majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    Chimbuko la Majina ya Kimara Dar Es salaam

    1. KIMARA BARUTI Ukiwa unatoka Ubungo kabla ya Kikifikia hiki kituo cha mwendo kasi cha "KIMARA BARUTI" Kuna barabara upande wa kulia inaingia Kwenda Msewe na inatokea mpaka University of Dar es salaam Katika hiyo barabara kama umbali wa mita 400 tu. Palikuwa na eneo ya kiwacha cha Cement...
  2. A

    Kudate watu wenye majina yanaofanana

    Naamini katika pita pita zako imewahi kukutokea umepata me/ke mwenye jina la kufanana na ex wako huko mwanzo..huwa unachukuliaje hilo suala? Kuna jamaa angu mmoja amekutana amedate na ke wenye majina ya Fatma,Eva, Pendo na Neema.. Wewe kwa upande wako umekutana na akina nani?
  3. OC-CID

    Naomba kujua maana ya majina ya utani ya Majenerali wetu waliopigana vita ya kagera

    Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake. Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo. Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo mkubwa wa wapiganaji wetu kutoka JWTZ. Palikuwa na Majenerali walioongoza brigedi mbalimbali...
  4. LIKUD

    Jinsi babu zetu walivyowapa majina watoto wao. Majina yao yalitoka moja kwa moja kwa Mungu muumbaji

    Kabla ya ujio wa dini za wageni Afrika hatukuwaga na majina ya Abdallah wala Paulo . Babu zetu waliwapa watoto wao majina ya kiafrika. Majina waliyatoa moja kwa moja toka kwa Mungu. Ni hivi babu zetu walimjua Mungu kupitia nature. To them nature was the portal which connected them with their...
  5. N'yadikwa

    Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

    Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika...
  6. GENTAMYCINE

    Tunaowapa Watu Kazi za Kuandika Vibao vya Majina ya Marehemu Wetu vya Makaburini tuweni nao makini

    Jina la Marehemu nalihifadhi... Kazaliwa tarehe 7 Mwezi July, 2023 Kafariki tarehe 6 Mwezi July, 2023 Kaburi la huyu Marehemu Mpendwa liko Makaburi ya Mzimuni Kawe mita chache tu upande wa Mashariki ulipo Mbuyu mkubwa wenye Vitimbi vingi na Matukio mengi. Kadhia hii hii (ambayo ipo sana...
  7. hermanthegreat

    Kuna baadhi ya WanaJF wana majina ya ajabu na ya kufikirisha sana

    Habari wanajf The fact kwamba jf watu wengi ni anonymous, inawafanya wanatumia majina ya ajabu sana. Kuna majina jf ukiyasoma unaweza cheka, kushangaa au kufikiria sana, Pongezi kwa wanajf wanaotumia majina yao mawili kama Lukas Mwashambwa leo tuwatag watu wenye majina ya ajabu humu watupe...
  8. R

    Naomba niwasaidie watangazaji wa vituo vyote vya redio namna ya kutamka majina ya Kijerumani

    Naona hili ni tatizo kubwa sana kwa watangazaji wetu wa vituo vyote vya redio kuanzia redio ya taifa mpaka vituo vidogo vya redio linapokuja jina lenye asili ya kijerumani matamshi yanakuwa ndivyo sivyo kabisa. Ni kama wewe umsikie mtu akitamka jina Juma kama Jima au Joma. Au jina Ali kama Hali...
  9. L

    Haya hapa majina ya ajira Mpya za Afya Septemba 2023

    Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za kada za afya waliowasilisha maombi katika kipindi cha mwezi wa April, 2023 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika kwa awamu ya tatu. Awamu hii ni kwa...
  10. Kiplayer

    Kurithi majina ni chanzo cha koo tajiri kuwa tajiri na koo masikini kuwa masikini

    Tunaporithishana majina huwa tunarithishana vingine vingi vinavyoambatana na mwenye jina linalorithiwa. Inachanganya sana, hii iko vipi wataalam wa mambo? Lakini nimeshuhudia koo nyingi zinafana kizazi kimoja kwenda kingine. Mtazamo wangu majina tunayorithi huwa yanaambatana na tabia, hali...
  11. Termux

