majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Nimekamata Ujumbe Katika Simu ya Mke Wangu Akimtumia Mama Yake Majina ya Wanawake Anaohisi Kuwa ni Michepuko Yangu, Nimeshangaa na Kufadhaika.

    Msaada wenu tafadhali. Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili nimeligundua leo baada ya kuinasa katika siku yake.....bila shaka alijisahau kuifuta. Majina haya...
  2. Rwetembula Hassan Jumah

    Watoto wenu acha kuwapa majina ya watu maarufu mnawakosesha bahati zao

    Kuna watoto wanapewa majina ya watu maarufu sijajua wazazi uwaga wanaza nini • Kijijini kwetu hata hapa mjini kuna watu wanatumia majina ya watu maarufu na ni majina yao sahihi waliopewa na wazazi wao. Kwa mfano kuna wanaume wanaitwa .William, Mkapa, Nyerere, Kikwete, Riziwan , Mwinyi...
  3. Teslarati

    Tatu bora na Tatu chafu za majina ya kike

    Nimekaa nikafikiria hili swala. Kuna majina fulani ya kiislam hayo hata aitwe nani basi utakuta ni binti mwenye tabia nzuri sana. Ila pia kuna yale majina ambayo menyewe tu yanamaanisha fujo, dishi limeyumba, cha wote, pichu mkononi kuendelea... NITAANZA NA TATU BORA 1)AMINA Wanawake wenye hili...
  4. Dr am 4 real PhD

    Kwanini watu hawawapi watoto wao majina haya?

    Herode Farao Pilato Nebucadreza Etc... Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........ Wasalaam 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  5. Analogia Malenga

    Virefu vya majina ya wasanii

    VIREFU VYA MAJINA 1. K.R. _ KAKA RASHID 2. J.O.S.E.P.H. - JIFUNZE, ONA, SEMA, ELIMIKA, PITIA, HAMASIKA 3. LANGA - LYRICAL AND NATURALLY GIFTED AFRICAN 4. RAF MC - REALITY AND FEELING MC 5. BINAMU - BILA IMANI NA AKILI MAISHANI UTAFELI 6. MAFIA - MSANII AMBAYE FANI IMELALA ASILIA 7. MAWENGE -...
  6. MIXOLOGIST

    Kwanini ndugu zetu wazaramu wanawapa watoto majina fikirishi?

    Amani iwe nanyi Wakati tunakua, bado Dar es Salaam ilikua na wazaramu wengi na nilibahatika kusoma na watu wenye majina kama SIKITU, SIWATU, SIWAZURI, TABU, MATESO, HAVINITISHI, SIKUDHANI, KIDAWA, CHAUREMBO na majina mengi ya namna hiyo. Sasa, sijui hekima ya wazee wa kizaramo ilikua ina...
  7. badison

    Naomba kupewa majina ya wapigaji Invoice kutoka USD 37 milioni mpaka USD 86 milioni

    Hizo ni pesa nyingi sana zinaweza kumjengea kila Mtanzania mkazi wa Dar es Salaam nyumba ya vyumba vitatu iweje watu wachache mgawane mgao mkubwa hivyo? Hapa watu wa kuwahusisha ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Waziri wa Fedha pamoja na baadhi ya maofisa wa Ikulu...
  8. Hemedy Jr Junior

    Majina ya kiarabu na kizungu ndo bora kuliko majina yetu ya asili?

    Ukiitwa Abubakar...unajiona wewe umemaliza, ukiitwa petro unaona hakuna jina hilo andiko gani linasema majina ya kiarabu au ya kizungu ndo mazuri na yanafaa watu kuwa nayo. Uzuzu mbaya sana hii inaleta sana (historia kidogo hapa Tanganyika kabla ya tanzania watu waliokuwa na majina ya kiarabu...
  9. J

    Ajira za posta clerk zenye deadline tarehe 02/03/2023 majina ya wasailiwa yanatoka lini?

