ni kweli na ndio maana wanaongeza majina.
Swali langu ni kwanini wa-set...
Abiria wanaosafiri kwenda nchi za nje kupitia Uwanja wa Ndege wa Entebbe nchini Uganda wamelalamika vitendo vya wafanyakazi wa Uhamiaji kuwalazimisha watoe hela (chochote kitu) pale wakiwa wanaelekea kupanda ndege hali inayosababisha wengine kuchelewa ndege na wengine kuchelewesha ndege kuanza...
William-Huitwa Bill. Jina la Bill Gates ni William Henry Gates. Siyo Wile
Robert-Huitwa Bob. Robert Mugabe na Robert Nesta Marley huitwa Bob. Siyo Roba
Elizabeth-Huitwa Lizzy, Siyo Beti
............................................................
Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza kimya kimya moyoni..., kwamba huko Kusini kila mtu anajiita Sanga, lengo hasa ni nini? Hata kwenye vibao vya ujenzi wa maghorofa kila mtu anaandika Sanga tu.., hivi ndio masharti ya utajiri hayo au?
Nini kinaendelea? Kila mtu Sanga, Sanga..., Sangaa ...
Kwa sasa imekuwa kama utaratibu. Kwa mfano ulio hai kuna baadhi ya waombaji wa ajira MDA's na LGA's walipewa taarifa ya kuitwa kwenye usajili tarehe 07/01/2023 na wengine wakaitwa kama majina ya nyongeza siku tano baadaye yaani tarehe 12/01/2023. Na wote hao watafanya usaili tarehe 15/01/2023...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Pro.Mkenda kuna shida kubwa sana sana ya watoto kukosewa usajili wa majina yao sahihi ya awali, kati na ubini. Hili jambo limekuwa ni kubwa na tatizo sana kwa sasa kila kona ya Tanzania. Kwa mfano,
John -Joni
Peter-Pita
Rehema-Rehem
Na mengine kukosewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.