    Putin Crew: Msaada kwa majina ya hawa watu wengine

    Kwa wajuzi wa mambo kuhusu russia. Katika hii team mm nawajua watu wawili tu, ila nilikuwa namjua mmoja tu ambae ni putin ila kwa hii drama mpya nikamfahamu na Dmitry Utkin ambae inasadikika kuwa kafa. Naomba niwajue na hao wengine na sifa zao maana inaonekana hii team ndo mafia wa russia...
  12. Makanyaga

    Maneno na majina ya Kiswahili yenye herufi zinazofanana

    Haya hapa ni majina ya Kiswahili ambayo herufi zake zote zinaumda maneno ya Kiswahili pia NAOMI----MAONI AMINA----AMANI Tafadhalli ongeza maneno au majina mengine ya aina hii angalau mawili
  13. Suley2019

    Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  14. R

    Barabara zipewe majina ya Mkandarasi aliyejenga ikiwa pamoja na anuani yake, akiboranga tu tunae!

    Wakuu kwema? Hii imekaaje? Badala ya kuzipa barabara majina ya viongozi au wanasiasa au watu mashuhuri zipewe majina ya mkandarasi aliyejenga pamoja na anuani ya makazi yake, akivurunda tu tunajua pa kumpata. Nakuhakikishia kiwango kwenye ujezi wa barabara kitaimarika mara moja. Maana...
  15. BigTall

    Tabia ya Magari ya Mwendokasi hasa Kimara Mwisho hadi Kibaha kutotaja majina ya vituo njiani ni kero kubwa

    Nina malalamiko kuhusu magari ya Mwendokasi, nina mambo mawili, la kwanza ni kuhusu kutotajwa kwa majina ya vituo, tabia hii ilianza mdogomdogo na hatimaye imekuwa kawaida. Ni kama vile wanaamini kila anayepanda Mwendokasi basi anajua vituo na anaijua Dar vizuri. Katika vituo vya hatikati ya...
  16. LIKUD

    Tulio badilisha majina baada ya kufika mjini tujuane hapa

    Naanza na mimi mwenyewe kijijini kwetu naitwa Marwa Mahende ila mjini naitwa Emmanuel John.
  17. F

    Magati ya Bandari yetu yapewe majina na moja liitwe Gati la Mwabukusi

    Huyu mwamba Boniface Mwabukusi, Wakili Msomi ameonyesha uzalendo mkubwa sana kwa Nchi yake! Wachuuzi wa rasilimali zetu amewakaba koo kweli kweli! Whatever the outcome ya High Court Judgement on 7/8 but the fact is clear that, Learned Counsel Boniface Mwabukusi is the hero of our times! Mbona...
  18. 4

    Kuna watafuta majina na wale wanaomanisha, ngoma ya bandari bado mbichi sana

    Ndugu zangu Bwana wa Mbiguni akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua. Nijikite kwenye mada moja kwa moja na kama kichwa cha habari kinavyohusika. Nakumbuka kipindindi cha Mwendazake alijitokeza mwanaharakati mmoja alieitwa Kigogo, huyu bwana aliteka sana mtandao wa Tweeter, ila siku...
  19. W

    Hivi kuna nchi ina majina mengi ya mitindo ya kujamiiana na kujamiiana kwenyewe kuzidi Bongo?!!!!

    Aisee ni hatari sana hii nchi! Tukamuulize mama Maria Nyerere kwani ilikuaje inawezekana akawa na majibu ya uhovyo wetu. Tukianza na majina ya mitindo; 1. Kifo cha mende 2. Chuma mboga 3. Mbuzi kagoma 4. Wezele kwio 5. Popo kanyea mbingu 6. Mtambuka 7. Tepetesha sambwanda 8. Kaokokokorobo 9. FM...
  20. Roving Journalist

    TANAPA yajipanga kukusanya Bilioni 343.8, Sasa Wanyama kupewa Majina ya Watu kwa gharama ya Milioni 5

    Dodoma. Baada ya wanyama kupewa majina ya watu maarufu wa nje ya nchi, Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa kuwezesha watu wanaotaka baadhi ya wanyama waitwe majina yao kufanya hivyo lakini kwa kulipia Sh5 milioni. Utaratibu huo nakuja baada ya...
Back
Top Bottom