    Jaman naomba kwa wale ambao mnauzoefu na haya maswala ya application ajira portal mnielekeze nb maana nimekuwa muanga wa kila kukicha kufuatilia majina ya usahili kwa nafasi ya postal clerk ambayo ilipangwa deadline kuwa tarehe 02/03/2023 lkn hadi leo tarehe 03/04/2023 hamna jambo.hivi...
  10. John120

    Rais Samia, achana na majina ya magarasa unayoletewa

    Mhe. Rais, mawaziri wengi na watendaji wako unaowateua kukusaidia ni mizigo mikubwa, wamekuwa na uwezo mdogo wa kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Sikufundishi kazi, ila unaeona hatoshi katika wizara au katika nafasi uliyompa mpumzishe kuna watu wako very smart tofauti na hao...
  11. R

    Tumsaidie Rais kupata majina ya watu wanaofaa kupewa uwaziri, anatusikiliza

    Mhe. Rais anatamamani Sana kupata watu wakumsaidia kwenye uwaziri; lakini may be Hana majina mengi ya watu wanaofaa na hivyo kulazimika kutumia majina yale yale. Great thinkers tunaweza kutumia fursa hii kumsaidia baadhi ya majini anayoweza kuyatupia macho aboreshe Baraza la Mawaziri Uzi huu...
  12. davejillaonecka

    Hivi nini/wapi chimbuko la majina haya uswahilini?

    Mwenye ujuzi atu juze asili au chimbuko la majina haya maana uswahilini kwetu yanataradad. SUHAYLA SALHA RUKAIYA FALHIA ZALHIYA .........HIA .........HIA.........Hia.........hia. N.k
  13. Lanlady

    Pamoja na majina yote, bado sifa zake zipo kila mahali!

    Naomba mniruhusu tu niandike haya machache! Leo muda wa asubuhi nilimuagiza mtu wa 'bodaboda' aniletee vitu nilivyomuagiza. Walikuwa na mwenzake. Baada ya salamu yule mwenzake akasema "hali ni ngumu sana" nikachomekea "nyie si mnasema mama anaupiga mwingi na kwamba mtangulizi wake alikuwa...
  14. MoseKing

    Idara ya afya Wilaya ya Rombo imegeuka Kikosi kazi cha kumwaga Chanjo za UVIKO-19, kupika majina ya watu kuwa wamechanja

    This is Tanzania. Yaliyoendelea, yanayoendelea yanasikitisha. Umeona takwimu za chanjo ya UVIKO-19 kuwa 86% ya Watanzania Wamechanja 😅 Kwa sample ndogo ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kazi iliyokuwa inafanyika inasikitisha. Vials za chanjo za UVIKO-19 zimemwagwa sana kwa kushirikiana na...
  15. S

    Majina ya Watangazaji maarufu enzi hizo Radio Tanzania kabla ya TBC

    David Wakati, Sarah Dumba, Eda Sanga, Jacob Tesha, Ananilea Nkya, Sango Kipozi, Omar Jongo, Ahmed Jongo, Barnabas Mluge, Idrissa Sadallah, Benjamin Kikomongo "Ben Kiko", Bartholomeo Kombwa "Bart Kombwa", Danstan Tido Mhando, Masoud Masoud, Yusuph Omar Chunda, Bujaga Izengo Kadago...
  16. W

    Ni wakati sahihi sasa wa kutumia majina ya Vladimir na Sergei

    Ndiyo, sisi waafrika wenyewe si tumegoma kutumia majina yetu ya asili na kuyakumbatia majina fulani hivi enzi na enzi na sasa waliotukabidhi hayo majina sasa wanatuletea ushoga milangoni mwetu.........it gets nearer siku baada ya siku. Kutokana na hilo, nafikiria ni wakati sasa wa kutumia...
  17. Pang Fung Mi

    Tujilipue majina yetu maarufu kwenye vitabu vya Guest, Lodge, na Mahotelini

    Hello. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, mara zote nikenda lodge, guest na hotelini kwenye kunyandua sijawahi kuandika jina langu halisi hasa la mwanzoni japo mara nyingi nafake majina yote mawili. Sehemu pekee ambayo najiachia kuandika majina ya kweli aidha Kwa kupenda au kutokupenda ni Unguja...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

    Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati? Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki Afadhali Wakristo utakuta mtu ana...
  19. LA7

    Atakaye nitajia hizi flm zote majina yake anapata vocha

  20. LA7

    Weka picha yoyote ya movie wakutajie majina

    Mimi naanza na hizi hapa nitajieni majina.
Back
Top Bottom